CHADEMA bwana

Hivi kweli mpaka leo mtanzania huyu hajui umuhimu wa siasa ktk jamii?!! Ila tusishangae sana yawezekana hajatambua na hajitambui!
 
Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.

Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.

Mkuu huo msokoto leo umezidisha kipimo
 
Walau tunaona mabadiliko bebii, leo hata bajeti hazipitishwi kijinga kijinga walau mambo ya nakubaliana na bajeti mia kwa mia yamepungua bebii. Kila kitu kinaenda kwa utaratibu leo viongozi wakianza kuwajibika mambo ya tachange na mwisho wa siku kila mtu atafaidika na si wachache tu. Wajua wewe huoni umuhimu wa cdm kwa kuwa hawakusaidii directly but jua wana umuhimu sana na ukitafakari utauona ama ushauona ila unajaribu kuupinga.
 
Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida. <br />
<br />
Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,<font color="#ff0000">ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares</font>. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
<br />
<br />
mbinu mbadala naona tukuuze wewe ggm, hatujali watakavyokufanya, sisi tupate fedha, hiyo ndo njia mbadala, je unakubaliiiii!!!!!!
 
wakulima wapi? Wewe au mjomba wako au shangazi yako kuna ambae amezipata?

Mbona hueleweki unatetea magamba au unaponda!
HEBU NINONG'ONEZE BASI WALIZIPELEKA WAPI HELA HAKUNA MTU WAKUTUSIKIA!

hapa umeyumba!
 
Back
Top Bottom