jamani chadema tukishindwa huku arumeru inabidi nitangaze kwamba mimi na chadema basii bora nisiwe na chama nisubiri miujiza itakuwa haina maana ccm huku haina chake kabisana inaweza kuongoza katika kata 4 au tano zilizobaki zote ni chadema hatutaki kusikia visingizio vyovyote kutoka kwa viongozi wa chadema kama LAWRENCE MASHA alikuwa waziri wa mambo ya ndani na polisi wake wote pamoja na pesa alizonazo na alishindwa uchaguzi uliosimamiwa na vijana wa mwanza tu waliochoka sembuse arumeru uongozi mzima uko huko sasa hivi hatutaki visingizio vyovyote kila mbinu wanayotumia ccm chadema mnaijua.. ushindi wa ARUMERU ni lazima tumewazidi kila kitu huku
Kwa Arumeru safari hii mtatafutana sisi tunaepata bahati ya kuzunguka vjiji mbalimbali tuna jua hali harisi ilivyo....
Wee fisadi mdogo huamini mpaka ushuhudie kwa macho, ngoja hiyo tarehe moja/mbili utatueleza!!!!!Anza kubeba mabegi yako maana hakika ushindi ni wa CCM. pole bro siasa ni kitu ingine. :sorry:
Hasa wewe ni mgonjwa unahitaji uji upate nguvu maana unapepesuka, subiri kimbunga chaja utapeperushwa!!!!mje tarehe 2.4.2012 mjitangaze hivyo kuwa nyie na chadema mkishindwa basi mnaachana na siasa, chadema kushindwa arumeru ni sawa na UJI NA MGONJWA halina ubishi.
Mkuu mimi nachukua likizo kesho kwaajili ya kulinda kura..mkuu usiongope tutapambana mpaka kieleweke na nashukru kama umeshukua likizo ili uje kupiga kura naweza kuona jinsi ulivyo ithamini kura yako moja kumbuka CCM wali tuchakachua kwa kura moja kule Shinyanga hivyo kura yako ina thamani kubwa sana kuliko wengi wanavyo dhania.......Endelea kuwa hamasisha nandugu jamaana marafiki kujitokeza kwenda kupiga kura taerehe 1.4.2012 kwani kati ya sehemu nilizo pita wasiwasi wao ni kuibiwa kura.....crashwise sisi tulioko huku arusha tunajua nini kitatokea hawa magamba kwa sasa wanawaza kuhonga tu ..mimi nimeomba likizo ofisini na nipo arumeru maeneo ya tengeru na nimekuja kwa jukumu moja tu kura yangu ndo itaimaliza ccm...sasa kama kura haitalindwa kwa kweli hatutaelewana na nimeshahudhuria kampeni zote za vyama ccm ni kama wanasubiri kubebwa
jamani chadema tukishindwa huku arumeru inabidi nitangaze kwamba mimi na chadema basii bora nisiwe na chama nisubiri miujiza itakuwa haina maana ccm huku haina chake kabisana inaweza kuongoza katika kata 4 au tano zilizobaki zote ni chadema hatutaki kusikia visingizio vyovyote kutoka kwa viongozi wa chadema kama LAWRENCE MASHA alikuwa waziri wa mambo ya ndani na polisi wake wote pamoja na pesa alizonazo na alishindwa uchaguzi uliosimamiwa na vijana wa mwanza tu waliochoka sembuse arumeru uongozi mzima uko huko sasa hivi hatutaki visingizio vyovyote kila mbinu wanayotumia ccm chadema mnaijua.. ushindi wa ARUMERU ni lazima tumewazidi kila kitu huku
Hongera mwana jamii wa ukweli kushiriki vita ya kuondoa mafisadi Arumeru!!! Hao vijana unaowasiliana nao kama sikosei wako maeneo hayo kwenye hizo harakati wa pm muonane. Mungu akubariki kushiriki kiakamilifu kupambana na mafisadi kwenye baroti box!!!crashwise sisi tulioko huku arusha tunajua nini kitatokea hawa magamba kwa sasa wanawaza kuhonga tu ..mimi nimeomba likizo ofisini na nipo arumeru maeneo ya tengeru na nimekuja kwa jukumu moja tu kura yangu ndo itaimaliza ccm...sasa kama kura haitalindwa kwa kweli hatutaelewana na nimeshahudhuria kampeni zote za vyama ccm ni kama wanasubiri kubebwa
Ni mjadala mzuri kupitisha muda !. Wangapi wanaenda kupiga kura miongoni mwa wachangiaji mada ??
Anza kubeba mabegi yako maana hakika ushindi ni wa CCM. pole bro siasa ni kitu ingine. :sorry:
wewe ni ziiiiiiiiiiiiiiiiiiii unafikiri kwa kutumia masaburi
Wee fisadi mdogo huamini mpaka ushuhudie kwa macho, ngoja hiyo tarehe moja/mbili utatueleza!!!!!
jamani chadema tukishindwa huku arumeru inabidi nitangaze kwamba mimi na chadema basii bora nisiwe na chama nisubiri miujiza itakuwa haina maana ccm huku haina chake kabisana inaweza kuongoza katika kata 4 au tano zilizobaki zote ni chadema hatutaki kusikia visingizio vyovyote kutoka kwa viongozi wa chadema kama LAWRENCE MASHA alikuwa waziri wa mambo ya ndani na polisi wake wote pamoja na pesa alizonazo na alishindwa uchaguzi uliosimamiwa na vijana wa mwanza tu waliochoka sembuse arumeru uongozi mzima uko huko sasa hivi hatutaki visingizio vyovyote kila mbinu wanayotumia ccm chadema mnaijua.. ushindi wa ARUMERU ni lazima tumewazidi kila kitu huku
imenoga hii ila nguvu ziongezwe kwa kupungua tano hadi moja ili kazi iwe nyepesi,la maana Nasar akishatangazwa mshindi maandamano yaanzie Arusha hadi makao makuu ya chama DAR lengo ni kuanziasha Azimio La Arusha ili iwe ngao ya ukombozi.
kweli mnapenda maandamano . hivi hamna kazi za kufanya ? shauri yako utakufa maskini kwa kufuata mkumbo.
Ni kweli kushindwa au kushinda ni demokrasia lakini CCM haijawahi kushinda kwa haki siku za karibuni na chadema tumebaki watu wa kulalamika tu sasa safari hii hatuna sababu ya kulalamika kula tutazilinda kwa hali na mali na mapaka sasa CCM tumewakamata hawana pakutokea ni wanachadema kuongeza nguvu kwa namna yoyote ile ili hizi siku zilizo baki tumalize vizuri...hakika tunashinda...Michango ya fedha, mawazo na nk ni mhimu sana kwa sasa kuwasaidi makamanda waliko msitari wa mbele