CHADEMA Arusha mahakamani ktk picha

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,021
Leo katika mahakama kuu ya arusha ilikua ni siku ya kusikilizwa kesi ya inayomkabili Mh. Lema na wanachadema arusha. Kesi imehairishwa mpaka tarehe 20.
Nje ya mahakama Mh.Lema akaongea na wanachadema waliokuja kusikiliza kesi iyo.

mahakama1.jpg mahakama2.jpg mahakama3.jpg
Mh Lema alizungumzia msimamo wao kuhusu mswada kuwa CDM hawatarudi nyuma.
Wananchi waliokuwepo mahakamani hapo wakamlalamikia kuhusu mabaunsa(green guards) wa CCM wanawatishia kwa kosa la kuishabikia CDM Lema akasema " jamani mbona mnataka kuniangusha..? nyie ni makamanda msiogope vitisho ili tusonge mbele tujikomboe,mbunge sio lazima akufanyie kila kitu,so msikubali kutishiwa ilimradi hamuui mtu wala hamvunji sheria".
Pia Mh. Lema akasema watafuatilia uonevu huu wa mabaunsa(green guard) wa CCM dhidi ya wanachadema wa arusha, pia kamati kuu ya chadema itaripoti tatizo hili ktk chombo husika ;
Mwisho Lema akawatakia wananchi wa arusha maisha mema na wafunge mikanda km makamanda,kesi mpaka tarehe ishirini
.
 
kazi kweli kweli, ni kuahirisha tu hadi mwaka 2015 mbunge atakuwa hafanyi kazi zake kama mbunge???
 
Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo wenu?
 
alipata kibali cha kufanya huo mkutano?...................... au polisi walishakubali yaishe??....................

Mkuu unajuwa maana ya mkutano lakini??kwa hii sentensi yako nina mashaka hujui,mwanzisha thread amesema amefanya mkutano au alikuwa tu anaongea na wananchi wake baada ya kutoka humo ndani??
 
Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo wenu?

hukosi kejeli kila uchwao? kelele huwa zinaletwa na polis wa CCM, leo inaonekana hawajatafasiri kukusanyka kwa chadema kuwa ni mkusanyiko haramu, amani imetawala. Kama Lema anahutubia wananzengo kiivyo wakati hana kibali chochote, basi kuanzia leo uamini kuwa siku zote VURUGU huanzishwa na CCM kwa kuhofia kupoteza umaarufu wao kuhamishia kwa CDM
 
Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo wenu?
maandamano madogo yalifanyika kama kawaida ila hayatasikika kwa sababu polisi hawakuleta vurugu kama awali.
 
Lema hajapata nafasi ya kwenda Ikulu kumuona JK? Au ndio maandano yaanazia Arusha mpaka Ikulu?
Nipe taarifa mkuu!
 
mkuu unajuwa maana ya mkutano lakini??kwa hii sentensi yako nina mashaka hujui,mwanzisha thread amesema amefanya mkutano au alikuwa tu anaongea na wananchi wake baada ya kutoka humo ndani??

wewe ndo hujamwelewa. Kumbuka mtiririko wa visa vya ccm na polisi arusha. Alitembea kwa mguu kutoka mahakamani kurudi ofisini na wapiga kura wake, ikatafasiriwa ni maandamano bila kibali, sasa leo kapanda jukwaa na anongea na wananchi, si watatafasiri ni mkutano wa hadhara bila kibali?

Akili kichwani anataka kufahamu kama aliomba kibali cha kuongea na wananchi kiivyo
 
Lema hajapata nafasi ya kwenda Ikulu kumuona JK? Au ndio maandano yaanazia Arusha mpaka Ikulu?
Nipe taarifa mkuu!
bila shaka umeridhika na majibu ya wadau, ndo maana una hama mada from Arusha to Dar. stick @ one point please, na ukijibiwa ukardhika apriciate basi
 
Arusha hamna tena Jipya....ndio maana imepita kimya kimya, Umaarufu wa Lema umekwisha! Inabidi aumize kichwa sana kutafuta njia ya kukubalika tena na jamii!
Turudi kwemye current issue ya CDM kwenda kujikomba kwa Rais wa Nchi! CDM imetia aibu!!!!
 
Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo wenu?
Kwani Appolo Mmeshapeleka Wangapi Kimya Kimya!! Du Mtabaki Nyie Wenye Vichwa Vyenye Upara Usiokuwa Na Hata Chembe ya Akili!! Hadi Aibu!!
 
Leo katika mahakama kuu ya arusha ilikua ni siku ya kusikilizwa kesi ya inayomkabili Mh. Lema na wanachadema arusha. Kesi imehairishwa mpaka tarehe 20.
Nje ya mahakama Mh.Lema akaongea na wanachadema waliokuja kusikiliza kesi iyo.

Mh Lema alizungumzia msimamo wao kuhusu mswada kuwa CDM hawatarudi nyuma.
Wananchi waliokuwepo mahakamani hapo wakamlalamikia kuhusu mabaunsa(green guards) wa CCM wanawatishia kwa kosa la kuishabikia CDM Lema akasema " jamani mbona mnataka kuniangusha..? nyie ni makamanda msiogope vitisho ili tusonge mbele tujikomboe,mbunge sio lazima akufanyie kila kitu,so msikubali kutishiwa ilimradi hamuui mtu wala hamvunji sheria".
Pia Mh. Lema akasema watafuatilia uonevu huu wa mabaunsa(green guard) wa CCM dhidi ya wanachadema wa arusha, pia kamati kuu ya chadema itaripoti tatizo hili ktk chombo husika ;
Mwisho Lema akawatakia wananchi wa arusha maisha mema na wafunge mikanda km makamanda,kesi mpaka tarehe ishirini
.

Kinachotafutwa siyo hicho bali ni kum keep Lema busy na makesi ili ajisikie fresh. Kesi hiyo hata tarehe 20.12.2011 itaahirishwa.
 
CCM inakufa rasmi leo. Soon tutasikia baraza la mawaziri na bunge limevunjwa
CCM haiwezi kufa...Baraza hata likivunjwa, litajengwa tena upya na CCM! Tuna man power ya kutosha tena in excess, huwezi kutucompare na hao 23!!!
 
Arusha hamna tena Jipya....ndio maana imepita kimya kimya, Umaarufu wa Lema umekwisha! Inabidi aumize kichwa sana kutafuta njia ya kukubalika tena na jamii!
Turudi kwemye current issue ya CDM kwenda kujikomba kwa Rais wa Nchi! CDM imetia aibu!!!!

Anzisha thread mpya ya hii kitu, tuko nyuma yako tutachangia
 
Back
Top Bottom