CHADEMA 'imelidanganya Bunge'

Soma Halima alisema nini na jina halisi ni la nani ....

"Mheshimiwa Spika, wakati Shamba la Mbarali akipewa kwa bei ya kutupa Mwenyekiti wa CCM, shamba la kapunga[1] lilibinafsishwa na kukabidhiwa kwa kampuni ya Export Co. Ltd kwa bei ya kutupa ya shilingi bilioni 2.3, mmiliki akiwa bwana JEETU Patel ( Jina halisi Jayantkumar Chandubhai Patel)".

Aje akanushe kuwa jina halisi sio la mmiliki wa hilo shamba na kampuni ya Export CO.Ltd kwani kukanusha bila ushahidi ni ujinga .....


[1] Akijibu maswali tarehe 29/1/2008 , akielezea moja ya mafanikio ya mwekezaji huyu ni kukodisha jumla ya hekta 573 na 786 kwa vikundi vya wakulima wadogo 39 na 59 katika mwaka 2006/2007 na 2007/2008 na kwamba hekta 174 zilitarajiwa kukodishwa mwaka 2008.
 
quote_icon.png
By lebadudumizi

Jamani great thinkers nadhani wakati mwingine inabidi tupunguze ushabiki tujadili hoja ya msingi. Ule wimbo wa CHADEMA chama cha Wachaga muda wake umeisha. Tuulizeni sisi ambao tuko Chadema na siyo wachaga. Hakuna kitu kama hicho. Huu wimbo umeshakuwa zilipendwa.
 
Back
Top Bottom