"CHADEMA" kuna haja ya kufanyia birthday celebrity jijini mwanza.

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Kulingana na kauli na wito alioutoa Rais kikwete,leo wakati akihutubia wana ccm katika maadhimisho ya miaka 35 ya uhai wa ccm.Amewataka wana ccm kujiandaa kulikomboa jimbo la Ilemela na Nyamagana,kutoka kwa chama cha cdm..

Ni vema na wakati muafaka kwa chadema sasa kufikiria wazo la kufanya sherehe mbadala na hizi,ikiwa kama njia muafaka ya kuimarisha chama na kupima nguvu zake.hii ikiwa ni mkakati maalumu wa kujizatiti kileleni katika siasa za kanda ya ziwa.

Natoa wazo kama maoni yangu binfsi.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
baada ya bunge Inabidi makamanda wapite mikoani kutoa elimu ya uraia...pia wawaambie wananchi serikali inayoongozwa na ccm haina mipango thabiti yakupunguza makali yamaisha kwa mfano Ishu ya posho za wabunge na tatizo la mgomo wa madaktari.
 
Usiwe na hofu mkuu,jumatano ijayo makamanda Wenje wa Nyamagana na Highness wa Ilemela watakinukisha hapahapa Kirumba viwanja vya furahisha na tarehe 20 mwezi huuhuu Dr Slaa ataunguruma jijini Mwanza,zaidi tutawajuza.Peoooooooples Poweeeeeeer
 
kiswahili inabidi kiwe ndio lugha ya mawasiliano hata maofisini.
 
Usiwe na hofu mkuu,jumatano ijayo makamanda Wenje wa Nyamagana na Highness wa Ilemela watakinukisha hapahapa Kirumba viwanja vya furahisha na tarehe 20 mwezi huuhuu Dr Slaa ataunguruma jijini Mwanza,zaidi tutawajuza.Peoooooooples Poweeeeeeer
je hawa CCM wataridhia uwanja huu walioupora kwa watanzania na kuufanya wao,utumike kwa wanachama wa cdm.
Maana cdm haitahitaji Fuso,Basi wala msaada wa sungusungu ili kuujaza uwanja na hilo likitokea itakuwa ni Technical knock-out kwa ccm.
 
Nyamagana na Ilemela ccm wasahau kabisa,wajiandae kupoteza majimbo yote ya Mwanza!Kikwete anazungumzia kukomboa majimbo,kwa lipi bora walilofanya?mbaya zaidi kwa ccm 2015 ni karibu 55% ya vijana waliokua na umri wa chini ya kupiga kura 2010 ndio watapiga kura,na wanajua wazi ni rika gani wana suport cdm na rika gani wana suport c.c.m,waandike maumivu zaidi 2015
 
je hawa CCM wataridhia uwanja huu walioupora kwa watanzania na kuufanya wao,utumike kwa wanachama wa cdm.
Maana cdm haitahitaji Fuso,Basi wala msaada wa sungusungu ili kuujaza uwanja na hilo likitokea itakuwa ni Technical knock-out kwa ccm.

Uwanja sio wao,viwanja na majengo yao yote yamejengwa kwa kodi za wananchi,wanayang'ang'ania ila wajue vyote yatarudi kwa wananchi!wezi wa mchana hao!
 
Umeona eh?
Katika uandishi kama huu unapaswa kuangalia maudhui na ujumbe wa thread husika,masuala ya ualimu inabidi uka - tume maombi maana serikali ya ccm inajipanga kuleta ajira mpya za ualimu.
*You can buy a book, but not a material,,,
 
Back
Top Bottom