CHADEMA asili mje tujadiliane, mliokuja na Lowassa piteni tu

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,662
2,746
Siku za hivi karibuni neno mfumo limekua maarufu sana, hivi huwa lina maana gani hasa? Je chadema hawana mfumo? Na kama wanao ni mzuri au mbaya? Umepimwaje?
Aliyeanzisha chama ni Edwin Mtei na ndiyo mwasisi wa Chadema na ndio Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho,

Mwenyekiti aliyefuata ni marehemu Bob Makani ambae alimuoa dada wa Mtei, na Mwenyekiti wa sasa Kamuoa mtoto wa Mtei ambae ni mwasisi na mwenyekiti wa kwanza wa chadema, sababu ya Zitto Zubeir Kabwe kutoka Chadema si aliutaka uenyekiti au siyo?

Kilicho mtoa Dr. Wilbroad Slaa kwenye ugombea si ni huo huo mfumo ama nini? sasa napata shida huu wimbo wenu unaoimbwa kila siku wa mfumo!

Watu wanachaguliwa kwa kura za Maoni halafu wanasimamishwa watu ambao hata majina yao hayakuingia kwenye Mchakato wa kupigiwa kura za maoni!

Watu walioshika Nafasi ya 3 na ya 4 kwenye Mchakato wa Kutafuta Wagombea katika kura za maoni nao wamechaguliwa na kukata walioshinda. Huu Mfumo ni kitu gani hasa ambacho hawa Jamaa pioneers wa Mabadiliko ambayo ukiwauliza Mabadiliko gani mnayoyataka hawayajui!?

Mnataka kuubadilisha Mfumo, je mnataka kuleta Mfumo upi? Mfumo wa Mwenyekiti kumpitisha Demu wake awe Mgombea wa Ubunge viti Maalum bila Kupingwa? Ama nini?

Huko Mara wanasema wamepambana mno kukijenga chama wakamchagua Mtu ambae walikuwa na Imani nae wanashangaa Kuletewa jina la Mtu ambae hawakumchagua kwenye Kura zao za Maoni, Mtu ambae amejiunga na Chama Wiki mbili zilizopita tu??

Mfumo ni nini hasa?
Naomba wazee wa Tafakuri Mje mnisaidie katika Hili!
 
Hawa wahuni wameuza chama chetu lakini wasubiri aki ya nani malipo watayapata mda si mrefu ..hawawezi kutuchezea akiri alafu wategemee mbeleko, tutahakikisha jahazi lao linazama kwa kila njia na namna na hapo ndo wataisoma ya CCM ..ujuaji wa mbowe unafika mwisho na ufamilia wao kwenye chama ..tutamwonesha mtei ili atambue pesa zetu za kodi ya kadi kwa kila mwaka na michango yetu binfsi ndo ilikifanya chama kufikia hapo na wala si kwa mbwembwe zao
 
The Tomorrow People

Mleta mada kwanini unatutenga watanzania kwani waliokuja na lowassa sio chadema? Ni tabia mbaya mno na acha mara moja kuwatenga tunatakiwa tuunganishe nguvu kumtoa ccm hata waliokuja na lowassa ni wanachama nao pia wamechukua kadi na kujiunga na chama rasmi hivyo siasa zako za maji taka peleka ccm.kwa mada kama hii utawapata hao unaowataka kwa manati kwakuwa haina mashiko ...watu wameamini ktk chadema na ukawa kwa ujumla .
 
Last edited by a moderator:
Hakyanani nyani haoni kundule, we nyani unamcheka cdm tazama ----- la ccm lilivyo chafuka , mwnyekiti wenu alimtaka membe wajanja wamchagulia makufuli, anaugulia maumivu hapo alipo hana jinsi, maana alidhani ataifanya ccm ni chama cha ukoo, hata hivyo mambo ya kukata tunayasikia ccm huku ukawa ni maridhiano. Rushwa na ufisadi uko ccm ndo maana serikali imeanguka zaidi ya mara 3 ndani ya miaka 10. Nasikia mwenyekiti ndo alipiga hele za richmond na escrow, ukawa tukichukua nchi tunaanza naye
 
Hapa sikonge tushapagawa maana juzi tumemuona nkumba kavaa gamba, nimegundua kuna mchezo wa wasaka tonge wanatumia fursa, sasa sichagui chama bali mtu tena anishawishi na ahad zinazopimika
 
Hapa sikonge tushapagawa maana juzi tumemuona nkumba kavaa gamba, nimegundua kuna mchezo wa wasaka tonge wanatumia fursa, sasa sichagui chama bali mtu tena anishawishi na ahad zinazopimika

Sana mwanangu mie mwenyewe nshawasoma na sahivi nafanya kazi moja tu ya kuwadhibiti mbowe na CDM masrahi yake popote nipitapo ..mpaka sahivi nimefanikiwa kufanya hii kazi maeneo mbalimbali na watu wameelewa na kuna mwanangu yuko hapo sikonge madukani ananambia akina Msellemi na Dorgan wameamua kuachana na Sera za mbowe tapeli ..tuko pamoja sana CDM orijino tushikamane tuwapinge wahuni wa mbowe
 
Hawa wahuni wameuza chama chetu lakini wasubiri aki ya nani malipo watayapata mda si mrefu ..hawawezi kutuchezea akiri alafu wategemee mbeleko, tutahakikisha jahazi lao linazama kwa kila njia na namna na hapo ndo wataisoma ya CCM ..ujuaji wa mbowe unafika mwisho na ufamilia wao kwenye chama ..tutamwonesha mtei ili atambue pesa zetu za kodi ya kadi kwa kila mwaka na michango yetu binfsi ndo ilikifanya chama kufikia hapo na wala si kwa mbwembwe zao

We lumumba buku7 fc.umeingia cdm toka lini?
 
Rweye na The Tomorrow People, hebu tafakarini hii...mtu unatoka nyumbani kwako unaaga kwamba unaenda kazini. Ukifika huko unaukuta ukuta. Haraka haraka unavua shati unaanza kuusukuma ukuta. Unausukuma wee huo ukuta hadi unalowa jasho. Unaendelea kuusukuma ukuta wee hadi jioni inafika. Unavaa shati lako na kuanza safari ya kurudi nyumbani huku unanuka kijasho. Unafika nyumbani unaoga na kukaa tayari kwa mlo wa jioni. Baada ya mlo unaanza kuwasimulia uliowaacha nyumbani kazi ilivyokuwa kubwa, nzito na ngumu.

Kesho yake unaamka tena asubuhi na baada ya kupata chai unaaga uweze kuwahi kazini. Ukifika unaukuta ukuta bado uko pale pale. Unaanza tena kuusukuma ukuta. Unasukuma wee hadi unalowa jasho kama jana yake. Unaendelea kuusukuma hadi jioni na kuanza tena safari ya kurudi nyumbani. Basi kila siku inakuwa ni hivyo hivyo...kuaga asubuhi na kurudi jioni. Ni kweli kila siku unatumia nguvu nyingi lakini kwa waliosoma fizikia ni kwamba kama ukuta haukuweza kusogea hata inchi hakuna kazi iliyofanyika. Rweye na The Tomorrow People endeleeni kuusukuma ukuta...nawatakia kazi njema.
 
Hivi we mbwea unaelewa ni kwanini watu wanaiongea sana CDM kwa mabaya kuliko CCM? unaelewa ni kwanini watu wanamwongea kwa mabaya mbowe sana kuliko JK? naamini haya majibu huna na kama hauna basi ndo maana mnaitwa malofa

Watu wanaoiongelea cdm vibaya akili zao ni sawa na zako maana wote ni chumia tumbo
 
Mleta mada kwanini unatutenga watanzania kwani waliokuja na lowassa sio chadema? Ni tabia mbaya mno na acha mara moja kuwatenga tunatakiwa tuunganishe nguvu kumtoa ccm hata waliokuja na lowassa ni wanachama nao pia wamechukua kadi na kujiunga na chama rasmi hivyo siasa zako za maji taka peleka ccm.kwa mada kama hii utawapata hao unaowataka kwa manati kwakuwa haina mashiko ...watu wameamini ktk chadema na ukawa kwa ujumla .
Waliokuja na Lowassa sio wanachadema ila ni wanalowasa.

Huoni hizo ziara za Lowassa hamna wanachadema ila kuna timu Lowassa na wanaoratibu ziara zote za Lowassa.

Sidhani kama Chadema makao makuu wanataarifa zozote kuhusu hizi ziara za Lowassa zaidi ya kusoma kwenye media
 
Kwa ufupi mlichanganya madesa mlidhani na CDM ni kama ccm kwamba ukikaa sana ndani ta chama hata kama huuziki uwekwe tu kwa kuwa kuna goli la mkono eeee mmechemsha ndugu zangu nyie ni wa muhimu lkn si lazima muwe viongozi nitawauliza swali - kopo la chooni ni muhimu sana kwa nafasi na eneo lake je nalo likisema limekaa sana chooni hivyo linataka kuja mezani libadilishane na kikombe cha chai itakuwaje? Acheni ulaghai!
 
Scurf nshaitia moto, kadi nshaimwagia petrol na katiba yao nshaichana ..nawatizama vizuri sana na tutawaharibia mpaka wajione machoko
Hapakuwa na haja ya matusi, Tunakufahamu u kipenzi cha Magufuli!
 
Back
Top Bottom