CHADEMA iheshimu protokali, ni "insubordination" kwa Lissu kuongea muda mwingi wakati Mwenyekiti wa chama yupo. Ugombea Urais ulikoma aliposhindwa

48 LAWS OF POWER.

Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari.

Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu.

Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu.

Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa na Zitto waliondoka, Lissu ni nani?

Yaani makamu anafoka jukwaani na uwanja wa ndege kumuulizia Mwenyekiti Yuko wapi?

Mbowe nakuamini, hujawahi kushindwa.

Tunajua Lissu anataka kusajili chama chake Cha Siasa.

Nikifuatilia nyuzi zako, ni Kama umepagawa fulani hivi.
 
48 LAWS OF POWER.

Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari.

Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu.

Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu.

Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa na Zitto waliondoka, Lissu ni nani?

Yaani makamu anafoka jukwaani na uwanja wa ndege kumuulizia Mwenyekiti Yuko wapi?

Mbowe nakuamini, hujawahi kushindwa.

Tunajua Lissu anataka kusajili chama chake Cha Siasa.
Naona Sukuma gang mmeanza strategy mpya, sijui hii sasa ndiyo plan B yenu au ndiyo mnacheza na jinsi upepo unavyovuma.
 
Back
Top Bottom