Chadema kuandamana nchi nzima tarehe 16, kuupinga muswada......!

Kama sio unajutia kufa kabla hujakafanyia kazi hako kadegree kako basi wewe ni mtumwa wa unyonge. Degree kitu gani wenzio hufa na Phd zao. Run your mouth next time write right things! Alaaaah...! Utamalizia.

walikuwepo akina Aristotle,Plato nk na akili zao bt washa kufa kitambo,ss huyo nakadegree kake(GPA yenyewe 1.9) anapiga kelele hapa.tupa kulee
 
CUF wanaendana na jinsi walivyo

CDM aisee we acha kabisa kile chama cha watu wote

CCM mhhhh sijui hata niwatafsirije?
CCM ni chama cha mafisadi,waizi wala rushwa,wanafiki wakubwa naonyonya jasho la mtanzania!
 
Hawa chadema tumeshawachoka na maandamano yao ambayo hayana faida yoyote kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya kuumiza wasio na hatia!
wewe acha pumba,usifikiri wote tuna akili mbovu kama wewe!watanzani wanateseka kwa ufisadi wa serikali ya ccm then unajifanya huoni umuhimu wa maandamano ya chadema?!wewe kweli mwehu!
 
Nimesema, kama chadema hawakuupenda huo mswada, si waandike wao? Kuna aliewakataza. Jee ambayo hawajayapenda hayajadiliki? Na nani aliosema haujadiliki? Kwa nini chadema wakae wanatisha watu kwa maandamano? Na kudanganya watu? Kutaka kuvunja amani kwa kutumwa na nchi za nje?

Na mimi kama ni serikali nayapiga marufuku maandamanoi na halafu waingie mitaani. Kale kamkong'oto ka arusha na pale udsm kama hakijawakolea sasa ndio mtalijuwa jiji. Nyie danganyeni watu tu. Wale ffu ni marufuku kusoma magazeti, kutazama tv, kusikiliza taarifa za habari na hata kutembelea ndugu zao. Wanafugwa kuliko mbwa. Wako so wild, wakipewa anri hawajuwi cha nani wala nani. Si uliona walivyomfanya yule hawara wa slaa? Sasa ni slaa mwenyewe na ashadidie tu fujo.

Vitu ambavyo viko wazi na vinaongeleka, maandamano ya nini? Hasara ya nani? Roho za nani?

Lakini waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa, mmesha tiwa sumu na kila mnachosema serikali inatekeleza lakini mnawaona wajinga. Hii ni Tanzania msifikiri hapa Egypt au Tunisia au Libya. Mtakiona cha moto.
Our blood should irrigate the river of freedom!usitutishe na ffu mjinga wewe. We cant stop struggle for our rights no matter what.
 
Wanafunzi wa UDOM kumbuke na lengo lilowapeleka Dodoma. Msikalie siasa tu mkasahau madarasa, mutakwenda na maji. Ukidisco hapo Chuoni, utakuwa form six leaver tu ambaye hivyo vyama vya siasa unvyovishabikia vinaiona ni elimu ya chini. Kwa hiyo waweza kuambulia umwenyekiti wa shina au tawi la CDM, CCM, TLP n.k huku wasomi wakichukua nafasi za juu. Shikeni sana lililo wapeleka vyuoni ili mkimaliza muweze kugombea vyeo vya juu katika vyama vyenu.

niambia makamba,chili,kingung,nape,hao wakuu wenu wa wilaya,mikoa nk wanaelimu gani?cna shaka ww ni mmoja wa nanaodai vijana taifa la kesho.
 
ninawasiwasi na halmashauri yako ya ubongo, inawezekana unafikiri kwa kutumia ****** wewe, unafikiri elimu ndio siasa? Tungeangalia elimu huyo anaekuongoza TZ-mainland hakufaa kabisa, sisi tunamfanya mwalimu wa stoo huko sekondari, huyo katibu wenu wa kijani amesoma nini? Waziri wako wa awali Sum..y.. alikuwa na elimu gani wakati anaongoza, kwanza hlo neno disco kakwambia nani ukaona uli2mie humu, pimbi kabisa wewe, wanamageuzi wote wanatoka vyuo, sio wewe O'level ya kata, hujaona Misri? Udom si mlijifanya mnatumia kama sera yenu kuu kuingilia madarakani? Sasa mmetengeneza mwiba, usirudie tena kuropoka kuhusu Udom, kimsingi 2najua kilicho2leta,ndio maana 2mebakiza miezi miwili kumaliza, harafu 2ingie mtaani muone kasheshe lake, hadi mwaka 2018, hakutakuwa na wazee serikalini, mmezowea wizi nyinyi, pambaf, 2nawapa miaka mi4 iliyobaki, hakutakuwa na uchakachuaji, tutakuwa mitaani kwa muda huo, "HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE,NA KIKIELEWEKA, TUNAKILINDA, VIJANA NI CHACHU YA MABADILIKO, wewe sijui lizee, nyang'au wewe.!

Maneno yako mkuu! Makali lakini yana ukweli unaochoma kama msumari wa moto kwenye kidonda.. Nadhani amekusoma huyo fisadi
 
Majimshindo,
Si kosa lako najua hufahamu taratibu za kibunge. Kinachonishangaza ni pale unapofafanuliwa na bado ukang'ang'ania. Unahitaji kujua mfumo wa Bunge letu, utaratibu wa kuandika Private Members Motion au bill na ili ipite inahitaji nini. Kuandika tu na kusema uwasilishwe tu Bungeni ni kujifanya hujui process ya Bunge au hutaki tu kuifahamu kama ndivyo basi itakuwa ngumu sana kukusaidia.
Lakini vile vile ni muhimu kusoma Ibara ya 100 ya Katiba ya sasa ili ufahamu uhuru alionao Mbunge. Yote yanaposhindikana njia zinazotumika duniani kote ni pamoja na "Maandamano ya Amani" ambayo kimsingi ni very effective katika kupeleka ujumbe kwa "watawala"

Nimesema, kama chadema hawakuupenda huo mswada, si waandike wao? Kuna aliewakataza. Jee ambayo hawajayapenda hayajadiliki? Na nani aliosema haujadiliki? Kwa nini chadema wakae wanatisha watu kwa maandamano? Na kudanganya watu? Kutaka kuvunja amani kwa kutumwa na nchi za nje?

Na mimi kama ni serikali nayapiga marufuku maandamanoi na halafu waingie mitaani. Kale kamkong'oto ka arusha na pale udsm kama hakijawakolea sasa ndio mtalijuwa jiji.
 
Majimshindo,
Si kosa lako najua hufahamu taratibu za kibunge. Kinachonishangaza ni pale unapofafanuliwa na bado ukang'ang'ania. Unahitaji kujua mfumo wa Bunge letu, utaratibu wa kuandika Private Members Motion au bill na ili ipite inahitaji nini. Kuandika tu na kusema uwasilishwe tu Bungeni ni kujifanya hujui process ya Bunge au hutaki tu kuifahamu kama ndivyo basi itakuwa ngumu sana kukusaidia.
Lakini vile vile ni muhimu kusoma Ibara ya 100 ya Katiba ya sasa ili ufahamu uhuru alionao Mbunge. Yote yanaposhindikana njia zinazotumika duniani kote ni pamoja na "Maandamano ya Amani" ambayo kimsingi ni very effective katika kupeleka ujumbe kwa "watawala"

Asante Dr
 
Back
Top Bottom