MBURE JASHA
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 200
- 46
wanajamvi wote! salaam sana.
CDM ni kimeshaonyesha kuwa ni Chama Mbadala na makini. Ukweli unabaki pale pale. Kinatawala nchi hii kwa mlango wa Nyuma. Vichwa kama Slaa, Mbowe Zitto na wengine muhimu kashakshi zao ndani ya Bunge na Nje ya Bunge na mwenendo wa serikali kwa sasa unaburuzwa na kashkashi za CDM. lakini kuna shida moja naiona kwa CDM ni vyema tuiweke wazi . Siku ya jana nilikuwa naangalia Bunge kuna Mbunge mmoja wa Chadema kuitoka Zanzibar alinichefua kinoma
1. Nilianza kumuona tangu saa 11.00 jioni akifanya mzaha wa kulichekesha Bunge kwa michango yake isiyo na Mashiko, baadae saa mbili akaondoa shilingi na kuunga hoja mkono. Hivi alifundwa huyu ndo akaenda Mjengoni. Lakini kwa sababu najua kuwa Mbunge kabla ya kuingia ukumbini anakuwa na taarifa za kutosha kuhusu shughuli za kikao cha siku hiyo ni vyema CDM mkafanya kikao na wabunge wenu asubuhi kabla ya kuingia ukumbini (morning Pray) ili ku avoid utumbo kama wa Mariam Msabaha.
2. Shibuda nina wasiwasi ametumwa na CCM kuwavuruga. Naamini Mkoa wa shinyanga wote hata watu wakaamshwa saa sita usiku leo watachagua Chama mbadala sio CCM. Mbona kwa Johna Cheyo hawabadiliki mwenye chama ambacho yeye ndio kila kitu. Kama vipi tukienda Igunga kwenye kampeni wakati huo huo tunapiga kampeni kwa Shibuda