CHADEMA asili mje tujadiliane, mliokuja na Lowassa piteni tu

Sana mwanangu mie mwenyewe nshawasoma na sahivi nafanya kazi moja tu ya kuwadhibiti mbowe na CDM masrahi yake popote nipitapo ..mpaka sahivi nimefanikiwa kufanya hii kazi maeneo mbalimbali na watu wameelewa na kuna mwanangu yuko hapo sikonge madukani ananambia akina Msellemi na Dorgan wameamua kuachana na Sera za mbowe tapeli ..tuko pamoja sana CDM orijino tushikamane tuwapinge wahuni wa mbowe

CDM sio ya kuamini kabisa katika castodian wa r aslimali za umma. Ni genge la wafanyabiashara wahuni tu hilo. CDM fieni mbali.
 
Mleta mada kwanini unatutenga watanzania kwani waliokuja na lowassa sio chadema? Ni tabia mbaya mno na acha mara moja kuwatenga tunatakiwa tuunganishe nguvu kumtoa ccm hata waliokuja na lowassa ni wanachama nao pia wamechukua kadi na kujiunga na chama rasmi hivyo siasa zako za maji taka peleka ccm.kwa mada kama hii utawapata hao unaowataka kwa manati kwakuwa haina mashiko ...watu wameamini ktk chadema na ukawa kwa ujumla .

sema wewe ndio umeamini usinisemee na Mimi sikunaliani na wewe, nakuona kama unafuata mkumbo tu na wewe ndio mwenye siasa za maji taka unaeburuzwa tu
 
Hakuna Wakati ccm wamekuwa na hofu na hatima Yao kuliko huu, tunaijua hofu yenu lakini hatuwezi kubadili mwelekeo kwahiyo mtusamehe
 
Utadhani mlikuwa mnaipenda chadema, huu ni unafiki mkubwa chadema kwa Sasa ni imara zaidi kuliko Wakati wowote
 
CHADEMA imejiingiza kwenye hali ngumu ya kujitakia,wanatumia vibaya imani waliyopewa na watanzania, wanawatumia vibaya watanzania ambao kimsingi tayari wameishaichoka CCM sana tu... CCM wakipata watu mahiri kidogo tu wa kampeni tumeumia. Kwani tumejiondoa kwenye mfumo bora kabisa uliokuwa uwe mfumo mbadala wa serikali hii ya CCM. Mfumo uliokuwa unasimamiwa kwa umahiri mkubwa na Dr.Wilbroad Peter Slaa . Mbowe katutumbukiza kwenye mfumo wa kubadilisha gia angani(mfumo wa kihunihuni) nasi tunachekelea na kushabikia. Mkapa hawezi kuwa amekosea kwa maneno aliyotupiga nayo juzi kati hapo Jangwani, ovyo kabisa.
 
CHADEMA imejiingiza kwenye hali ngumu ya kujitakia,wanatumia vibaya imani waliyopewa na watanzania, wanawatumia vibaya watanzania ambao kimsingi tayari wameishaichoka CCM sana tu... CCM wakipata watu mahiri kidogo tu wa kampeni tumeumia. Kwani tumejiondoa kwenye mfumo bora kabisa uliokuwa uwe mfumo mbadala wa serikali hii ya CCM. Mfumo uliokuwa unasimamiwa kwa umahiri mkubwa na Dr.Wilbroad Peter Slaa . Mbowe katutumbukiza kwenye mfumo wa kubadilisha gia angani(mfumo wa kihunihuni) nasi tunachekelea na kushabikia. Mkapa hawezi kuwa amekosea kwa maneno aliyotupiga nayo juzi kati hapo Jangwani, ovyo kabisa.

Shukrani kwa mtoa hoja. Maana sasa tunaona jinsi mambo yanavyokwenda. Chadema kama taasisi haipo tena ni kumtumikia mmiliki mpya Lowassa.
Ubaya ni kuwa jinsi siku zinavyozidi kusogea ndivyo Chadema asilia inazidi kuimarika kimyakimya. Ila haitaweza tena kukaa pale na lazima wameguke.
 
Ukawa ni moto na mkutano jangwani upo kama kawaida na muungano huu ni mipango ya mungu
 
Tangaza mambo ya chama chako mambo ya lowassa huyawezi. Kama ya ccm yamekushinda utauaweza ya lowassa. Chadema iko moja tu. Pia kumbuka slaa si mtu wa njaa yule ni mtu mzito na muhimu.hao waliokutuma kawaambie hivi. Ukiona gari linatoa oil ujue gari bovu.hii ni kutokana na ukweli kuwa oil chafu inatolewa na wala huwa haitoki.
 
Siku za hivi karibuni neno mfumo limekua maarufu sana, hivi huwa lina maana gani hasa? Je chadema hawana mfumo? Na kama wanao ni mzuri au mbaya? Umepimwaje?
Aliyeanzisha chama ni Edwin Mtei na ndiyo mwasisi wa Chadema na ndio Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho,

Mwenyekiti aliyefuata ni marehemu Bob Makani ambae alimuoa dada wa Mtei, na Mwenyekiti wa sasa Kamuoa mtoto wa Mtei ambae ni mwasisi na mwenyekiti wa kwanza wa chadema, sababu ya Zitto Zubeir Kabwe kutoka Chadema si aliutaka uenyekiti au siyo?

Kilicho mtoa Dr. Wilbroad Slaa kwenye ugombea si ni huo huo mfumo ama nini? sasa napata shida huu wimbo wenu unaoimbwa kila siku wa mfumo!
Watu wanachaguliwa kwa kura za Maoni halafu wanasimamishwa watu ambao hata majina yao hayakuingia kwenye Mchakato wa kupigiwa kura za maoni!

Watus walioshika Nafasi ya 3 na ya 4 kwenye Mchakato wa Kutafuta Wagombea katika kura za maoni nao wamechaguliwa na kukata walioshinda Huu Mfumo ni kitu gani hasa ambacho hawa Jamaa pioneers wa Mabadiliko ambayo ukiwauliza Mabadiliko gani mnayoyataka hawayajui!

Mnatakaw kuubadilisha Mfumo je mnataka kuleta Mfumo upi? Mfumo wa Mwenyekiti kumpitisha Demu wake awe Mgombea wa Ubunge viti Maalum bila Kupingwa? Ama nini?

Huko Mara wanasema wamepambana mno kukijenga chama wakamchagua Mtu ambae walikuwa na Imani nae wanashangaa Kuletewa jina la Mtu ambae hawakumchagua kwenye Kura zao za Maoni, Mtu ambae amejiunga na Chama Wiki mbili zilizopita tu??

Mfumo ni nini hasa?
Naomba wazee wa Tafakuri Mje mnisaidie katika Hili!
The tommorow people, kuna uzi mmoja aliandika Nickname mwaka 2011 alisema "Mbowe aiuza Chadema kwa Lowasa"! Mimi niko naunga mkono uamuzi aliouchukuwa Dr. Slaa wa kupumzika.
 
Kama slaa alikuwa mzigo basi nitakusafishia uchochezi na ulofa wako wa kufuga.
 
Chadema safari hii wamepisha njia mapemaa ACT zamu yako wenzako wamestaafu,kitendo cha kumchukua mtu waliyemtukana usiku kucha kwa uchafu na akawapa vipande vya fedha sasa fwiiiii hapo nimeona jeneza lao wazi,na urais wanaoutaka si kwa mfumo wa kukurupuka kiasi hicho,shame on you Chadema,foward line Lowassa?ndo maana mzee nkapa kawalipulia kale ka jina,na maka
vu live
 
Chadema ni chama chetu jmn tuacheni watu wa arusha ndo wko na aakili nchi mlobaki wote mapungwani tu wacha tuongoze nchi iwe mfano
 
Back
Top Bottom