CHADEMA hakitoingia ikulu Cuf ikiwa hai

Ni ndo za alinacha kuzani eti CDM wataingia ikulu;mtapata ugonjwa wa moyo bure kushabikia kitu kisichokuwa na mwelekeo.Hata ingekuwa watu wa Mbulu,Karatu na Moshi tu wanachagua Rais wa Tanzania CDM isingeweza shinda ni CCM pekee inayofaa kutupatia Rais Wa tanzania kwani ina viongozi bora wasiyo na matabaka wala ukanda.Kwa watanzania wenye akili wala hawasumbuki na wapiga mayowe ambao wanazani nchi hii ni ya kufanyia majaribio ili kunenepesha matumbo ya mwenye tamaa.
 
Mh! Kumbe huyu mke bado baunsa lakin aangalie coz amejazwa mapacha!
 
Ni ndo za alinacha kuzani eti CDM wataingia ikulu;mtapata ugonjwa wa moyo bure kushabikia kitu kisichokuwa na mwelekeo.Hata ingekuwa watu wa Mbulu,Karatu na Moshi tu wanachagua Rais wa Tanzania CDM isingeweza shinda ni CCM pekee inayofaa kutupatia Rais Wa tanzania kwani ina viongozi bora wasiyo na matabaka wala ukanda.Kwa watanzania wenye akili wala hawasumbuki na wapiga mayowe ambao wanazani nchi hii ni ya kufanyia majaribio ili kunenepesha matumbo ya mwenye tamaa.

Inaelekea wewe n mwenyekiti wa kijiji mtaani kwenu.
 
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi aha ha ha Naona mke kafunguka
Ameona hali ya Mume inazidi kuwa tete kila siku iendayo kwa Mungu, sasa ameanza kuweweseka. Mume anaelekea kupelekwa ICU, pamoja na "sindano ya kum-boost" aliyojipigwa pale "Chadema square" lakini hali bado inaendelea kuwa utata!
 
Huyu kijana mdogo alisema hivyo ubungo na haikuwa 2010, au amesahau CDM ilivyomgaragaza. Akubali yaishe.
 
Chadema mnajisahau sana, sasa wtz watawaonyesha kuwa mikutano yenu maigizo tu.
 
Kwakweli M4C pale jangwani naona ilitikisa ndoa ya nyinyiem na cuf. Mme na Mke naona wameamua kila mtu atoe kauli yake.
 
Ni kweli hata mimi sipingi kuwa chadema haiwezi kuchukua nchi ikiwa Kafu ipo hai. Nadhani wameshagundua kuwa wapo ICU na chama kitakufa kabla ya 2015.
 
Ni ndo za alinacha kuzani eti CDM wataingia ikulu;mtapata ugonjwa wa moyo bure kushabikia kitu kisichokuwa na mwelekeo.Hata ingekuwa watu wa Mbulu,Karatu na Moshi tu wanachagua Rais wa Tanzania CDM isingeweza shinda ni CCM pekee inayofaa kutupatia Rais Wa tanzania kwani ina viongozi bora wasiyo na matabaka wala ukanda.Kwa watanzania wenye akili wala hawasumbuki na wapiga mayowe ambao wanazani nchi hii ni ya kufanyia majaribio ili kunenepesha matumbo ya mwenye tamaa.

Inawezekana kweli ni ndoto za alinacha na ndoto hizo unaziota wewe Kama ulivyojidhihirisha hapa ktk mawazo yako mfu.Unawezaje kuhisi au kuamini Chadema haitoingia ikulu na hapo hapo ukaamini ccm itadumu milele ktk uongozi wa nchi hii?Kwani ulipozaliwa(ukiwa mtoto)ndivyo ulivyo mpaka Leo?,mabadiliko ni lazima na hakuna namna ya kuibadili historia inayojidhirisha kila siku mf;Libya,Misri,Ivorycost na kwingineko duniani.
 
ni wakati mzuri wa kuangalia umuhimu wa vyama vyetu kimfumo,kihitikadi,kifikra na kimantiki katika uwepo wake na tukiona maana ni moja basi hakuna haja ya kulumbana bali kujiunga kupata chama kimoja tu ambacho...........
 
cuf hawana chao hata mkimwaga nyaraka za siri hizo ni zenu m4c inakubalika sana acheni kutapatapa hasa mkiona kusini inaondoka ivyo
 
Cuf watalia sana lakini hawataweza kubadili hali ya mambo
 
Back
Top Bottom