NAPENDA MASASI
Member
- Jun 28, 2011
- 49
- 3
- Thread starter
- #101
utakufa ww ccm itadumu hata ukamilifu wa dahari!kwanini haukusema chama cha magamba kinaelekea kufa unasema chadema, au we unapenda chadema ife!?
utakufa ww ccm itadumu hata ukamilifu wa dahari!kwanini haukusema chama cha magamba kinaelekea kufa unasema chadema, au we unapenda chadema ife!?
utakufa ww na chama chenu cha wachaga bt ccm itadumu hata ukamilifu wa dahari!kwanini haukusema chama cha magamba kinaelekea kufa unasema chadema, au we unapenda chadema ife!?
Acha utetezi uliokosa mantiki. Kwani nani kajadili Nepi hapa?? Hata kama ulimaanisha Nepi hili sio jukwaa lake.!You were tried to abuse my name with unsound deductive argument. Sasa kwa kuwa umeona haki inataka kutendeka unajitetea kwa upuuzi uliofanya. MODs mpeni barn huyu msisikilize utetezi wake hauna mashiko.hapo nimeöngea ukweli, kwani the real meaning of NEPI ni nini?mi nazungumzia NEPI kama wewe NAPE umekua NEPI basi kula Ban ni haki yangu.
Kwa hiyo kuisapoti CCM ndiyo ugreat thinker?,kama ni hivyo basi mimi siutaki huo ugreat thinker baki nao wewe!!nashukuru kwa kulliona hilo. Maana hawa ndugu yetu wa chadema hawajui kupingana na hoja, badala yake wanamshambulia mtoa hoja, halafu bila aibu wanajiita great thinkers (aibu).
kielelezo cha chama cha wajinga, hahahaaaah !utakufa ww ccm itadumu hata ukamilifu wa dahari!
Acha utetezi uliokosa mantiki. Kwani nani kajadili Nepi hapa?? Hata kama ulimaanisha Nepi hili sio jukwaa lake.!You were tried to abuse my name with unsound deductive argument. Sasa kwa kuwa umeona haki inataka kutendeka unajitetea kwa upuuzi uliofanya. MODs mpeni barn huyu msisikilize utetezi wake hauna mashiko.
vimekufa vyama vilivyotisha hapa duniani kama vile Bolshevicks(Lenin political party in Russia),Baathe(Saadam Hussein polical party in Irak),Nazi(Hilter political party in Germany) itakuwa CCCCCCCM chama cha mafisimaji!!Kitakuafa na kuoza kabla ya ukamilifu wa dahari!utakufa ww ccm itadumu hata ukamilifu wa dahari!
umesema vyema, umesema vizuri ,vimekufa vyama vilivyotisha hapa duniani kama vile Bolshevicks(Lenin political party in Russia),Baathe(Saadam Hussein polical party in Irak),Nazi(Hilter political party in Germany) itakuwa CCCCCCCM chama cha mafisimaji!!Kitakuafa na kuoza kabla ya ukamilifu wa dahari!
Kobe hawezi kujivua gamba akifanya hivyo hupoteza maisha kwani gamba ni sehemu muhimu sana ya mwili wake!!Subiri basi wajivue gamba km mafisadi kikwete,lowasa,rostam,nape,chenge,ccm............................
Ndugu yangu MARCO elimu yako ni darasa la ngapi? Maana inaonekana ulipojua tu kusoma na kuandika ukakimbia shule.Hivi katika pumba ulizoandika hapo juu, lipi swali lipi jibu??SWALI:Chagua jibu lililo sahihi; Kama siyo CHADEMA A) Kikwete asinge punguza safari za nje. B) Jitihada za katiba mpya mngesikia wapi?!!!! C) RAIA WANGE FUNGUAJE MACHO!!!! D) A,B, na C NI SAHIHI
Yeah, ameacha vizuka, vinajitabiria ushindi wa mwaka 2015 bila kujua chama chao kitakufa before that time. Vizuka vyenyewe vinatumikishwa na wachagga. Maa hata chama chao ni cha wachagga. Kinaitwa Chagga Development Movement Association (CHADEMA). Hahahaaah! Poleni vizuka!Mi nilifikiri shehe yahaya kafa na utabiri utatoweka kumbe kaacha vizuka?!