Chadema chuo cha SAUT wavaa magwanda

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Wasomi wa SAUT mwanza leo wamevaa magwanda kuhamasisha maandamano kesho.Source:kidau.blogspot.com
 
Aluta continua....hope mwanza inaenda kuwa chanzo cha maandamano makubwa nchi nzima kuung'oa mfumo dhalimu wa ccm.Nawasihi wanamwanza tujitokeze kwa wingi ili kumfahamisha jk kuwa yeye sio CHAGUO LETU,hivyo hatumtaki aondoke.JK tokaaaa!Pia tuandamane kwa utulivu mkubwa.
 
Back
Top Bottom