Chadema kikiendelea hivi kitakufa natural death

Heri wewe umegundua utokako na uendako,hivi wale waliokufa kwa ushawishi wa kijinga leo hii kama tukiwapelekea meseji ya nini kinaendelea halafu tuwahuishe na tuwape kadi za chadema unafikiri watazikubali? hiyo ndio mission town, watu wanaishi kwa migongo ya watu.wewe kufa mimi nisurvive. watu watashawishiwa kufanya maandamano haramu ili wajanja wapate la kusema na wajinga waishie selo au kufa.
Ukiwa mshabiki wa magamba akili huwa inahamia kwenye makalio yani unakua unaikalia.Wewe huoni kuwa JK na serikali yake ndo waliohusika.Polis si wa serikali? polisi waliwaua watu mbali na eneo la kituo wakiwa wanakimbia kujihami wewe kwa kuwa ni mshabiki wa magamba hulioni hilo! ok umeuliza kuwa waliouawa wakiulizwa wanashabikia nin,watasemaje! Watasema cdm.
 
Chama kilichojiita eti cha demokrasia na maendeleo, kimebainika kuwa hakina demokrasia yoyote. Kwenye maandamano ya Arusha walishawishi watu kuingia mtaani kusaka haki zao (mimi sikuenda kazini ili nishiriki kikamilifu)

mbunge tuliyemuamini sana Godless Lema akasisitiza kuwa ni heri kufa ukiwa unapigania haki yako kuliko kufa kwa malaria au typhoid (ushahidi ninao).

Mary chatanda alitupiwa lawama akionekana ndiye tatizo, na watanzania wengi tukalazimishwa kuamini hivyo bila kujua upande wa pili kuwa viongozi wa kitaifa wa chadema walikuwa sehemu ya tatizo.

Chadema walitumia kigezo cha Marry Chatanda kupiga kura kuharamisha matokeo, wakati wao walimtumia Lucy Owenya wa Moshi mjini kupiga kura kumchagua m/kiti wa halmashauri ya HAI.

Jamani huu ni unafiki usiomithilika. Yani kutujaza ujinga wakati mnaujua ukweli ni dhambi hata mbele ya Mwenyezi Mungu.

Lakini kilichonisikitisha zaidi ni kuona eti chadema wamekubali matokeo ya umeya wa Arusha kwa kushauriwa na Kohler.

Huku ni kuzisaliti roho za mashujaa wetu waliotupigania, na kuwakatisha tamaa wananchi tuliokuwa nyuma yenu.
Nasisitiza kuwa ikiwa CHADEMA wataendelea hivi, chama hiki kitakufa NATURAL DEALTH.

we muongo!huna ubavu wa kuacha kwenda kutumwa!!!!
 
hujiamiani na kusimamia unachokiamini aliyekwambia cdm haitaki suluhu ya aina yoyote ni nani?????cdm ni watu waelewa watu wenye busara zao wamewafuata wakawasikiliza,hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho,CUF wanachama wao hivyo hivyo waliuwawa kwenye maandamano,ukiaamua kuichukia cdm eti wamekubali suluhu acha hizo naungana na wanaosema nenda magamba ukaote magamba,usitake kujishusha viwango vyako kwa kuleta thread crap.
 
Ndio wakome waliobaki , marehemu walijhifanya makuwadi ili watu wapate mkate wao ! Mwanaume huwezi kumkuwadia mwanaume mwenzio , ili iweje ? Crap to cdm !
 
Kweli dhambi ya ubaguzi haaishi na nyani haoni k*****e ! Leo chadema esp arusha mmetuaminisha kuwa ninyi ni 22+22= 2222 !
Wazanzibar walivyokuwa wakifa na kutaabika sababu ya migogoro ya vyama , mliona utamu ! Cuf walipokubali mseto ili kupunguza/kuondoa uhasama , mkawaita ccm-b ! Sasa chadema tuwaiteje ccm - c au ...! Leo ndio mnajua kuwa "sometimes u had to lose something & gain something at the same time ?" nanyi mlikuwa mnataka cuf by the time waingie mtaani na majambia ??? Au znz waendelee kutozikana, uziana bidhaa nk kama mbowe alivyolitamka hili jan 27 itv ? Cdm msijioni mko right kwa kila upuuzi na ukweli ni lazima usemwe , acheni ubinafsi na kujibu hoja kwa maslahi binafsi , utaifa kwanza ccm - c !
 
Ukiwa na jambo la msingi ndugu yangu usikamie sana kuliongea kwa maana ww pekee ndio una uchungu au wajua
Demokrasia ya kweli, Je Mzee Mandela angeamua kukomaa leo ingekuwaje, Angalia kenya na Zanzibari pia. Ukweli uko
pale pale Serikali ya CCm wanabaka Demokrasia kwa matakwa yao na ndio matokeo ya Arusha maana Hoja ya Muafaka Pinda
ametuma waraka wa kuomba ili kesi yake bungeni iishe asiumbuke.

Suala la Lucy Owenya, uchaguzi wa Arusha ndio ulianza na CCM wakaleta hao mamluki, Catherine Magige wa Longido, Namelok Sokoine
wa Monduli na mary Chatanda wa tanga sababu wao hizi kanuni ndio walikuwa wazijua, CDM ikabidi itafute namna ya kubalance vote ndio
maana ikaingia na yenyewe kwenye hili la Hai na Arusha. Sasa ngoma inayopigwa ni ya CDM zaidi ya CCM si sawa huu mchezo ndio ulivyokuwa.
Waziri akijibu swali bungeni huwa anaongelea kama vile wao walivyomleta nasi hivyo hivyo ushenzi mtupu wana CCM.
 
Una maana una amini kwenye siasa za kupingana na sio za kutoana roho ili watu fulani wapate ulaji?
 
Ukiwa mshabiki wa magamba akili huwa inahamia kwenye makalio yani unakua unaikalia.Wewe huoni kuwa JK na serikali yake ndo waliohusika.Polis si wa serikali? polisi waliwaua watu mbali na eneo la kituo wakiwa wanakimbia kujihami wewe kwa kuwa ni mshabiki wa magamba hulioni hilo! ok umeuliza kuwa waliouawa wakiulizwa wanashabikia nin,watasemaje! Watasema cdm.

wenzako wanalalamika wamesalitiwa na viongozi wao,tena mtoa mada alikuwa mmoja wa waandaamanaji kwa ushawishi wa viongozi hao.wewe hujui kilio cha mtoa mada.ameshaona kasoro. sasa andamana tena uone tutakavyo kukong'oli.
 
Hapa unaanza kwa kujinasibisha na chadema, unaonyesha ni kwa kiasi gani ulivyo na uchungu na chama ukipendacho na unakitakia mema.

sihamii CCM wala CUF. Nitaendelea kubaki CHADEMA, lakini nitasimamia ukweli daima.

Kumbe hakuna kitu, unatumia janja ya nyani kula maindi bichi, ona jinsi ulivyojifunua hapa mwenyewe. Kwakuwa ni wao basi wewe si miongoni mwao, na kwa kuwa si miongoni mwao basi wewe si mwanachadema ndio maana unapiga parapanda la propaganda. Kama umetumwa kama wengine basi bosi wako atakuwa ameiona kazi yako na bila shaka leo utapata mkate wako kwa kuanzisha uzifu post!!

Sasa naamini kile nilichokuwa nadhania kwa muda mrefu tangu nijiunge na CHADEMA, kuwa chama hiki hakitetei maslahi ya umma, bali kinatumia nguvu ya umma kutetea maslahi ya wachache (viongozi ambao wengi wao ni wachaga).Nashukuru kuwa umetamka mwenyewe kuwa CHADEMA walikuwa wanataka madaraka Arusha, na si kutetea wananchi. Mnaua wananchi, mtamuongoza nani.? Kama mmeua watatu jwa kupigania umeya, kwenye urais si mtaua nusu ya TANZANIA?? Demokrasia gani hiyo ya kinafiki.?Hoja zako ni mufilisi ndugu yangu. Eti ulitaka wananchi wa arusha waendelee kuteseka? Kwani wakati mnayafanya hayo hamkujua mtawatesa wananchi?? That is weak argument. WANAFIKI WAKUBWA nyie!

Nilipokweka red nimejaribu kukuonyesha pasiposhaka kwamba wewe si mmoja wao kama mwenyewe ulivyothibitisha. Kwa maana hiyo wewe ni kijana wa magamba na kwenye maandamano ya 05/01/2011kama ulishiriki basi ulikuwepo ili kutekeleza majukumu ya chama magamba kama unavyotekeleza hapa.
 
Chama kilichojiita eti cha demokrasia na maendeleo, kimebainika kuwa hakina demokrasia yoyote. Kwenye maandamano ya Arusha walishawishi watu kuingia mtaani kusaka haki zao (mimi sikuenda kazini ili nishiriki kikamilifu)

mbunge tuliyemuamini sana Godless Lema akasisitiza kuwa ni heri kufa ukiwa unapigania haki yako kuliko kufa kwa malaria au typhoid (ushahidi ninao).

Mary chatanda alitupiwa lawama akionekana ndiye tatizo, na watanzania wengi tukalazimishwa kuamini hivyo bila kujua upande wa pili kuwa viongozi wa kitaifa wa chadema walikuwa sehemu ya tatizo.

Chadema walitumia kigezo cha Marry Chatanda kupiga kura kuharamisha matokeo, wakati wao walimtumia Lucy Owenya wa Moshi mjini kupiga kura kumchagua m/kiti wa halmashauri ya HAI.

Jamani huu ni unafiki usiomithilika. Yani kutujaza ujinga wakati mnaujua ukweli ni dhambi hata mbele ya Mwenyezi Mungu.

Lakini kilichonisikitisha zaidi ni kuona eti chadema wamekubali matokeo ya umeya wa Arusha kwa kushauriwa na Kohler.

Huku ni kuzisaliti roho za mashujaa wetu waliotupigania, na kuwakatisha tamaa wananchi tuliokuwa nyuma yenu.
Nasisitiza kuwa ikiwa CHADEMA wataendelea hivi, chama hiki kitakufa NATURAL DEALTH.
When fighting in a war retreat should be concidered as a stratergy to win. I take the reconcilliation as a reatreat from face to face engangement in a battle...The war is very much on..lets not hamper the spirit of fighting for true democracy...aluta continua.....
 
hapo kwenye red uliwahi kuhudhuria elimu ya watu wazima? au wewe ni mwehu
elimu ya watu wazima alihudhuria mama yako maana alikuzaa hajui kusoma. You young boy, never ever try to compare my thinking capicity with your foolish idea.You idiot, it's better to keep quet and peope to think that you are foolish, rather than to speak and remove all doubts.
 
Acha ulimbukeni naona umejivua ufahamu kwa hiyo ulitaka mauaji yaendelee,mwanzo chadema walipendekeza kuwe na majadiliano ambayo yangewafikisha hapa yalipowafikisha leo,lakini kwa ubishi wa CCM wakakataa na wakasababisha mauaji
 
Chama kilichojiita eti cha demokrasia na maendeleo, kimebainika kuwa hakina demokrasia yoyote. Kwenye maandamano ya Arusha walishawishi watu kuingia mtaani kusaka haki zao (mimi sikuenda kazini ili nishiriki kikamilifu)

mbunge tuliyemuamini sana Godless Lema akasisitiza kuwa ni heri kufa ukiwa unapigania haki yako kuliko kufa kwa malaria au typhoid (ushahidi ninao).

Mary chatanda alitupiwa lawama akionekana ndiye tatizo, na watanzania wengi tukalazimishwa kuamini hivyo bila kujua upande wa pili kuwa viongozi wa kitaifa wa chadema walikuwa sehemu ya tatizo.

Chadema walitumia kigezo cha Marry Chatanda kupiga kura kuharamisha matokeo, wakati wao walimtumia Lucy Owenya wa Moshi mjini kupiga kura kumchagua m/kiti wa halmashauri ya HAI.

Jamani huu ni unafiki usiomithilika. Yani kutujaza ujinga wakati mnaujua ukweli ni dhambi hata mbele ya Mwenyezi Mungu.

Lakini kilichonisikitisha zaidi ni kuona eti chadema wamekubali matokeo ya umeya wa Arusha kwa kushauriwa na Kohler.

Huku ni kuzisaliti roho za mashujaa wetu waliotupigania, na kuwakatisha tamaa wananchi tuliokuwa nyuma yenu.
Nasisitiza kuwa ikiwa CHADEMA wataendelea hivi, chama hiki kitakufa NATURAL DEALTH.

Umeanza kuvua gamba andelea kuvua utapata akili tu .Kwa sasa ungali jinga la magamba kweli .
 
Mimi sina undani wa sakata hili, lakini on the face of it kama taratibu za kisheria zilivunjwa kwa kumweka Chitanda kupiga kura, ilibidi walisimamie kufa na kupona because it involves a point of law!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nakubaliana na mawazo yako ka kiasi kikubwa, but legal procedures haziruhuru kutafuta HAKI yako KWA KUVUNJA HAKI ZA WENGINE.Halafu jambo la pili, mbona CHADEMA hawataki kusema ukweli kuhusu kumtumia LUCY OWENYA kupiga kura Hai wakati jimbo lake ni Moshi mjini?Kama Chatanda alivunja taratibu za kisheria kupiga kura Arusha, basi hata Owenya alivunja kwa kupiga kura Hai.Kwanini la Owenya halikuonekana tatizo bt la Chatanda likavaliwa njuga? Jibu sahihi ni kuwa yalikuwepo maslahi ya kisiasa nyuma ya pazia. CHADEMA walikuwa na uchu wa madaraka na si nia ya kweli ya kuwasaidia wakazi wa Arusha.
 
Back
Top Bottom