kalokolaVIII
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 396
- 183
Mzee mtei ni muasisi na ni muasisisi wa chadema maoni yake yana nguvu katika chama mnyika! hilo halipingiki hata kidogo.
Taarifa imeandikwa kwa Kiswahili bado una unapata shida kuielewa,je ili uielewa tuitafsiri katika lugha gani??????????
Hakuna sehemu yoyote ilipoandikwa kuwa maoni ya Mzee Mtei hayana nguvu au la imeandikwa ni MAONI YAKE BINAFSI NA SI MATOKEO YA VIKAO VYA CHAMA. Imeeleweka sasa au tubadili lugha????