CHADEMA hakitoingia ikulu Cuf ikiwa hai

Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,558
7,156
Chama cha wananchi CUF kimesema CHADEMA hakitoingia ikulu CUF ikiwa hai, hayo yamesemwa na naibu katibu mkuu Tanzania bara Jullius Mtatiro.Alisema CUF imenyaka nyaraka za siri za Chadema zinazoonyesha jinsi CHADEMA kilivyowanunua baadhi ya wanachama wake ktk operation (M4C) yake iliyofanyika maeneo mbali mbali.

Source:Gazeti la Mtanzania.

Maoni yangu; Kama CUF wanao ushahidi wa kutosha ni kwa nini wasiuweke wazi kila mtu aone ukweli wa maneno yao? Kubaki kusema tu ktk vyombo vya habari bila kuweka wazi tutayapuuzia maneno Yao,japo wapo watakaoamini.
 
Chama cha wanainchi CUF kimesema CHADEMA hakitaingia ikulu labda chama cha CUF kife, akiongea katika mkutano wa hadhara mkoani Tanga mkurugenzi wa habari na uenezi wa cuf Abdul kambaya, amesema CHADEMA wao ndio wamekuwa siku zote.

Wakikishambulia CUF na viongozi wetu, wamekuwa katika ziara huko kusini badala ya kuwashambulia CCM wamekuwa wanashambulia CUF kama CUF ndio wanaongoza Nchi? Sasa tuna maadui wawili CCM na CHADEMA alisema kambaya.
 
Wangekuwa na ushahidi mbona wangekimbia mbio kuuonyesha? Wanajidai wanungwana kuwaumbua 'kidogo' wapinzani wao ili kuipa support ccm? Manake kwa hali halisi CUF is far, and I mean very far from ikulu!
 
Kwani mume wao kama ni mbwabwaji na mke pia si mbwabwaji, embu watupe evidence ya kauli zao isijekuwa kama zile za magamba ili kuwavuta wananchi jangwani, ila hiyo ni kubadili vichwa vya habari kwani yeye mke mkubwa (cuf),mke mdogo (nccr) na mume wao(magamba) wanaweweseka
 
Unawezaje kumtofautisha Mtatiro na Nape! Tabia na matendo yao yanafanana kwa kila hali!
 
Kwani CUF ndo inaingiza chama Ikulu!!? Je, CUF itanufaika vipi CHADEMA isipoingia Ikulu?

Hivi kununua watu kunahitaji nyaraka?

Hawa wanasiasa uchwala hawa....!!
 
Chama cha wananchi CUF kimesema CHADEMA hakitoingia ikulu CUF ikiwa hai, hayo yamesemwa na naibu katibu mkuu Tanzania bara Jullius Mtatiro.Alisema CUF imenyaka nyaraka za siri za Chadema zinazoonyesha jinsi CHADEMA kilivyowanunua baadhi ya wanachama wake ktk operation (M4C) yake iliyofanyika maeneo mbali mbali.

Source:Gazeti la Mtanzania.

Maoni yangu; Kama CUF wanao ushahidi wa kutosha ni kwa nini wasiuweke wazi kila mtu aone ukweli wa maneno yao? Kubaki kusema tu ktk vyombo vya habari bila kuweka wazi tutayapuuzia maneno Yao,japo wapo watakaoamini.

Penye red..

Ni kweli kwani CUF Tayari ishakufa ndiyo maana chadema inazidi kupaa...

2015 itakuwa imekufa kabisa, na ndiyo cdm itakuwa inaingia madarakani...

Hapo penye blue..

Yaani kudai kuwahonga wanachama wa cuf..

Huu ni uongo na ni ugonjwa mbaya sana kwa chama chocgote kuutumia sasa..

Watanzania wa leo wanajua uongo na ukweli....

Hizo ndizo dalili za kifo cha wazi cha cuf....kwani ndizo zilizo iua CCM!

CDM songa mbele, songaaaa, watz tunawategemeeni!!

........
 
Kwani mume wao kama ni mbwabwaji na mke pia si mbwabwaji, embu watupe evidence ya kauli zao isijekuwa kama zile za magamba ili kuwavuta wananchi jangwani, ila hiyo ni kubadili vichwa vya habari kwani yeye mke mkubwa (cuf),mke mdogo (nccr) na mume wao(magamba) wanaweweseka
Na nyumba ndogo - BAKWATA!
 
Back
Top Bottom