CHADEMA ina Wanachama wangapi?

Borakufa

JF-Expert Member
May 26, 2011
1,503
390
Hey pipoo

Chama kina kinachanja mbuga! kwa sasa kinamashabiki, wakereketwa na wapenzi kibao! lakini bado zijaziona juhudi za makusudi za kuhakikisha wale wote wanaoonyesha mapenzi makubwa kwa chama chetu wanapewa uwanachama haraka. Tunayo miaka 4 tu ya kufanya kazi kwa bidii ili kuufikia ukombozi.

Sizioni ofisi za maana hata katika zile sehemu ambazo chama kina nguvu kubwa kiasi kutilia shaka kumbukumbu za wanachama kama zipo!
Tunapenda kuona ofisi za chama kwenye kila kata, wilaya, mkoa hata kama sehemu husika ina mwanachama mmoja tu wa cdm! Dr. hakikisha Heche na wenzake wote hawakai waanzishe youth clubs kila kata wilaya na mkoa ambazo zitakuwa zinawakutanisha vijana mbalimbali ili kuwaweka pamoja katika mambo mbalimbali ya kijamii kama shughuli mbalimbali za maendeleo,michezo n.k

Tunataka mpaka 2014 tuwe na wanachama 20,000,000 walio hai na record zao zikiwa wazi kabisa. Tufungue matawi jamani tuchangishane jamani tulipie kodi za mapango jamani tukipata wanachama wengi kwenye kila tawi tunaweza kununua nyumba au hata kujenga ofisi kwa kuchangishana.

VIVA CDM
 
kweli mkuu, hapo umenena.. nadhani kina Dr. Slaa wafanye juu chini pia wanaandaa vijana wakujashika nafasi, si unajua personnel iliyopo kwa asilimia kubwa ni ccm. vijana tunaweza!
 
Miliion 20!? Mbona Slaa alisema hiyo ilikuwa janja ya nyani wanapaswa kupiga kura Bongo lala hawafiki 20milioni ukitoa watoto katika 40milion ya Wabongo!
 
Miliion 20!? Mbona Slaa alisema hiyo ilikuwa janja ya nyani wanapaswa kupiga kura Bongo lala hawafiki 20milioni ukitoa watoto katika 40milion ya Wabongo!

Atl least 10,000,000 basi
 
Hey pipoo

Chama kina kinachanja mbuga! kwa sasa kinamashabiki, wakereketwa na wapenzi kibao! lakini bado zijaziona juhudi za makusudi za kuhakikisha wale wote wanaoonyesha mapenzi makubwa kwa chama chetu wanapewa uwanachama haraka. Tunayo miaka 4 tu ya kufanya kazi kwa bidii ili kuufikia ukombozi.

Sizioni ofisi za maana hata katika zile sehemu ambazo chama kina nguvu kubwa kiasi kutilia shaka kumbukumbu za wanachama kama zipo!
Tunapenda kuona ofisi za chama kwenye kila kata, wilaya, mkoa hata kama sehemu husika ina mwanachama mmoja tu wa cdm! Dr. hakikisha Heche na wenzake wote hawakai waanzishe youth clubs kila kata wilaya na mkoa ambazo zitakuwa zinawakutanisha vijana mbalimbali ili kuwaweka pamoja katika mambo mbalimbali ya kijamii kama shughuli mbalimbali za maendeleo,michezo n.k

Tunataka mpaka 2014 tuwe na wanachama 20,000,000 walio hai na record zao zikiwa wazi kabisa. Tufungue matawi jamani tuchangishane jamani tulipie kodi za mapango jamani tukipata wanachama wengi kwenye kila tawi tunaweza kununua nyumba au hata kujenga ofisi kwa kuchangishana.

VIVA CDM

Binafsi sioni kama kuna ulazima wa kufungua ofisi (physical buildings) kila mahali. Haya ni mambo ya kizamani na gharama ambazo si lazima. CHADEMA waondokane na kasumba mbaya iliyoasisiwa na CCM ya kuwa na office kila kata hata vijiji. Sasa hivi tuko kwenye science & technology, tuna internet, lakini cha muhimu zaidi tuna simu (mobile phones) wanachotakiwa ni kuwa na number za simu za wafuasi wao na kuwasiliana nao mara kwa mara (Virtual offices).

Kwa mfano, kila jimbo lenye mbunge ajitahidi kuwa na number za wafuasia, kama hakuna mbunge wanaweza kuteuwa kiongozi toka eneo husika. Huyu atakuwa anawasiliana nao kuhusu mambo muhimu ya chama, blunder za ccm, mapungufu ya bejeti ya serikali, wazo/mkakati mbadala wa chadema dhidi ya mapungufu hayo.

Ni muhimu kama wataamua kutumia njia hii (sms) waitumie kwa mambo/hoja za msingi ili kuepeka kuchosha watu. e.g kipindi cha bunge wanaweza wakatuma messages mara nyingi zaidi kutokana na hoja za bungeni. lakini kama hakuna vikao vya bunge basi wanaweza wakawa wanatuma at least once a month kuhusu hoja fulani. (FOCUS on key national issues zinazowagusa wananchi kama hii ya posho, ndege ya kivita toka Qartar kutua KIA na kuchukuwa wanyama etc). Nadhani hii communication style itakuwa more effective kuliko tabia ya kunywa kahawa kwenye ofisi za ccm. CHADEMA needs to show they are different, in tune with the reality. KILA MBUNGE ATENGEZE ORODHA YAKE YA WATU WA KUMWAGA SUMU VINGINEVYO TBC ITAWAFUNIKA, NA HATA JF haifiki kwa wengi kama ungetumia sms. so use EVERYTHING, JF, SMS, FACEBOOK, TWITTER!
 
Miliion 20!? Mbona Slaa alisema hiyo ilikuwa janja ya nyani wanapaswa kupiga kura Bongo lala hawafiki 20milioni ukitoa watoto katika 40milion ya Wabongo!
population inaongezeka mkuu so its possible kabisga
 
hatutoi elimu ya uraia ili watu wachukue card za chadema ambazo mwisho wa siku kenge wanazirudisha kwenye mikutano ya ccm bali tunatoa elimu ya uraia ili kuondoa ufisadi,unyonyaji,ukandamizaji,kutokuajibika na hatimae watanzania tujikomboe kutoka mikononi mwa wakoloni waliojibandika jina la ccm ,a mwisho wa siku turudishe nchi iliyo uzwa mikononi mwa watanzania.mia
 
Bahati yako nimeshaondoka nyumbani ningekuorodheshea kadi mpaka za watoto wangu,halafu
ni za toka mwaka 2007,baada ya List of shame kutajwa pale mwembeyanga ndipo mimi na familia
yangu tukaona hiki ndicho chama cha kutukomboa na kizazi chetu.IN SHORT "CHADEMA ina WANACHAMA
na WAPIGA KURA" na kama unataka kuthibitisha subiri 2015,utapata jibu.
 
sasa hili swali gani?ni sawa na mtoto akiwa na mama yake matembezini wakamuona singa singa ana midevu miingi ana kula, mtoto akamuuliza mama yake , mbona huyo mtu anakula na hana mdomo? alichojibiwa siwe andika hapa, lakini ndilo jibu linalokufaaaaa wewe
 
Chadema imejaa mashabiki na wakereketwa wa mabadiliko!!! Ccm imejaa vibaka, wezi na wanyang'anyi!!

Chadema ina wanachama mimi nikiwemo .
Chadema ina wapiga kura subiri uone,imebaki miaka 3
 
Back
Top Bottom