johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,127
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo
Lisu anasema kwa mujibu wa NEC CHADEMA walipata takribani 17% ya kura hizo na wakaqualify kupewa ruzuku
Sasa ikumbukwe hapa Baada ya Uchaguzi hakuna Mbunge yoyote wa Chadema au Mpiga kura aliyepinga matokeo ya jimbo lolote mahakamani
Ni kweli miongoni mwa wale Covid-19 wapo waliogombea Majimboni wakiwemo Mdee, Bulaya, Hawa, Matiko nk na hivyo kura walizopata zinazalisha ruzuku.
Hata hivyo wakati wa Uchaguzi hawa walikuwa ni Wanachama halali na watiifu wa Chadema na kura walipigiwa kwa udhamini wa Chama hicho wakiwa na Baraka zote
Tatu, Idadi ya wapiga kura ndio inayowezesha Chama kupata ruzuku hivyo ni sahihi kabisa Chadema kupata ruzuku ikiwa haina mbunge hata mmoja
Mwisho, kama alichosema Tundu Lisu ruzuku hutolewa kwa mujibu wa sheria na kwahiyo Chadema inapokea ruzuku hiyo kwa mujibu wa sheria Ili shughuli za Chama ziendelee na Jasho la Wapiga kura waliopanga foleni kuichagua Chadema lisipotee bure
Mungu wa mbinguni awabariki!