CHADEMA chaishushia NEC tuhuma nzito Arumeru

Hivi nyie cdm kama sioyi wazazi wake wote ni watanzania tena wa kuzaliwa mnataka yeye aende wapi jamani acheni siasa za maji taka

kitu usichokijua ni sawa na usiku wa giza...kabla hujapost ungejaribu kuuliza kwanza ..jaribu kuomba msaada pale unapokua huelewi jambo..hata kama wazazi wako ni watanzania ila umezaliwa nje ya tanzania..kwa sheria zetu unatakiwa ukifikisha umri wa miaka 18 unaukana uraia wa nchi uliyozaliwa ndo uankua raia rasmi wa Tanzania
 
Sioni mantiki ya hiyo rufaa. Wameru wataamua kwenye box la kura.

Wakati NEC inawaengua wagombea wa vyama vya UPINZANI kwasababu ya pingamizi za CCM kwenye general election na kupelekea wabunge > 40 wa CCM kupita bila kupingwa hukuona mantiki ya box la kura kuamua?

Does the word HYPOCRISY ring a bell to you?
 
Kama wazazi wake ni Watanzania kuna taratibu zake. Kuna mke wangu wa rafiki yangu ambye wazazi wake ni watanzania na alikuwa akitumia passport ya TZ tangu utotoni. Lakini alipokwenda kubadilisha passport yake wakati akiwa above 18 alikataliwa mpaka atoe kiapo. Sasa kama Sioyi hakufanya hivyo then washa sheria ifanye kazi yake!!! Hatuko California ambako akina Arnold wanaweza kuwa magavana ingawa ni raia wa kuhamia.

Hapo kwenye nyekundu pana utata kidogo. Ina maana huyo mke wa rafiki yako ni mke wako pia? Dah, kweli urafiki wenu ni wa ukweli na mmeshibana kweli kweli
 
Wakati NEC inawaengua wagombea wa vyama vya UPINZANI kwasababu ya pingamizi za CCM kwenye general election na kupelekea wabunge > 40 wa CCM kupita bila kupingwa hukuona mantiki ya box la kura kuamua?

Does the word HYPOCRISY ring a bell to you?

Na mwagulu ni mmoja wao!!!
 
Kuna mambo ya kuvumilika, lakini hili la NEC kutetea kwa nguvu zote na uwazi bila kificho upindishaji na ukiukwaji wa haki za uzawa katika kugombea ubunge Tanzania Katiba ya nchi imekiukwa, na Mhimilili wa sheria nchini utende haki yake kabla ya uchaguzi. Nimeamini hakuna jipya katika NEC mpya, ni usanii ule ule.

Nawasilisha:
 
Sioni mantiki ya hiyo rufaa. Wameru wataamua kwenye box la kura.
Kama Lubuva mwenyewe anashiriki kumsafisha badala ya kutenda haki, atawezaje kuwatendea haki CHADEMA kwenye sanduku la kura. Ni wazi kwamba huu ni mkakati maalumu wa kuhakikisha Sioi anakuwa mbunge, na hapo mbinu zote zikiwemo za kijasusi zitatumika kuhakikisha hilo linafanikiwa.
 
Back
Top Bottom