spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,220
GreatThinkers, Good news
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisheni ya kuwa CHADEMA imeshinda ktk uchaguzi wa Serikali ya kijiji cha KABIGA kata ya KAKOLA Jimbo la Nyangwale wilaya ya Geita.
Aliyekuwa Mwenyekiti ( CCM) aliamua kugombea Udiwani akashinda ikabidi ajivue Gamba moja, akautema Uenyekiti.
Mara ya kwanza walitangaza Uchaguzi walipogundua kuwa dalili za kushindwa ni kubwa Gafla uchaguzi uliahirishwa.
Wakajaribu kuweka Mambo sawa wakizani watarubuni wananchi matokeo yake CDM imepata kura 568 wakati CCM wameambulia 453.
Peoples Power!