CHADEMA Kinondoni: Lema ni kama Mandela

Mh. Lema atabaki kuwa mbunge nnaemhusudu katika wabunge wa Tz,nasema bado ni mbunge wangu kwani mahakama hizi za kizushi za bongo eti ndo zimemvua ubunge. What a shame...
Lema usife moyo.. Mungu akutangulie...
 
We majeruhi wa arumeru unaweza kutukumbusha tusi alitukana lema hata kwa lugha ya kuficha,kinyongo kitakumaliza.

Alisema Sioi ni shoga, akasema Dr Burian kapewa mimba na mwanaume wa nje ya ndoa..yapo mengi.
 
Tena ushujaa wake naufananisha na Samora Machel, Patrice Lumumba, Thomas Sankara, Che Guevara, Simon Bolivar, Fidel Castol, ni mpigania haki kama Du Bois au Martin Luther namzimia Lema sana. Ni cornerstone ya mafanikio ya chadema Arusha na Mungu
 
Kwa nini wamwandame LEMA tuuu.Lema kapata misukosuko sana .Tangu achaguliwe.ARUSHA ni ngumu
 
Kutokana na matukio mbalimbali hapa nchini ya aliyekuwa mbunge wa A-town G.lema amekuwa akifananishwa na aliyekuwa Rais wa S.kusini Nelsoni Mandela...give out ur comment je? Ni kweli Tz inaweza kuwa na mandela lema
 
Nna uhakika humjui Mandela, Mandela hajawahi kushutumiwa kuwa ni mwizi wa magari!
 
Aliiba gari la mamako?
Umeona wapi Mwizi anajulikana na usalama na yupo huru?
Kuwa na Adhabu.
Mbona Jk ni Mwizi na ni mkuu wa nchi?
Kweli ukiwa mwanaccm unakuwa na akili iliyochanganyikana na kinyesi kwa lazima.
Nna uhakika humjui Mandela, Mandela hajawahi kushutumiwa kuwa ni mwizi wa magari!
 
Alisema Sioi ni shoga, akasema Dr Burian kapewa mimba na mwanaume wa nje ya ndoa..yapo mengi.

hata alisema auhakusema swali ni kweli au siyo kweli kumhusu Buriani na Sioyi? mbona wahusika wenyewe hawakufungua kesi??
 
kutokana na matukio mbalimbali hapa nchini ya aliyekuwa mbunge wa a-town g.lema amekuwa akifananishwa na aliyekuwa rais wa s.kusini nelsoni mandela...give out ur comment je? Ni kweli tz inaweza kuwa na mandela lema

ndiyo kaka,ila pamoja na hili subiri moto wa mshumaa utakavyo washwa wa kuizika ccm tz pale jo milya,lema,tabasamu na mawazo watakapo anza kazi,hii ya sasa ni reheso tu.
 
Aliiba gari la mamako?
Umeona wapi Mwizi anajulikana na usalama na yupo huru?
Kuwa na Adhabu.
Mbona Jk ni Mwizi na ni mkuu wa nchi?
Kweli ukiwa mwanaccm unakuwa na akili iliyochanganyikana na kinyesi kwa lazima.

Ina maana hujui au ndio unapenda kipofu unaona chongo?
 
Ccm to hell go go deep and deep cjawah kuona watu wakzka huku wanashanglia..bt kwa huu mcba lazma tcheze na ritungu,dogori,bugobogobo na shangwe zote tfanye...long live p'pe'z poweeeer!
 
Nna uhakika humjui Mandela, Mandela hajawahi kushutumiwa kuwa ni mwizi wa magari!

basi kama huijui historia, Mandela alifungwa jela kwa kuongoza kundi lililopigwa marufuku la ANC Military Wing; leading a sabotage campaign against government and military targets.

Sasa rejea tafsiri rasmi ya UN ya neno gaidi, utajua yupi amewahi kuwa gaidi kati ya Mandela kwa historia hiyo na mwizi yeyote wa magari unayemjua!
 
Back
Top Bottom