Chama kilichojiita eti cha demokrasia na maendeleo, kimebainika kuwa hakina demokrasia yoyote. Kwenye maandamano ya Arusha walishawishi watu kuingia mtaani kusaka haki zao (mimi sikuenda kazini ili nishiriki kikamilifu)
mbunge tuliyemuamini sana Godless Lema akasisitiza kuwa ni heri kufa ukiwa unapigania haki yako kuliko kufa kwa malaria au typhoid (ushahidi ninao).
Mary chatanda alitupiwa lawama akionekana ndiye tatizo, na watanzania wengi tukalazimishwa kuamini hivyo bila kujua upande wa pili kuwa viongozi wa kitaifa wa chadema walikuwa sehemu ya tatizo.
Chadema walitumia kigezo cha Marry Chatanda kupiga kura kuharamisha matokeo, wakati wao walimtumia Lucy Owenya wa Moshi mjini kupiga kura kumchagua m/kiti wa halmashauri ya HAI.
Jamani huu ni unafiki usiomithilika. Yani kutujaza ujinga wakati mnaujua ukweli ni dhambi hata mbele ya Mwenyezi Mungu.
Lakini kilichonisikitisha zaidi ni kuona eti chadema wamekubali matokeo ya umeya wa Arusha kwa kushauriwa na Kohler.
Huku ni kuzisaliti roho za mashujaa wetu waliotupigania, na kuwakatisha tamaa wananchi tuliokuwa nyuma yenu.
Nasisitiza kuwa ikiwa CHADEMA wataendelea hivi, chama hiki kitakufa NATURAL DEALTH.