Chadema kuandamana nchi nzima tarehe 16, kuupinga muswada......!

Sana tena, hapati hata robo ya hekima akili zangu. Sijawahi kufukuzwa au kukataliwa uongozi popote pale. Na pia sijawahi kuwa na kashfa ya kung'ang'ania zinaa na kuvunja amri ya sita! Aliyoisomea! Sasa akili na hekima za slaa ziko wapi hapo?

kweli wee una hekima maana hung'ang'anii una.ti.w.a vidole nyuma tuu na kina ...
 
Wanafunzi wa UDOM kumbuke na lengo lilowapeleka Dodoma. Msikalie siasa tu mkasahau madarasa, mutakwenda na maji. Ukidisco hapo Chuoni, utakuwa form six leaver tu ambaye hivyo vyama vya siasa unvyovishabikia vinaiona ni elimu ya chini. Kwa hiyo waweza kuambulia umwenyekiti wa shina au tawi la CDM, CCM, TLP n.k huku wasomi wakichukua nafasi za juu. Shikeni sana lililo wapeleka vyuoni ili mkimaliza muweze kugombea vyeo vya juu katika vyama vyenu.
Upupuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
Nimesema, kama chadema hawakuupenda huo mswada, si waandike wao? Kuna aliewakataza. Jee ambayo hawajayapenda hayajadiliki? Na nani aliosema haujadiliki? Kwa nini chadema wakae wanatisha watu kwa maandamano? Na kudanganya watu? Kutaka kuvunja amani kwa kutumwa na nchi za nje?

Na mimi kama ni serikali nayapiga marufuku maandamanoi na halafu waingie mitaani. Kale kamkong'oto ka arusha na pale udsm kama hakijawakolea sasa ndio mtalijuwa jiji.
Crap!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hawa chadema tumeshawachoka na maandamano yao ambayo hayana faida yoyote kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya kuumiza wasio na hatia!

Ukitaka ubaya daichako chademakudai haki umewachoka sirikar yetu bira migomo maandamano haiendi chadema wapo sahihi
 
Maandamano hayana mashiko ni kupoteza muda tu. Wanashindwa nini kupambana ndani ya mjengo kwa hoja? Unapotaka umaarufu kwa nguvu ndipo neno maandamano linapokumbatiwa
Kama maandamano hayanatija kwako kaa mbali kwa sababu akili yako ni kama mende kama jina lako huwezi kufikria vitu kwa undani wake acha sisi wenye kufikiri tufanye kazi!! Fikira zako za kimendemende zikiisha utagundua tunachokipigania. Mende dunia yake ni chooni
 
Nimesema, kama chadema hawakuupenda huo mswada, si waandike wao? Kuna aliewakataza. Jee ambayo hawajayapenda hayajadiliki? Na nani aliosema haujadiliki? Kwa nini chadema wakae wanatisha watu kwa maandamano? Na kudanganya watu? Kutaka kuvunja amani kwa kutumwa na nchi za nje?

Na mimi kama ni serikali nayapiga marufuku maandamanoi na halafu waingie mitaani. Kale kamkong'oto ka arusha na pale udsm kama hakijawakolea sasa ndio mtalijuwa jiji. Nyie danganyeni watu tu. Wale ffu ni marufuku kusoma magazeti, kutazama tv, kusikiliza taarifa za habari na hata kutembelea ndugu zao. Wanafugwa kuliko mbwa. Wako so wild, wakipewa anri hawajuwi cha nani wala nani. Si uliona walivyomfanya yule hawara wa slaa? Sasa ni slaa mwenyewe na ashadidie tu fujo.

Vitu ambavyo viko wazi na vinaongeleka, maandamano ya nini? Hasara ya nani? Roho za nani?

Lakini waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa, mmesha tiwa sumu na kila mnachosema serikali inatekeleza lakini mnawaona wajinga. Hii ni Tanzania msifikiri hapa Egypt au Tunisia au Libya. Mtakiona cha moto.
Waambie hao wajomba zako kuwa waendelee kujivunia kuua watu safarihii watakufa wenyewe na si vinginevyo labda unafikiri tunatania sasa tumeshakubali kufa ama kitu chochote! ili tuyatoe haya manyang'au
 
Umewachoka wewe nanani? Mbona hao unaowaita wananchi wakawaida ndio wanaoyaunga mkono maandamano ya CHADEMA. Acha kuwasemea watu ambao hawajakuomba.

Mimi ni mwananchi wa kawaida! Kama wewe ni muelewa na una akili timamu utakuwa unafahamu athari za maandamano! Kwa nchi yetu maandamano hayamsaidii mwananchi bali ni kuwatafutia wapuuzi flani umaarufu wa kisiasa!!
 
Hiyo siyo agenda yao, agenda yao ni vurugu mwanzo mwisho, ndio maana Msela wa arusha kwanza alienda kuwatafuta wanafunzi wa arusha waliopo dodoma kisha kawafata wakapige fujo kwenye mdahalo. bado watanzania wachache wamewapa masikio siku wakigundua kuwa watanzania wanawaandalia mbinu mbadala watajuta. Mfano wamesha uona Kigoma,walipoitisha maandamano kama walifanikiwa na tena kigoma chadema ina wapenzi wengi lakini kwa vile wamesha gundua lengo la slaa na timu yake ndio maana hawakufanikiwa
Wewe mjinga kweli sisi sio watanzania wachache kama unavyojipa moyo! sisi ni Nguvu ya Umma ambayo nyinyi vibaraka manaweza msiifeel lakini mabwana zenu ccm wanajia!!
 
Ukitaka ubaya daichako chademakudai haki umewachoka sirikar yetu bira migomo maandamano haiendi chadema wapo sahihi
Toka wameenza kuandamana,nini kimebadilika? Nitajie faida yoyote ya hayo maandamano ya CDM
 
Hakuna maendeleo bila amani.
Pia kumbuka kuwa ni rahisi sana kuvunja amani kuliko kuirejesha ikiishapotea.
Mchezo wa CHADEMA ndiyo mauti ya Watanzania.
Hatujasahau jinsi CDM illivyowaponza wananchi pale Arusha wakapoteza maisha na vifo vyao vikachuliiwa kisiasa na viongozi wa CDM. Waling'ang'ania kupiga picha na majeneza ya wahanga walioponzwa na wao wenyewe.
Maskini wale waliishia kupewa vijihela kwa masimango na mbele ya kamera.

Sasa mnaona damu ya Arusha haikutosha. Mna kiu ya damu nyingi zaidi. Hamtaipata safari hii. Mtamwaga ya kwenu.

Siasa si uhuni kama cdm wanavyofanya. Na ndiyo maana kamwe hamtasonga mbele kisiasa. ITAKULA KWENU.

Pia MUNGU HAMPENDI YEYOTE ASIYEHESHIMU MAMLAKA ILIYOWEKWA NA YEYE!
TUko tayari kufa tena hata kama kwa mamia ila uhuru wa kweli ni lazima. Na nyinyi endeleeni kujivunia mauaji ya watu kuna siku mtalipa gharama za maisha hayo ya watu mliyoyapoteza kwa uroho wenu wa madaraka.
 
Wanafunzi wa UDOM kumbuke na lengo lilowapeleka Dodoma. Msikalie siasa tu mkasahau madarasa, mutakwenda na maji. Ukidisco hapo Chuoni, utakuwa form six leaver tu ambaye hivyo vyama vya siasa unvyovishabikia vinaiona ni elimu ya chini. Kwa hiyo waweza kuambulia umwenyekiti wa shina au tawi la CDM, CCM, TLP n.k huku wasomi wakichukua nafasi za juu. Shikeni sana lililo wapeleka vyuoni ili mkimaliza muweze kugombea vyeo vya juu katika vyama vyenu.

ninawasiwasi na halmashauri yako ya ubongo, inawezekana unafikiri kwa kutumia ****** wewe, unafikiri elimu ndio siasa? Tungeangalia elimu huyo anaekuongoza TZ-mainland hakufaa kabisa, sisi tunamfanya mwalimu wa stoo huko sekondari, huyo katibu wenu wa kijani amesoma nini? Waziri wako wa awali Sum..y.. alikuwa na elimu gani wakati anaongoza, kwanza hlo neno disco kakwambia nani ukaona uli2mie humu, pimbi kabisa wewe, wanamageuzi wote wanatoka vyuo, sio wewe O'level ya kata, hujaona Misri? Udom si mlijifanya mnatumia kama sera yenu kuu kuingilia madarakani? Sasa mmetengeneza mwiba, usirudie tena kuropoka kuhusu Udom, kimsingi 2najua kilicho2leta,ndio maana 2mebakiza miezi miwili kumaliza, harafu 2ingie mtaani muone kasheshe lake, hadi mwaka 2018, hakutakuwa na wazee serikalini, mmezowea wizi nyinyi, pambaf, 2nawapa miaka mi4 iliyobaki, hakutakuwa na uchakachuaji, tutakuwa mitaani kwa muda huo, "HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE,NA KIKIELEWEKA, TUNAKILINDA, VIJANA NI CHACHU YA MABADILIKO, wewe sijui lizee, nyang'au wewe.!
 
wananchi wameichoka ccm iliyokaa madarakani miaka 50 bila faida yoyote
 
wananChi wanapaswa NA WANAHITAJI kujulishwa mambo na siaza ZA NCHI ziendavyo, Go on CDM!
 
Nimesema, kama chadema hawakuupenda huo mswada, si waandike wao? Kuna aliewakataza. Jee ambayo hawajayapenda hayajadiliki? Na nani aliosema haujadiliki? Kwa nini chadema wakae wanatisha watu kwa maandamano? Na kudanganya watu? Kutaka kuvunja amani kwa kutumwa na nchi za nje?

Na mimi kama ni serikali nayapiga marufuku maandamanoi na halafu waingie mitaani. Kale kamkong'oto ka arusha na pale udsm kama hakijawakolea sasa ndio mtalijuwa jiji.

Asante Mh. Dr. Kikwete, tumekusoma, tumekukusikia!!!! Lakini kwa taarifa yako Tanzania ya leo sio ya juzi, na hapa atishiwi nyau mtu. Hayo matisho yako ni cha mtoto, subiri uone umati utakaoingia mtaani!!!

Tiba
 
Hawa chadema tumeshawachoka na maandamano yao ambayo hayana faida yoyote kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya kuumiza wasio na hatia!

Medani za kivita huzifahamu wewe, unafikiri watanzania kwanini siku hizi wameamka tofauti na zamani? Unadhani imetokea tu bahati mbaya, hapana ni kazi ya wazalendo wanatumia muda wao mwingi kuwahamasisha wananchi wajue haki zao na wajue jinsi ya kuzidai siyo kuziomba kama ilivyokuwa zamani. Long live CDM continue to sensitize people to be aware with their rights.
 
Back
Top Bottom