UJUMBE KWA CHADEMA, ONYESHENI MFANO KWA KUWAPA WANAWAKE WA ARUMERU KIPAUMBELE.
Wagombea wote wapewe nafasi sawa wajielezee mbele ya wajumbe wote na waseme wamelifanyia nini jimbo lao na kwanini wapewe nafasi ya kugombea nafasi hiyo ?? wajumbe waruhusiwe kuuliza maswali na baada ya kila hoja kusikilizwa na kutolewa majibu ndio kura zipigwe na kuhesabiwa na wakina mama wa arumeru wapewe nafasi ya kusimamia uchaguzi mzima ili chama hiki kionyeshe njia na mfano wa kuigwa kwa kuwapa kipaumbele wakina mama kwa vitendo. Nasema tena wakina mama na wakina dada wa arumeru mashariki ndio waendeshe uchaguzi mzima na msifanye kama CCM kuleta wageni wakina msekwa na mukama kuja kusimamia uchaguzi kama vile hakuna watu wenye uwezo wa kusimamia uchaguzi huko ARUMERU ni matusi mbaya na dharau mbaya sana kwa wana arumeru.