Aluta continua....hope mwanza inaenda kuwa chanzo cha maandamano makubwa nchi nzima kuung'oa mfumo dhalimu wa ccm.Nawasihi wanamwanza tujitokeze kwa wingi ili kumfahamisha jk kuwa yeye sio CHAGUO LETU,hivyo hatumtaki aondoke.JK tokaaaa!Pia tuandamane kwa utulivu mkubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.