CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu

Status
Not open for further replies.
kwani vyuoni chama cha magamba kinapendwa!? Sasa hapo ujue ndio chama cha magamba kinaelekea kufa!
Hallow mkuu wa chuo cha VETA. Hakika umenena vema, ni kweli kabisa kuwa ccm haikubaliki kwenye vyuo vya VETA. Lakini kwny vyuo vinavyotoa proffesionals kinakubalika sana. Fanya utafiti hivi utaelewa UDSM, UDOM, SAUT, TUMAINI Iringa, MZUMBE na Arusha University. Acha kufanya utafiti kwenye vyuo vya VETA peke yake!
 
ccm haina mtu timamu, ccm haina kiongozi, ni genge la watu wa hovyo, ni genge la watu wasio aminika hata kidogoNitajie mtu mmoja makini katika chama hiko, kuanzia Mwenyekiti wao hadi katibu wa mtaa
Duuh! Kweli hii nchi ina watu wajinga. Badilisha basi jina ujiite Kichwanazi.
 
These are your wishes! Kweli mkubwa chadema kinakunyima usingizi kiasi cha kukiombea kife!!!! Any way ....UKIMUOMBEA MAMA WA KAMBO KIFO, ANAKUFA MAMA MZAZI
 
Mkuu penye red fanya malekebisho kabla waingereza wenyewe hawajaona,maana itakua aibu ya kufa mtu!!
Wapi wewe! Kingereza utakijua wewe uliyesoma shule ya kata?? Shukuru CCM kwa kujenga shule za kata maana elimu ya sekondari ungeisikia kwenye bomba"
 
These are your wishes! Kweli mkubwa chadema kinakunyima usingizi kiasi cha kukiombea kife!!!! Any way ....UKIMUOMBEA MAMA WA KAMBO KIFO, ANAKUFA MAMA MZAZI
Tatizo watu wa cdm mnatumia mafuvu (skull) kufikiria badala ya kutumia ubongo.Hatupo hapa kuombea cdm kufa, Ila kueleza ukweli kuwa cdm kitajufa. Jifunze hata kutofautisha kauli ndugu yangu hata kama ulipata zero form four. Cdm kitakufa hata bila kuombewa!
 
MODs nawashukuru sana kwa kumpa ban Mwanakili90. Now i realize that you are objective. JF si mahali pa kutukana au kutoa lugha za kihuni hasa kwenye jukwaa la weledi kama hili.

JF ni mahali pa kutafakari mambo kwa kina. Ni jukwaa la weledi. Ni darasa kwa wanaopenda kujifunza. Ni bustani ya umahiri. Ni kisima cha hekima. Majukwaa yote yatapita lakini JF itadumu milele. Asanteni JF kwa kujsafisha forum yetu na kutuondolea wahuni kama mwanakili90. Endeleeni kuwapunguza wote wenye mienendo kama hiyo. JF DAIMA!!
 
vimekufa vyama vilivyotisha hapa duniani kama vile Bolshevicks(Lenin political party in Russia),Baathe(Saadam Hussein polical party in Irak),Nazi(Hilter political party in Germany) itakuwa CCCCCCCM chama cha mafisimaji!!Kitakuafa na kuoza kabla ya ukamilifu wa dahari!
Igekuwa darasani ningekupa A. Inaonekana umesoma history lakini HKL. Ila sio mbaya maana walau History unaijua. Kwa kuwa umetambua na kukubali viko vyama vikubwa duniani vilikufa, kwanini hutaki kutambua na kuamini kuwa hata CDM inaweza kufa tena wakati wowote?Wakati wa vita ya ghuba Saadam Hussein na chama chake cha BAATHEL kiliwahi kuwa tishio eneo lote la mashariki ya kati.Sasa kama Saadam na chama chake walikufa, sembuse Mbowe na chama chake cha wachaga?? Think big!
 
Then you should agree also that CCM will die, and IT HAS ALREADY SHOWN THE SIGNS OF DYING..
 
Then you should agree also that CCM will die, and IT HAS ALREADY SHOWN THE SIGNS OF DYING..
The issue of a Political party to die or survive depends on how strong the foundation is.CCM ina miaka 50 (including when it waz TANU), but mikwaruzano yake ni kawaida so this indicate that, it has got a strong foundation. CHADEMA hakina miaka 20 but mpasuko wake ni mkubwa sana. Thisi indicate poor foundation. And the answer is simple, ni kwa sababu kiliundwa na wachaga na bado wachaga wanatawala ndani ya CDM kiimla. We unadhani kama Mbowe asingekuwa mchagga angepewa uenyekiti,? Muulize Zitto kilichompata alipojaribu kuutaka uenyekiti.
 
Looks you have a personnel vendetta na "wachaga"!!! Every party must have a base like CCM with strong base in southern part of Tanganyika and over 50% ya makatibu wakuu wake wametokea kusini (Kawawa, Kolimba, Mangula...) na hata wafanyakazi wa kawaida tu ndani ya CCM ni huko huko. So for Chadema to have a base in Northern part ya tanganyika usiwalaumu maana CCM haikuwahi kuwa na Mwenyekiti wala Katibu Mkuu mchaga.

Naona mnapenda sana Chadema ife ile muweze kurudi tena kwenye wizi wenu wa epa, kagoda n.k. maana mnadhani hakutakuwa na watu wa kuwaangalia na kuwafichua wizi wenu. Mi nadhani mngeshukuru uwepo wa CHADEMA maana sasa hata mnajua kuwa kumbe kuna na kuvua GAMBA, bila wao miili yenu ingejaa MAGAMBA mpaka basi. Lakini tayari watanganyika wameshakuwa civilised, hata ikifa CDM bado hawatakuwa tayari kuburuzwa na ujinga mnaonufanya.

Wish you well Nape
 
si mnajijua cdm ni mabingwa wa kuropoka. Tukana ule ban!
Tatizo njaa na cheap poularity ndo zinakusumbua.
Ulitaka kugombea UVCCM kwa kuchafua watu (Though ni wachafu kweli), hukuwaona uchafu wao hadi kipindi kile ili upate umaarufu kwa kuwaita Mafisadi (Kuiga sera za CHADEMA).
Waka kuchinjia Baharini,ukaporomoka,ukawa unalia lia,ukaenda kuanzisha CCJ,wakakupa u DC,ukaufyata Mkia,
Now wamekupa kazi ya kuchafua CHADEMA,unaifanya vizuri, yani we umekuwa kama Robot,ukili program lifanye vile unataka linafanye linafanya.
Umepoteza hadhi,unaishia kuanzisha thread na kukimbilia nyingine na ID kibao kibao,una Tabia za Kike,shukuru Mungu,ungekuwa Bint ungezalishwa Mapema sana.

Narudia tena,Moods Moods Moods Moods Moods,nilindeni,huyu B.wege ANAKERA MPAKA BASI
 
Chama (kinachojiita) cha Demokrasia na Maendeleo kiko mahututi (ICU) na huenda kikafa rasmi kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015.

Utafiti binafsi nilioufanya bila kushirikisha REDET wala SYNOVETE unaonesha chama hicho kukosa mwelekeo na hivyo huenda kikavurugika kabisa kutokana na uchu wa madaraka.

Hali inayoendelea Arusha ni kielelezo cha ninayoyasema.

Wiki iliyopita VUA GAMBA aliandika uhalisia wa kile alichokiona kwenye chama chake. Katika maelezo yake alidai yeye ni mwanachama wa chadema lakini HAKUBALIANI NA MUAFAKA ULIOFANYIKA ARUSHA.

Alitoa sababu zenye mashiko na kudhibitisha bila shaka yoyote kuwa kilichofanyika ARUSHA ni kwa maslahi ya wachache.

Lakini wafuasi wa chadema hapa JF walimtukana, kumpuuza na kumwita shushushu, bila hata kujaribu kutafakari ukweli wa kilichokuwemo kwenye thread. Ajabu hata Dr.KITILA MKUMBO nae akaangukia kwenye mkumbo huo wa wenzake.

Lakini mbaya zaidi MODS wakamburn.

Cha kushangaza ni kuona eti walewale waliotetea muafaka hapa jamvini wakiongozwa na TUKUTUKU eti ndio wanasimama kuungana na LEMA bila hata chembe ya aibu.

Mlisema chadema sio chama cha fujo na wanakubali muafaka, sasa mmetoka wapi leo kumtetea LEMA? Historia itawahukumu.
Nadhani kama sitakosea sana kwa mujibu wa makamu mwenyekiti wa CCM na katibu muenezi (Nape) walisema watawatuma vijana kwenye mitandao ya kijamii kujibu/kutoa hoja za chama chao na SI KULETA VITU VISIVYOKUWA NA MAANA... Tafadhali fanyeni kazi mliyotumwa......:der:
 
The issue of a Political party to die or survive depends on how strong the foundation is.CCM ina miaka 50 (including when it waz TANU), but mikwaruzano yake ni kawaida so this indicate that, it has got a strong foundation. CHADEMA hakina miaka 20 but mpasuko wake ni mkubwa sana. Thisi indicate poor foundation. And the answer is simple, ni kwa sababu kiliundwa na wachaga na bado wachaga wanatawala ndani ya CDM kiimla. We unadhani kama Mbowe asingekuwa mchagga angepewa uenyekiti,? Muulize Zitto kilichompata alipojaribu kuutaka uenyekiti.
Mie ninadhani umri hauna maana sana juu ya uimara wa chama hasa ukizingatia historia ya TANU kabla na baada ya uhuru huku ukizingatia upigwaji marufuku wa vyama vingi baada ya uhuru.....kutolewa baadhi ya huduma za msingi kama pasi za kusafiria, masomo ya juu nje ya nchi nk. kwa wanachama wa SISIEM pekee hili lililazimisha wengi kuwa wanachama kadi. Kama mikwaruzano ya ndani ya chama ndiyo dalili ya kufa chama basi SISIEM hivi sasa ingekuwa historia.... ichukulia mfano wa kura za maoni ndani ya CCM ni nani asiyejua kuwa zoezi zima lilitawaliwa na uchu wa madaraka au urafiki??.......mapambano ya ufisadi..............hata kujivua gamba pia.......... "ukiona mtu anauingiza udini au ukabila basi ujue amefilisika kisiasa"- Mwalimu JKN
 
Kuna jamaa hapo juu amekuita nepi na kutoa maana ya nepi na wewe nape wa masasi umemwelimisha kuwa ajibu hoja aache kuharibu jina lako in unsound deductive way.Kwa hiyo kweli we ni nape nnauye?
 
Sasa ***** ni nape au we unayetukana?umedhihirisha ubwege wako kwa ulichoandika hapa,km ni mwanaume nina waswas na uanaume wako si kawaida
Tatizo njaa na cheap poularity ndo zinakusumbua.Ulitaka kugombea UVCCM kwa kuchafua watu (Though ni wachafu kweli), hukuwaona uchafu wao hadi kipindi kile ili upate umaarufu kwa kuwaita Mafisadi (Kuiga sera za CHADEMA).Waka kuchinjia Baharini,ukaporomoka,ukawa unalia lia,ukaenda kuanzisha CCJ,wakakupa u DC,ukaufyata Mkia,Now wamekupa kazi ya kuchafua CHADEMA,unaifanya vizuri, yani we umekuwa kama Robot,ukili program lifanye vile unataka linafanye linafanya.Umepoteza hadhi,unaishia kuanzisha thread na kukimbilia nyingine na ID kibao kibao,una Tabia za Kike,shukuru Mungu,ungekuwa Bint ungezalishwa Mapema sana.Narudia tena,Moods Moods Moods Moods Moods,nilindeni,huyu B.wege ANAKERA MPAKA BASI
 
Chama (kinachojiita) cha Demokrasia na Maendeleo kiko mahututi (ICU) na huenda kikafa rasmi kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015.

Utafiti binafsi nilioufanya bila kushirikisha REDET wala SYNOVETE unaonesha chama hicho kukosa mwelekeo na hivyo huenda kikavurugika kabisa kutokana na uchu wa madaraka.

Hali inayoendelea Arusha ni kielelezo cha ninayoyasema.

Wiki iliyopita VUA GAMBA aliandika uhalisia wa kile alichokiona kwenye chama chake. Katika maelezo yake alidai yeye ni mwanachama wa chadema lakini HAKUBALIANI NA MUAFAKA ULIOFANYIKA ARUSHA.

Alitoa sababu zenye mashiko na kudhibitisha bila shaka yoyote kuwa kilichofanyika ARUSHA ni kwa maslahi ya wachache.

Lakini wafuasi wa chadema hapa JF walimtukana, kumpuuza na kumwita shushushu, bila hata kujaribu kutafakari ukweli wa kilichokuwemo kwenye thread. Ajabu hata Dr.KITILA MKUMBO nae akaangukia kwenye mkumbo huo wa wenzake.

Lakini mbaya zaidi MODS wakamburn.

Cha kushangaza ni kuona eti walewale waliotetea muafaka hapa jamvini wakiongozwa na TUKUTUKU eti ndio wanasimama kuungana na LEMA bila hata chembe ya aibu.

Mlisema chadema sio chama cha fujo na wanakubali muafaka, sasa mmetoka wapi leo kumtetea LEMA? Historia itawahukumu.

Hizi ndizo busara za mwendawazimu. CCM imeshahukumiwa na historia na sasa inasubiri anguko lake kuu, la kishindo cha kutisha na kuleta simanzi kwa wahalifu waliojificha kwenye chaka hilo. Hapa Nape anajaribu kutushawishi kwamba eti CHADEMA ina uchu wa madaraka! Hivi ni nani asiye na uchu wa madaraka hapa nchini? Tatizo si uchu wa madaraka, bali ni madhumuni ya mtu kutaka madaraka. Nape ni mmoja wa wenye uchu mkubwa wa madaraka na ana rekodi ya kuhongwa na kutulizwa mzuka. Uchu wa namna hii ni sumu kwa taifa na hatari kabisa. Hebu tukumbushane kidogo jinsi kijana huyu alivyokuwa akihaha kama kuku anayetaka kutaga yai muda mfupi tu kabla ya uchaguzi uliopita, wengi tuliamini kwamba kijana alikuwa mpambanaji mzuri dhidi ya ufisadi haswa alipokuwa akilalamikia chama kutekwa na mafisadi huku akiwataja kwa majina! Hakuwa ameishia pale, alihangaika huku na kule hadi kutafuta "Ulaji" CHADEMA alipotaka kujiunga nacho ambapo walimtolea nje, alijishughulisha pia na harakati za kuanzisha chama cha CCJ kama tunavyoelezwa. Lakini wenye werevu wa kifisadi walijua alichokuwa akitafuta na homa iliyokuwa ikimsumbua; walimtupia mfupa; cheo cha kishemeji cha Ukuu wa Wilaya (DC) ambapo akatulia kama maji mtungini! Na sasa baada ya kunogewa na "Uheshimiwa" Nape amesogezwa usoni kwa kubebeshwa furushi lisilobebeka ndani ya chama kinachougua kansa na ukimwi wa kifisadi.
Kwa maoni yangu Nape, kwa kukubali kuhongwa cheo cha UDC na baadae hiki alicho nacho (Kwa mujibu wa falsafa ya Mwasisi wa CCM Hayati Mwl.Nyerere) amepoteza kabisa sifa ya kuwa mpiganaji dhidi ya ufisadi na anachofanya sasa ni tamithiliya ya maigizo. Nyerere alitamka hadharani kwamba "Hakuna kiongozi atayewekwa madarakani kifisadi anayeweza kupambana na ufisadi" Kama atabisha Nape atueleze vigezo vilivyotumika kwa yeye kuteuliwa kuwa DC na si watanzania kibao wanaomzidi kila hali kuanzia elimu, umri, uzoefu wa kisiasa na hata haiba. Kwangu mimi, niliyewahi kufanya kazi chini ya Hayati baba yake Nape ni msaliti mkubwa kwa umma na falsafa aliyokuwa akiisimamia baba yake. Nathubutu kusema kwamba kwa kadiri nilivyomfahamu Mzee yule asingekubali uteuzi wa kirushwarushwa ule.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
 
Sasa ***** ni nape au we unayetukana?umedhihirisha ubwege wako kwa ulichoandika hapa,km ni mwanaume nina waswas na uanaume wako si kawaida
Njoo Nikupe Machine yangu uone kama mie mwanaume au la.
Narudia tena, Moods Moods Moods Moods,nilindeni katika hili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom