CHADEMA hakitoingia ikulu Cuf ikiwa hai

Amesema kweli ikifika 2015
chadema haiwezi kutawala TZ wakati haina nguvu zanzibar. cuf haiwezi kutawala TZ wakati haina nguvu za kutosha tanganyika pengine wajaribu kuungana kama wataweza....si zanzibar wala tanganyika watakao kubali kutawaliwa na chama cha upande mmoja wa muungano.....naamini nguvu inayopata CDM tanganyika kwa sasa inaelekeza kifo cha muungano, isipokua ikiweza kujipenyeza zanzibar japo kidogo na kupata sapoti ya wenyeji alau ipate viti baraza la wawakilishi hilo litaifanya CDM iwe sehemu ya utawala zanzibar ..kwa upande wa CUF inadidimia tanganyika haitwegemewi kuishinda CCM AU CHADEMA bara ,nguvu za CUF zanzibar zinazuiwa kuchukua dola na ccm bara tu, ccm ambayo inakufa bara....kabala wanaharakati wa UAMSHO kuwasha moto wa uzalendo zanzibar muungano unaelekea kaburini na ccm yake


ya kwanza kufa itakuwa CCM itafuatiwa kwa karibu na CUF na CDM itakufa ilipoangukia cuf..

chadema itafufuka kuja kutawala TANGANYIKA
CUF itafufuka kuja kutawala ZANZIBAR
CCM buriani na muungano wao wa TZ
nasema hivi kwa sababu sioni muungano wa tanzania kuwa utafika 2015..... UAMSHO tayari washafanya kuwa ni aibu kuutetea muungano zanzibar NA wamelifungamanisha na imani ya dini

UKINIKOSOA UNANIFANYA UNANIPENDA
 
CUF wapo sahihi na utabiri kwa nini? wanasema CDM hawataingia madarakani cuf ikiwa hai! ni kweli kabisa kwa sababu CUF haiwezi kuishi hadi 2015 wakati CDM watakapoingia madarakani!
 
Huyu jamaa nahisi nayeye ni kibaraka tu, Tanzania ya sasa watu hawalopoki tu bali wanatoa kila kitu wazi yeye kama anaushahidi aweke wazi watu wajue ukweli. Kingine nadhani huyu jamaa hajui nini maana ya siri, siri huwa ni ya mtu 1 tu lakini watu wawili, watatu na kuendelea wakishafahama hilo jambo sio siri tena. Shame on him;
 
ukijibiwa najua utapiga kelele kwa mod.Bakwata na na mambo yanayoelezwa yanahusiana vipi au ndo chuki na udini mnaouendekeza.Mbona cdm ni chama kinachoungwa mkono na dini ya wale watu wa GALATIA na hatusemi acheni udini
Na nyumba ndogo - BAKWATA!
 
ukijibiwa najua utapiga kelele kwa mod.Bakwata na na mambo yanayoelezwa yanahusiana vipi au ndo chuki na udini mnaouendekeza.Mbona cdm ni chama kinachoungwa mkono na dini ya wale watu wa GALATIA na hatusemi acheni udini

like,like like like,,,,mi mambo ya IDNI SIYAPENDI KWELI KWEL,NI KAMA UJINGA FULANI TU
 
huyooo....! Sura kama kijiko

dah weye lazima utakuwa head teacher wa shule hiii maana tabia za kuzomea zinaendana

na hili jina la hii shule yako

7974867.jpg


 
Back
Top Bottom