CHADEMA haitakufa kwa uroho wa kugombea uongozi...

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,804
1,871
CHADEMA ni chama kilichojisukuma mbele kwa kasi nzuri. Mategemeo ya Chama hicho nio makubwa kuliko uwezo wake. Kwa vile uwezo wa CHADEMA unakuwa siku hata siku kijiografia na ukubwa wa changamoto hukuwa vile vile. Kuna wanaodhani changamoto kubwa sana inayokumbana nayo CHADEMA ni uroho wa kugombania uongozi ndani ya chama hicho. Hakika UROHO si tatizo kubwa, tatizo lipo katika Ujengaji wa Demokrasia uendao sambamba na ukuaji wa chama.

Tatizo la Demokrasia ndani ya CHAMA ndio kaburi la chama hicho. Hili si geni na linafahamika ndani na nje ya chama. Kimsingi kila mwanachama aliyetimiza masharti husika, anauwezo wa kugombea nafasi yeyote ya uongozi ndani ya chama toka udiwani mpaka Urais. Si ajabu hata kama waliodhamiria na kuchukua fomu ya kugombea Urais wakawa 30. Cha msingi hapa ni jinsi au njia gani ya kumpata mgombea mmoja atayekiwakilisha chama iwe katika nafasi ya Ubunge, ubunge wa kuteuliwa, Urais na kadhalika. Huu ndio mtihani ambao CHADEMA hautaupita hata siku moja, na ndio mwisho wa mbio za chama hicho cha Maendeleo.

Mh Slaa aka Dr Slaa ni daktari wa theolijia aliokuzwa na kusomeshwa na kanisa na hata kulitumikia kama Padre. Huyu miakayote amefundishwa kutoichallange Biblia, aamini vyote vilivyoandikwa. Si tu kasoma bali amefanya kazi ndani ya kanisa bila kuwa challanged, asemalo wafuasi husema ndio ni kweli tupu. Leo mtu huyu atoke katika kazi hiyo na kutueleza eti awe mwalimu wa Demokrasia. Sina hakika kama ndani ya moyo wake anaweza kubadilika kwa muda mfupi kiasi hiki. Isitoshe ana washauri kama akina Padre Mapunda, huku ni kuua demokrasia kabisa. Na ni mkwa sababu hizi ndio maana Mh Slaa alikimbia CCM.

Katika mazingira kama haya kinachotakiwa ni kuubadilisha uongozi wa juu na kuwaweka watu waliobobea katika maswala ya Demokrasia au watu waliosoma shule za kawaida(serikali) na kuwa na fani kama sheria, uchumi, uongozi na kadhalika. Vinginevyo chama kinakufa kirahisi, tena baada ya uchaguzi mkuu 2015.
 
huna chochote cha maana unachofikiri. Poor analysis, kajipange upya

Vipi maswala ya Demokrasia ndani ya chama, maana kila kukicha, ndani na nje ya chama hujitokeza malalamiko ya ukiukwaji wa Demokrasia ndani ya Chama. Unasemaji kwa hilo.

Tafadhali jadili HOJA.
 
Ugonjwa wa urais utawtafuna sana.

Siku zote mada zako ni Dr slaa mi naenda mbali zaidi kufikiri kuna kitu una cho moyoni hutaki kukisema juu ya Dr slaa! Tafadhali zawadi sema!

Huna jipya kila siku mambo yale yale!

Zawadi Ngoda+ Tuntemenke
 
Toa mifano ya hayo malalamiko!

Vipi maswala ya Demokrasia ndani ya chama, maana kila kukicha, ndani na nje ya chama hujitokeza malalamiko ya ukiukwaji wa Demokrasia ndani ya Chama. Unasemaji kwa hilo.

Tafadhali jadili HOJA.
 
Mimi nataka kuchukuwa Fomu ya kugombea uenyekiti wa CCM Taifa, naomba wana JF mniunge mkono.
 
Too much democracy is harmfull kwa maendeleo yoyote yale yawe ya nchi au kikundi.Kwa kigezo cha demokrasia kila mtu aruhusiwe kubwabwaja,kuvuruga na kwenda kinyume na maaumuzi ya chama?kwa CDM ambayo ni sawa na ndege iliyochukua kasi ya kupaa wala haihitaji rubani mwingine zaidi ya Dr.Kwani unaofikiri ni wanademokrasia walikuwa wapi toka kwenye uchanga wa chama waje waibuke ukubwani?CCM haina amani kila wakitazama nafasi ya mwenyekiti na katibu CDM ilivyo makini.Hao vibaraka mnaowapigia debe watafutika muda si mrefu,vinyago tumevichonga wenyewe haviwezi kututisha
 
Too much democracy is harmfull kwa maendeleo yoyote yale yawe ya nchi au kikundi.Kwa kigezo cha demokrasia kila mtu aruhusiwe kubwabwaja,kuvuruga na kwenda kinyume na maaumuzi ya chama?kwa CDM ambayo ni sawa na ndege iliyochukua kasi ya kupaa wala haihitaji rubani mwingine zaidi ya Dr.Kwani unaofikiri ni wanademokrasia walikuwa wapi toka kwenye uchanga wa chama waje waibuke ukubwani?CCM haina amani kila wakitazama nafasi ya mwenyekiti na katibu CDM ilivyo makini.Hao vibaraka mnaowapigia debe watafutika muda si mrefu,vinyago tumevichonga wenyewe haviwezi kututisha
Nadhani umemaliza yote, ndio maana Mbowe alishasema yeye aongozi genge la wasaka Urais.
 
CHADEMA ni chama kilichojisukuma mbele kwa kasi nzuri. Mategemeo ya Chama hicho nio makubwa kuliko uwezo wake. Kwa vile uwezo wa CHADEMA unakuwa siku hata siku kijiografia na ukubwa wa changamoto hukuwa vile vile. Kuna wanaodhani changamoto kubwa sana inayokumbana nayo CHADEMA ni uroho wa kugombania uongozi ndani ya chama hicho. Hakika UROHO si tatizo kubwa, tatizo lipo katika Ujengaji wa Demokrasia uendao sambamba na ukuaji wa chama. Tatizo la Demokrasia ndani ya CHAMA ndio kaburi la chama hicho. Hili si geni na linafahamika ndani na nje ya chama. Kimsingi kila mwanachama aliyetimiza masharti husika, anauwezo wa kugombea nafasi yeyote ya uongozi ndani ya chama toka udiwani mpaka Urais. Si ajabu hata kama waliodhamiria na kuchukua fomu ya kugombea Urais wakawa 30. Cha msingi hapa ni jinsi au njia gani ya kumpata mgombea mmoja atayekiwakilisha chama iwe katika nafasi ya Ubunge, ubunge wa kuteuliwa, Urais na kadhalika. Huu ndio mtihani ambao CHADEMA hautaupita hata siku moja, na ndio mwisho wa mbio za chama hicho cha Maendeleo. Mh Slaa aka Dr Slaa ni daktari wa theolijia aliokuzwa na kusomeshwa na kanisa na hata kulitumikia kama Padre. Huyu miakayote amefundishwa kutoichallange Biblia, aamini vyote vilivyoandikwa. Si tu kasoma bali amefanya kazi ndani ya kanisa bila kuwa challanged, asemalo wafuasi husema ndio ni kweli tupu. Leo mtu huyu atoke katika kazi hiyo na kutueleza eti awe mwalimu wa Demokrasia. Sina hakika kama ndani ya moyo wake anaweza kubadilika kwa muda mfupi kiasi hiki. Isitoshe ana washauri kama akina Padre Mapunda, huku ni kuua demokrasia kabisa. Na ni mkwa sababu hizi ndio maana Mh Slaa alikimbia CCM. Katika mazingira kama haya kinachotakiwa ni kuubadilisha uongozi wa juu na kuwaweka watu waliobobea katika maswala ya Demokrasia au watu waliosoma shule za kawaida(serikali) na kuwa na fani kama sheria, uchumi, uongozi na kadhalika. Vinginevyo chama kinakufa kirahisi, tena baada ya uchaguzi mkuu 2015.
CDM kuna Mkt. Mbowe na makamu wake, Katbu Dr.Slaa na makamu wake. Umejikita kumjadili Dr. Slaa. Kwa great thinker yeyote anakuona we kilaza. Taarifa yako peleka michuzi.
 
wewe mawazo yako hayana uhusiano na maendeleo, bali yana uhusiano na umasikini kwani kusomea shule fulani kuna uhusiano gani na kuwa na hekima ambayo ndio ufunguo wa mafanikio? mbona JK kasomea shule za kawaida lakini anarudisha maendeleo nyuma kwa kasi?
 
Vipi maswala ya Demokrasia ndani ya chama, maana kila kukicha, ndani na nje ya chama hujitokeza malalamiko ya ukiukwaji wa Demokrasia ndani ya Chama. Unasemaji kwa hilo.

Tafadhali jadili HOJA.

Kajipange upya urudi na si utabiri wa shekh Yahya. Hatujadiri hoja mfu
 
64/1,687*100=3.79=4%, hujawahi kuongea kitu cha maana sana=mchango wako hauna nguvu
 
"Tatizo la Demokrasia ndani ya CHAMA ndio kaburi la chama hicho"

"Chadema haitakufa kwa uroho wa kugombea uongozi"

Jinsi unavyothibitisha ujinga wako na propaganda za kimagamba hayo hapo juu yameandikwa na mjinga wewe. Rudi kwa aliyekutuma umwambie samahani hatudanganywi na wajinga kama wewe tena.
Unasema haitakufa na wewe huyo huyo unasema kuna kaburi je unajua kitu unasema?
 
Vipi maswala ya Demokrasia ndani ya chama, maana kila kukicha, ndani na nje ya chama hujitokeza malalamiko ya ukiukwaji wa Demokrasia ndani ya Chama. Unasemaji kwa hilo.

Tafadhali jadili HOJA.
Ni tukio lipi hilo lililolalamikiwa nje au ndani ya chamaa kuwa liko kinyume na demokrasia? Kama lipo nadhani ulitaje ili unaotaka wakujibu wawe na pakuanzia au wawe na cha kukujibu. Naona unazunguka sana ila huna la maana la kusema kwani ungekuwa nalo sidhani kama ungemumunya maneno. Muulize Kikwete, Nape, Makamba na wenzako wengine kwani huwa wanakesha kutafuta kasoro za Slaa ili wapate walau cha kusema lakini wamekosa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom