CHADEMA iwe makini na Mbatia pamoja na Zitto

Napata shida kidogo kama kweli una elimu ya chuo kikuu halafu unakosa upeo wa kuelewa kwamba idara za ujasusi dunia mzima lazima ziwe na informers wao, basi hiyo elimu yako ina walakini, elewa kwamba kwamba idara ya ujasusi inakuwa na waajiliwa wake na mwakala wake wake ambao wanalipwa pesa kwa kazi maalum na muda maalum, huu unakuwa ni mkataba wa muda. Zitto kuwa na ukaribu na Deputy Director wa usalama wa Taifa ni lazima kuna some information anazipata kutoka kwa Zitto, na ni taarifa hizo hizo za kiitelijensia ndio wamemdanganya Mkwere kwamba CHADEMA sasa wanapanga kumpinduwa.
Ukitaka kujuwa vizuri kazi za mainformer angalia Israel huwa inapewa na nani taarifa za Magaidi wa kiparestina? Angalia movie moja inaitwa Delta Force one ndio utajifunza vizuri kuhusu hawa mainformer, ila tofauti ya mainformer wa kwetu ni kwamba njaa zimewazidi ndio maana wanatambulika kirahisi, lakini kwa kawaida ni ngumu sana kumjuwa informer.

Tafadhali usituharibie lugha yetu tamu ya kiswahili, naomba rejea hapo juu na urekebishe, kwenye R utumie R na kwenye L utumie L. Na mengineyo ambayo ntajaribu kukusaidia hapa chini:

"walakini" = walakin, towa i ya mwisho wa neno.

"waajiliwa" = waajiriwa.

"kiparestina" = ki-Palestina
Samahani kwa usumbufu, ukirekebisha hayo post yako italeta raha zaidi.
 
Zitto uko wapi? Mbona umekuwa kimya sana. Je tupo pamoja au safari ya ukombozi wa nchi hii imekushinda?

Ile miaka ya kuogopa hujuma ishapita kwani wananchi washajua ni nani ana uzalendo wa kweli na chi yake.

Ila nawahurumia siku kiongozi wa wananchi akichukua hii nchi kuna watu wengi sana watakwenda kuishi uhamishoni kwa hali inavyokwenda.

PEOPLES POWER.
 
Kazi mnayo Chadema. Tanzania ngumu. Zito hapelekeshwi na ujinga. Wabunge wa chadema ni watano tu the rest wasindikizaji.
The 3 chagas, zito and Mnyika. Hawa wawili zito na mnyika ni vichwa sijawahi sikia wakiongea ujinga wa Mbowe na Slaa.
 
ni hoja yako; lakini jihadhali sana kuzua migawanyiko ndani ya CDM-mkombozi wetu kama utakuwa umetumwa!!. Km mbatia ongelea, lakini zitto ni jemedari wetu wa CDM-muache kumugusa na usimuhusishe na mbatia!!
Kwa taarifa yako Zito si mpiganaji kwa jinsi mnavyodhani wengi wenu, ni opportunistic man tupo hapa siku moja utakuja niambia
 
Unajikanganya. Mada yako ungeielekeza kwa Mbatia ingeleta maana sana, lakini umechanganya watu wewili tofuati hapa. Kwa nini mnamtafuta sana Zito? Mimi namwamini Zito na ni moja ya watu wanaosaidia sana katika kulisukuma gurudumu la ukombozi.
 
Nitasema kuhusu Mbatia. Ya Zitto nitakuachia mwenyewe - mi simjui kivile.

Stori yako ya 1990 si sahihi.... I know all what happened (who did what when where).
Na kusema Mbatia ni usalama wa taifa nalo si sahihi..... Namfahamu sana Mbatia fyi.

Lakini nakiri kuwa siasa zimem-transform sana Mbatia. Sifa ya upiganaji aliyokuwa nayo pale UDSM na wakati anajiunga NCCR sasa imemtoka kabisa...amekuwa opportunist na mtu wa kupenda misifa.

Haambiliki hata akishauriwa ....so, si mtu wa kumwamini tena na amekosa sifa kama mpambanaji kuelekea ukombozi tunaoutamani kwenye taifa hili.
mkuu hapo kwenye red hujahabarisha chochote ,toa na wewe story yako tupate huo ukweli.
kuhusu jamaa kupoteza dira nakubaliana na wewe.
 
Tunashukuru kwa taarifa Joblube, ila nimejaribu kufatilia CV ya Zitto kulink na taarifa yako nikachanganyikiwa kidogo. Maana jamaa mwaka 1990 ndiyo alikuwa anamaliza Primary School Kigoma (Kigoma Primary School), na alijoin UD 1999-2003. Au CV ndiyo imekosewa? Kama ni kweli, walio karibu na jamaa waongee naye kiyakinifu.
 
Jamani, hizi taarifa si rasimi kabisa. Ieleweke kuwa CDM inajisimamia kwa maana ya chama, na si mtu mmoja au wawili. Kama kesho Zitto atatusariti, Kesho hiyo hiyo zaidi mwanaharakati na mzalendo wa kweli zaidi ya Zitto atakava nafasi. Sasa wananchi tunataka mabadiliko ya dhati na si polojo polojo. Na Chadema ndo wenye kutuletea mabadiriko kwa nguvu za wananchi.

People... Power...
 
CCM,CDM,NBCCR,DP,UDP,CUF.........Wote wezi tu1 mnajipotezea wakati.We want constitutional reforms that will allow independent candidacy!
 
Nitasema kuhusu Mbatia. Ya Zitto nitakuachia mwenyewe - mi simjui kivile.

Stori yako ya 1990 si sahihi.... I know all what happened (who did what when where).
Na kusema Mbatia ni usalama wa taifa nalo si sahihi..... Namfahamu sana Mbatia fyi.

Lakini nakiri kuwa siasa zimem-transform sana Mbatia. Sifa ya upiganaji aliyokuwa nayo pale UDSM na wakati anajiunga NCCR sasa imemtoka kabisa...amekuwa opportunist na mtu wa kupenda misifa.

Haambiliki hata akishauriwa ....so, si mtu wa kumwamini tena na amekosa sifa kama mpambanaji kuelekea ukombozi tunaoutamani kwenye taifa hili.

Umenena Mzee wa TFDA!
 
CCM,CDM,NBCCR,DP,UDP,CUF.........Wote wezi tu1 mnajipotezea wakati.We want constitutional reforms that will allow independent candidacy!

Then baada ya kuwa na mgombea binafsi what is next? unakuja na hoja za rejareja hata haueleweki target yako ni nini. watu kama nyinyi hata tukikupa nafasi uandike wewe katiba unayoitaka lakini bado hautojuwa ni nini unachohitaji. Crapiest.
 
Wana JF napenda kutoa angalizo kwa CDM kuwa makini na hawa jamaa wawili kwa hawa wanakazi muhimu kwao ya kuibomoa CDM kwani ni maagenti wa usalama wa taifa. Huyu Mbatia kwa wale tuliokuwa naye pale chuo kukuu mwaka wa 1990 mtakumbuka mambo aliyotufanyia tulipoanzisha ule mgomo. Mwenzetu tulikuwa tunapanga na yeye kwenye mkutano wetu kumbe usiku wake anapelekeka taarifa ya kile tunachopanga tunawahiwa na tulimgundua na kutenga. Mtakumbumbuka pia alisababisha Rais wa Campas ya muhimbili ndugu Kimaro kufukuzwa chuo na hakurudi tena baada ya kugundua kuwa msaliti alikuwa katikati yetu. Huyu jammaa anajifanya mpinzani hamna lolote ni sawa na Zitto nionavyomienendo yake. Kama hamamini subiri sikuzinakuja mtagundua hayo ni semayo. Hawa jamaa hupandikizwa kwa staili ya hali ya juu sana kiasi cha nyie kutotambua cha msingi ni kuwa makini na hawa jamaa wasije wakachelewesha ukombozi wa Watanzania.

hawa jamaa nashindwa kuwadefine!!!
 
Napata shida kidogo kama kweli una elimu ya chuo kikuu halafu unakosa upeo wa kuelewa kwamba idara za ujasusi dunia mzima lazima ziwe na informers wao, basi hiyo elimu yako ina walakini, elewa kwamba kwamba idara ya ujasusi inakuwa na waajiliwa wake na mwakala wake wake ambao wanalipwa pesa kwa kazi maalum na muda maalum, huu unakuwa ni mkataba wa muda. Zitto kuwa na ukaribu na Deputy Director wa usalama wa Taifa ni lazima kuna some information anazipata kutoka kwa Zitto, na ni taarifa hizo hizo za kiitelijensia ndio wamemdanganya Mkwere kwamba CHADEMA sasa wanapanga kumpinduwa.
Ukitaka kujuwa vizuri kazi za mainformer angalia Israel huwa inapewa na nani taarifa za Magaidi wa kiparestina? Angalia movie moja inaitwa Delta Force one ndio utajifunza vizuri kuhusu hawa mainformer, ila tofauti ya mainformer wa kwetu ni kwamba njaa zimewazidi ndio maana wanatambulika kirahisi, lakini kwa kawaida ni ngumu sana kumjuwa informer.

Kuna watu waliofanya ninaodiriki kuuita "uhalifu" mkubwa zaidi ya Mbatia wakati wa mgomo uliopelekea yeye kufukuzwa UDSM 1992. FYI, wale "wahalifu" wakubwa zaidi hawakufukuzwa na hadi hii leo wanadunda mtaani kama ma-CEO, machinga, etc.

Common sense question....je Mbatia angekuwa "informer" (or whatever you want to call him) hawa "wahalifu" wangepona???

Mi simtetei Mbatia kwa mtizamo alionao sasa kisiasa - far from it. The guy has gone politically nuts and is screwing himself up!

Lakini kwa upande mwingine si vizuri kufanya upotoshaji wa historia.
 
Napata shida kidogo kama kweli una elimu ya chuo kikuu halafu unakosa upeo wa kuelewa kwamba idara za ujasusi dunia mzima lazima ziwe na informers wao, basi hiyo elimu yako ina walakini, elewa kwamba kwamba idara ya ujasusi inakuwa na waajiliwa wake na mwakala wake wake ambao wanalipwa pesa kwa kazi maalum na muda maalum, huu unakuwa ni mkataba wa muda. Zitto kuwa na ukaribu na Deputy Director wa usalama wa Taifa ni lazima kuna some information anazipata kutoka kwa Zitto, na ni taarifa hizo hizo za kiitelijensia ndio wamemdanganya Mkwere kwamba CHADEMA sasa wanapanga kumpinduwa.
Ukitaka kujuwa vizuri kazi za mainformer angalia Israel huwa inapewa na nani taarifa za Magaidi wa kiparestina? Angalia movie moja inaitwa Delta Force one ndio utajifunza vizuri kuhusu hawa mainformer, ila tofauti ya mainformer wa kwetu ni kwamba njaa zimewazidi ndio maana wanatambulika kirahisi, lakini kwa kawaida ni ngumu sana kumjuwa informer.

Kwako kutofautiana kimawanzo ni tofauti ya Elimu? Nafikiri ulifanya kazi ya ziada kuipata kiasi cha kuona kuwa elimu ya darasani ni kila kitu.
 
Msihofu wanangu huwezi ukayazuia maji kufuata mkondo hata siku moja!
Nasema nikiamini bila shaka yeyote.
Imesha ombwa Na imepokelewa.
Dua kwamba msaliti yeyote wa ukombozi amekabidhiwa mikoni mwa MMUNGU Ili amshughulikie yeye mwenyewe.
Damu yote iliyomwagwa na mafisadi imemlilia MMUNGU.
KISASI CHA MUNGU MWENYEZI KINAKUJA NA NI CHA KUTISHA.
 
Aliyeleta uzi huu walimbeza sasa ni kweli yanatimia mbatia ndani ya mbunge baada ya kutimiza kazi na huko ni kazi nyingine zaidi km jussa. Hutaki unaacha nao alituonjesha utamu wa haya akasepa. Tutakoma.
 
hii hoja ina ukweli ndani yake kwani bora mchawi kuliko mtu mnafiki katika jamii,spo we have to b very careful with thesae 2 people zitto na mbatia
 
Back
Top Bottom