Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema
wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.
Kweli kabisa kwani hata rais wa awamu ya 4 anatoka Kaskazini!