CHADEMA itakufa karibuni kama NCCR mageuzi - Tambwe Hiza

jamani mimi ni msomi naelewa characteristics za KILAZA, kama kuna Mtu anayeweza kutusaidia TAMBWE HIZA achunguzwe Elimu yake aliipataje au Ndo wale wanao pitishwa pitishwa universities kwa kupewa bonus GPA. CHADEMA ni chama MAKINI hakiwezi KUFA milele. Dalili zinaonyesha CCM itakufa Kifo cha MENDE. sisi Vijana tunaona mbali. TABWE hana Karama ya kuongea jamani. kwanza ana Jazba anapanda Mzaha kwenye mambo ya msingi. alafu ameonyesha utomvyu wa nidhamu kwa kutafautiana LIVE na mwenyekiti Taifa CCM. Mr. JK. Yeye kama Tambwe propaganda gani anaeneza au ni Majungu tu anaeneza. swali ningeuliza ni kwamba yeye Ameibua nini Mpaka sasa au Anadandia Train kwa mbele. Dr. Slaa and CHADEMA have aways kept the Government on its toes. Tambwe Hiza is Nothing in Tanzania. if am to be national Chairman of CCM, God forbbide ningemfukuza kazi mara moja kwa sababu Hana Karama ya kupambanua Mambo ya msingi.
 
Nimeangalia Star tv namuona Tambwe hizza akikitabiria kifo CHADEMA kama NCCR Mageuzi.

Alisema NCCR waliingia kama moto wa nyasi lkn sasa mahututi. Na CHADEMA sasa imekuja hivyo hivyo
lkn ameshindwa kuonyesha uchungu wa nchi kuhusu DOWANS. Pia ameambiwa aache upropaganda katika kujenga hoja

...Nimecheck hayo mazungumzo hapo Star TV.
Nilivyoelewa ni kwamba CCM inataka iwe refa na iwe team pinzani kwenye uwanja huo huo.
Kwamba watasema lini siasa zianze, lini ziishe, wapinzani wafanye makongamano na kina nani, etc.
Kama JK anazungumza na wazee wa DSM in opposite kina Mnyika na kina Kitila wanazungumza na Wasomi. Hilo hawataki kwani kama huja-copy kwao then hiyo haifai.
Pia, kwenye hii midahalo ni vyema uone huwi-dragged na mpumbavu. Jikite ulichopanga kujadili. Ingawa hata wanaondesha vipindi wanajikuta washazolewa na mazungumzo yaliyo nje ya mada.
 
Mwenyewe Tambwe siku zake ccm zinahesabika, kwani mfadhili wake Makamba akisha ngolewa kwenye ukatibu mkuu yeye hawezi kumaliza roundi.
 
Nimeangalia Star tv namuona Tambwe hizza akikitabiria kifo CHADEMA kama NCCR Mageuzi.

Alisema NCCR waliingia kama moto wa nyasi lkn sasa mahututi. Na CHADEMA sasa imekuja hivyo hivyo
lkn ameshindwa kuonyesha uchungu wa nchi kuhusu DOWANS. Pia ameambiwa aache upropaganda katika kujenga hoja

Nimecheck hayo mazungumzo pia.
Hiza anachotaka ni tuwe na ubao wa matangazo, kwamba tarehe fulani tunaanza siasa na tunamaliza tarehe fulani na tunazungumzia nini.
JK anapiga sisa zake na wanaoitwa Wazee wa DSM; Kitila, Mnyika wanazungumza na vijana wasomi....balaa....uchochezi kwa vijana.
Hiza aachane na siasa za kutabiri...hazina afya. Ni kama niangalie volume yake na ya Kafulila...unaweza kutabiri mengi kuhusu uwezo wao wa kufikiri, afya, etc.
Hiza anakasirishwa na watu ku-refer philosofa...dakika moja baadaye anam-refer mwalimu...ni ugumu wa kufikiri na wepesi wa kusahau au????
 
Nimeangalia Star tv namuona Tambwe hizza akikitabiria kifo CHADEMA kama NCCR Mageuzi.

Alisema NCCR waliingia kama moto wa nyasi lkn sasa mahututi. Na CHADEMA sasa imekuja hivyo hivyo
lkn ameshindwa kuonyesha uchungu wa nchi kuhusu DOWANS. Pia ameambiwa aache upropaganda katika kujenga hoja

CCM hivi ndivyo wanavyoomba. Na believe me CDM inawasumbua sana vichwa. Assumption zao ni kuwa ife,iishiwe nguvu, watu wasiiunge mkono, n.k. Ila mazingira ya NCCR na miaka hiyo ni tofauti na sasa, muundo wa ki-uongozi wa NCCR ni tofauti na CDM..kama wanataka kufanikiwa inabidi waingie ndani ya uongozi wa CDM uliopo na wasambaratishe.

Nimependa mno jinsi issue ya Zitto na viongozi wa wenzake wa CDM inavyoyeyuka, CCM walikuwa wanaomba mgogoro uzidi kuendelea na CDM wamtimie Zitto naye from other corner a hit-back na hivyo kuleta mtafaruku ndani ya chama.

Ila CDM wasidhani kama wako salama, CCM kamwe hawalali na are working very hard kutumia mbinu zozote zilizowahi kutumia na serikali yoyote duniani kwenye kuzi-apply kwenye mazingira haya tuliyokuwa nayo.

Shkh Yahya.
 
...waendelea kusubiria hiyo bahati, kama mafisi wanaosubiria mkono wa binadamu udondoke.....!
 
Kuna mtu ana CV ya Tambwe Hizza aiweke hadharani ili tujue tunamjadili mtu wa aina gani hapa?

Elimu:Darasa la saba
Siasa: Mgombea ubunge(1995-NCCR;2000-TLP;2005-CUF;2010-CCM) Mara zote kashindwa
Kazi:Kupiga debe(kabla ya 1995-Madaladala;1995-2000:NCCR;2000-2005:TLP;2005-2006:CUF;2006-sasa:CCM)
Hobbies:Ushabiki wa Yanga
 
The Hunter, jamaa sio kama .... ndivyo alivyo..... we tafuta contacts zake muibukie anaweza kukufikiria ukapata mapumziko mafupi. jamaa yupo shallow sana!!! yupo tayari kufanya chochote ili mradi awafurahishe wakubwa zake while doing that anajidhalilisha na hata hao waliomtuma wanamcheka!!
 
Mimi naaminiatakufa yeye na chama chake.Maana kila anapoongea hovyo anazidi kuwachukiza watu.CDM iko makini.
 
Binafsi namuonea imani - kujivunia nafasi ya kazi kwa kupewa cheo katika idara ya "PROPAGANDA" ni afadhali nilale njaa....maana moja kwa moja hata hao waliokupa hiyo nafasi wanatambua namna gani HAMNAZO. On a serious note, ukimsikiliza TAMBWE HIZA akiwa katika majadiliano unapata hasira sana maana HANA HATA punje ya points zenye maana....:disapointed:
 
Tambwe hiza ni mtu mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri.Kama ulimuona kipindi cha kipima joto ITV ijumaa iliyopita ambapo alikuwa na washiriki wengine, Dr Sengondo Mvungi, Usu Malya wa TGNP na wengine wasomi.Katika mjadala huo uliohusu umuhimu wa mabadiriko ya katiba ya Tanzania, Tambwe Hiza alikuwa si tu hazielewi hoja za wenzake, vile vile alikuwa akizungumza mambo ambayo ni irrelevant na mada na hayakuwa na logical flow.Hivyo huyo jamaa si mtu anayeweza kujadili suala lolote la maana kwenye jamii yetu ya sasa ya Kitanzania.Ninamshauri aachane na siasa maana amefulia, na ameshafirisika kimawazo, na ubongo wake uko ICU.
 
Nilimsikiliza Tambwe kwenye kipindi cha kipima joto ITV ambapo suala la katiba mpya lilikuwa likijadiliwa na nilimsikiliza pia Star TV hiyo jana. Anachofanya huyu bwana ni kuvuruga hii madahalo hasa ule wa ITV. Ninachojiuliza mpaka sasa ni kwamba je anafanya makusudi au ndo uelewa wake uko hivyo? Kwenye kipindi cha ITV, kuna wakati walianza kubishana na Dr. Mvungi juu ya wapi kongamano la katiba yetu ya kwanza lilifanyika. Yeye alikuwa anasema ni Lancaster wakati Dr. Mvungi akisisitiza kuwa ilikuwa ni Anatoglo DSM. Na ilibidi Dr. aonye kwamba ni vizuri mambo yaliyokuwa yanaongelewa yakawa ya kweli kwani kuna wanafunzi wanafuatilia mijadala kama hiyo na si vizuri kuwapa taarifa za uongo.

Kama waandaaji wa vipindi ndo wanaompa mwaliko huyu bwana nawashauri waache kwani anaharibu vipindi husika. Na kama ni chama chake kinamteua kuwakilisha nacho pia kiache kwani kitaendelea kuaibika. Kwa vyovyote vile,anachokifanya ni upotoshaji na jinsi anavyofanya, itafikia wakati nitaacha kusikiliza midahalo ambayo yeye anashiriki kwa vile inakuwa inakosa tija!
 
Back
Top Bottom