Chadema iligoma kusaini makubaliano ndani ya UKAWA!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Nimesikia hii kitu kwenye magazeti leo asubuhi kuwa CHADEMA iligoma kusaini makubaliano ya kisheria juu ya muungano huu wa kihuni wa UKAWA.

Kwa muktadha huu UKAWA ni dubwana lisiloelewana wala kuekeweka hivyo mwananchi wa Tanzania hawezi kuwekeza matumaini yake kamwe kwa UKAWA!
 
Hata kufunga ndoa mnaweka mkataba sembuse ushirikiano wa kisiasa ?
Sasa hivi mjadali ulio kwenye chat ni serekali inayopenda sifa ya viwanda kuogopa bunge kuonyeshwa live. Ni lazima muogope bunge kuonyeshwa live maana mmetangaza sukari itauzwa 1800 lakini huko madukani ni 2300-2500 kwa kilo. Eti serekali ya viwanda wakati wizara ya viwanda imetenga shilingi 96bilioni!! Hivi mnazungumzia kujenga viwanda ama mnatania watu? Kwa taarifa yako kiwanda cha Dangote tu kimejengwa wangalau karibia 1Trilioni leo nyie mnaimbisha watu Tz ya viwanda kwa bilioni 96 wakati hata kudhibiti tu bei ya sukari mmeshindwa.
 
Bilioni 96 ni za kujenga au kufufua viwanda?

Kwa kutooneshwa bunge live umeweza kujua bajeti ya viwanda na biashara sasa kwa nini unalilia iwe live?
 
Acha utoto wewe, unafufua viwanda vyenye teknologia ya kizamani. Hivi wewe leo unatarajia kufufua viwanda vyenye technoligia ya miaka 50 iliyopita. Yaani ni kama leo kuna maVX V8 wewe unazungumzia kufufua Landrover 109, ama volkswagen bito. Nyie kadanganyeni wakulima sio watu wanaojua nini kinaendelea. Hiki kitendo cha kuachia wahuni wachache wanaopenda sifa huku mkifanya mijadala kwenye giza hakutatufikisha popote. Kama mmeshinda hata kudhibiti bei ya sukari ndio mtafufua viwanda kwa vya kizamani kwa bajeti ya 96bilioni!!?
 
Nimesikia hii kitu kwenye magazeti leo asubuhi kuwa CHADEMA iligoma kusaini makubaliano ya kisheria juu ya muungano huu wa kihuni wa UKAWA.

Kwa muktadha huu UKAWA ni dubwana lisiloelewana wala kuekeweka hivyo mwananchi wa Tanzania hawezi kuwekeza matumaini yake kamwe kwa UKAWA!
Umeandika upuuzi na unapuuzwa tu! Siku hizi unaandika ujinga ujinga, U-DC ndio utaupata kwa kuandika upuuzi hii?
 
Acha utoto wewe, unafufua viwanda vyenye teknologia ya kizamani. Hivi wewe leo unatarajia kufufua viwanda vyenye technoligia ya miaka 50 iliyopita. Yaani ni kama leo kuna maVX V8 wewe unazungumzia kufufua Landrover 109, ama volkswagen bito. Nyie kadanganyeni wakulima sio watu wanaojua nini kinaendelea. Hiki kitendo cha kuachia wahuni wachache wanaopenda sifa huku mkifanya mijadala kwenye giza hakutatufikisha popote. Kama mmeshinda hata kudhibiti bei ya sukari ndio mtafufua viwanda kwa vya kizamani kwa bajeti ya 96bilioni!!?
Kufufua kiwanda cha zamani inagharimu kiasi gani ???mfano General tyre.ongelea facts!!
 
2020 sijui watakopa wapi wagombea maana CUF nao ndio hivyo wamebakiwa na kugoma tu,nadhan wataelekeza nguvu zao kwa Lugumi au wilson kabwe hawa wanawafaa wazee wa kusafisha wenye tuhuma
 
Onesha upuuzi ni upi sio kubwabwaja tu
Muungano wa kihuni ni Upi? Dubwana ndio nini? Unaelewa kua UKAWA wana wabunge zaidi ya 100 ndani bunge la JMT? kama walikua ni wahuni ilikuaje wakapata 38%kwa kura za urais? Jipime kwa unachokiandika humu! Inawezekana uko Bar kwa sasa! Mtu mwenye akili za kawaida huwezi andika hayo maneno.
 
Kufufua kiwanda cha zamani inagharimu kiasi gani ???mfano General tyre.ongelea facts!!

Jingalao tunaomba muonyeshe bunge live ili tutoe msaada kwa nchi yetu, mambo ya nyie kulazimisha kwamba mnaweza kuendesha nchi kwa kutafuta sifa za kichama itaendelea kuliponza taifa letu. Kumbuka mpaka hapa tulipofikia ni chama chenu ndio kimeharibu mambo. Halafu leo bila hata aibu nyienyie ndio mnajazana ujinga eti nchi itakuwa ya viwanda wakati hata hamjui muanza na kipi. Unataka kujua bei ya kufufua kiwanda kama General tyre wakati hata kudhibiti bei ya sukari tu hapa nchini mmeshindwa? Hivi kama mambo hayamjui si ni bora mngeruhusu wenye uelewa wakatao ushauri kuliko kujadili gizani mambo ya nchi? Nyie kaeni kuona taifa liko kwenye uelekeo sahihi eti kisa wabadhirifu waliotengenezwa na mfumo wa ccm wanafukuzwa kazi hadharani.
 
Nimesikia hii kitu kwenye magazeti leo asubuhi kuwa CHADEMA iligoma kusaini makubaliano ya kisheria juu ya muungano huu wa kihuni wa UKAWA.

Kwa muktadha huu UKAWA ni dubwana lisiloelewana wala kuekeweka hivyo mwananchi wa Tanzania hawezi kuwekeza matumaini yake kamwe kwa UKAWA!
HIVI UKAWA NI MUUNGANO au GENGE la wachumia tumbo? ''KILA MTU NI KAMBARE MWENYE MASHARUBU'' - DUNI HAJI
 
Jingalao tunaomba muonyeshe bunge live ili tutoe msaada kwa nchi yetu, mambo ya nyie kulazimisha kwamba mnaweza kuendesha nchi kwa kutafuta sifa za kichama itaendelea kuliponza taifa letu. Kumbuka mpaka hapa tulipofikia ni chama chenu ndio kimeharibu mambo. Halafu leo bila hata aibu nyienyie ndio mnajazana ujinga eti nchi itakuwa ya viwanda wakati hata hamjui muanza na kipi. Unataka kujua bei ya kufufua kiwanda kama General tyre wakati hata kudhibiti bei ya sukari tu hapa nchini mmeshindwa? Hivi kama mambo hayamjui si ni bora mngeruhusu wenye uelewa wakatao ushauri kuliko kujadili gizani mambo ya nchi? Nyie kaeni kuona taifa liko kwenye uelekeo sahihi eti kisa wabadhirifu waliotengenezwa na mfumo wa ccm wanafukuzwa kazi hadharani.
Mjomba acha kulialia na kuomboleza ...njoo na facts tu.

Waziri alishasema kuwa bunge halitaoneshwa live sio kwamba halitaoneshwa!!

Halafu ni lazima uelewe serikali hii haitafuti sifa bali inafuata sheria na katiba iliyopo...

Inachokifanya serikali ni kusimama katika mstari..yaani kusimamia sheria na katiba iliyopo...kama ukiona inakiuka nenda mahakamani!

Kuhusu ujuvi wa sekta ya viwanda ...
Naomba utambue kwamba mmoja wa walioua viwanda tena specifically kile cha general tyre ni yule mliyemzungushia mikono na viuno,isitoshe nimepitia sera za Chama chako sijaona sehemu yoyote iliyoeleza kwa kina ni vipi tunaweza kuiendeleza Tanzania kwa kufufua viwanda au kujenga viwanda sasa sioni huo utaalamu utakaotufanya tuwaconsult katika hilo.

Tatizo lenu mnataka kuendeleza siasa za movie...katika era ya JPM...This will never happen!
 
Muungano wa kihuni ni Upi? Dubwana ndio nini? Unaelewa kua UKAWA wana wabunge zaidi ya 100 ndani bunge la JMT? kama walikua ni wahuni ilikuaje wakapata 38%kwa kura za urais? Jipime kwa unachokiandika humu! Inawezekana uko Bar kwa sasa! Mtu mwenye akili za kawaida huwezi andika hayo maneno.
Nani alifanya utafiti na kuonesha kuwa Chadema,CUF,NCCR na NLD zingesimama zenyewe zisingepata hiyo 38%?

Kiukweli sio mimi niliosema haya bali ni BABU YENU DUNI!
 
Back
Top Bottom