CHADEMA Imekaaje?

Nawaomba wadau wa Chadema watupe majibu kwa nini hawana diwani hata mmoja katika majimbo yafuatayo:-
Mtwara Mjini, Masasi, Newala, Mtwara Vijijini, Tandahimba, Nanyumbu, Lulindi, Lindi Mjini, Mtama, Liwale, Nachingwea, Kilwa Kaskazini, Kilwa Kusini, Kibaha Mjini, Kibaha Vijijini, Mafia, Rufiji, Kibiti, Mkuranga, Kisarawe, Majimbo ya Pemba na Unguja, Tanga Mjini, Muheza, Pangani, Mkinga, Kilindi, Korogwe, Lushoto, Bumbuli, Temeke, Ilala,Kigamboni, Kinondoni. Tunduru Kaskazini, Tunduru Kusini, Namtumbo, Mbinga Mashariki, Mbinga Magharibi, Peramiho

Wanazi wa Chadema leteni majibu

Kila kitu kinazaliwa,kuishi na kukua baadae kuendelea na mwisho kufa (japo inawezekana recycling pia)....CHADEMA kipo kwenye hatua ya ukuaji sasa....ni Kama kuuliza kwa nini huna miaka hamsini? Ni kwa sababu hujafikisha umri huo....
Kilikuwa hakina mbunge hata mmoja Mwanza sasa kimepata wawili...kilikuwa hakina mbunge shinyanga sasa kimepata 5
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Wewe ondoa longo longo zako. Unachokisema wala hukifahamu.

Kama bandiko hukulipenda, kwa nini unapoteza muda kusoma lote na ku-reply.

Usifiche ukweli wa jambo kwa mgongo wa marumbano ya kiitikadi.

Kwa akili zako unafikiri kila anatembelea au kupost JF basi yuko Tanzania.

Usitake kuleta dictatorial mentality hapa JF ili watu wafanye kile unachokitaka/kukipenda.

Kama huwezi kujibu na kuchangia hoja, una choice mbili, ignore or skip

Wapi amesema kila anaetembelea JF yuko Tanzania? Acha kumuonea huo ndio mchango wake!
 
Roma haikujengwa kwa siku moja. Maendeleo ni hatua! Naamini 2015 watafika huko! Subiri, bado kitambo kidogo tu!
 
duh kama maeneo yote hayo hata diwani hawana then uchaguzi 2015 watadoda sana
 
Katika ki2 najivunia hapa kukwaani ni kuwa huru,silipwi,simtumikii yeyote.
maswali ya mafilili yanaonyesha jinsi anavyo fiki kidogo.
 
Pia Kondoa Kaskazini na Kusini hakuna diwani wa CDM kwa Lusinde nako CDM hawana uongozi wala hawajawahi kutia mguu
Wewe kajibu hoja kule, kuna mdau kauliza vipi kuhusu ile hukumu ya jana ya Lema pale Mahakama ya Rufaa? Mbona huiongelei wewe mbulula?
 
Nawaomba wadau wa CHADEMA watupe majibu kwa nini hawana diwani hata mmoja katika majimbo yafuatayo:-

Mtwara Mjini, Masasi, Newala, Mtwara Vijijini, Tandahimba, Nanyumbu, Lulindi, Lindi Mjini, Mtama, Liwale, Nachingwea, Kilwa Kaskazini, Kilwa Kusini, Kibaha Mjini, Kibaha Vijijini, Mafia, Rufiji, Kibiti, Mkuranga, Kisarawe, Majimbo ya Pemba na Unguja, Tanga Mjini, Muheza, Pangani, Mkinga, Kilindi, Korogwe, Lushoto, Bumbuli, Temeke, Ilala,Kigamboni, Kinondoni. Tunduru Kaskazini, Tunduru Kusini, Namtumbo, Mbinga Mashariki, Mbinga Magharibi, Peramiho

Wanazi wa CHADEMA leteni majibu

Dawa ya CCM inachemka nayo ni 2015.
 
Wapi amesema kila anaetembelea JF yuko Tanzania? Acha kumuonea huo ndio mchango wake!
Hapo kwenye RED. Anapomwambia mtu sasa ni saa tano usiku, anajuaje huyo anayeandika kama yuko kwenye time zone yake!!.
Hizi habari za Chadema, chadema, chadema vs CCM mpaka zinachosa sasa na kukera, kwani ulitaka CDM wawe na madiwani nchi nzima? inakuwa sasa kama chadema na ccm wanagombania mke au wamechukuliana waume? Khaa! kwanini usuwaulize hao madiwani waliopo whichever party they belong wamewaletea maendeleo gani katika hizo kata waliowachagua? we mtu saa tano za usiku bado unaiwaza chadema badala ya kulala ukafaidi usingizi wako, sasa wakishakujibu kwa nini hawana madiwani then what? inaudhiii.
 
Mimi sijui kama huko kuna Wakristo Wachaga.Embu wenyeji wa huko watuambie
 
Nawaomba wadau wa CHADEMA watupe majibu kwa nini hawana diwani hata mmoja katika majimbo yafuatayo:-

Mtwara Mjini, Masasi, Newala, Mtwara Vijijini, Tandahimba, Nanyumbu, Lulindi, Lindi Mjini, Mtama, Liwale, Nachingwea, Kilwa Kaskazini, Kilwa Kusini, Kibaha Mjini, Kibaha Vijijini, Mafia, Rufiji, Kibiti, Mkuranga, Kisarawe, Majimbo ya Pemba na Unguja, Tanga Mjini, Muheza, Pangani, Mkinga, Kilindi, Korogwe, Lushoto, Bumbuli, Temeke, Ilala,Kigamboni, Kinondoni. Tunduru Kaskazini, Tunduru Kusini, Namtumbo, Mbinga Mashariki, Mbinga Magharibi, Peramiho

Wanazi wa CHADEMA leteni majibu

kuliko na umasikini wa kutisha na ukosefu wa elimu ndiko ccm mliko!!!
 
Wewe kajibu hoja kule, kuna mdau kauliza vipi kuhusu ile hukumu ya jana ya Lema pale Mahakama ya Rufaa? Mbona huiongelei wewe mbulula?

atajibu nini mkuu, mtu mzima akishikwa kende lazima atulie!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kwa kisarawe aomba nikupe majibu tupo na tumejiimarisha sana sasa kuna chaguzi ndogo za vijijini tumesimamisha watu 5 kwenye vijiji 6 tumeshindwa kimoja kutokana na geography ya eneo husikia na uhakika wa kupata vijiji 3.na mambo yakienda vizuri kisarawe chadema itachukua 2015
 
Back
Top Bottom