meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
Kulingana na matokeo ya utafiti uliofanywa na REPOA imeonekana kuwa 84 % ya watanzania wanahitaji katiba mpya.
Ikumbukwe kuwa mojawapo ya ahadi za chadema kwa wananchi katika uchaguzi wa 2010 ilikuwa ni kupatikana kwa katiba mpya ndani ya siku mia moja.
Huku ccm ikipinga na kusema haiwezekani.
Hii ni turufu nyingine kwa chadema kwani ni chama kinachoongelea mahitaji ya wananchi.