Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,328
Mkuu Ritz.
Nadhani wakati mwingine uwe una weka propaganda pembeni na kupima kwa akili isiyo kuwa na mawaaa, pima umri wa m4c, pima na tofauti ya kura kwa mwaka 2010 na mwaka huu kwenye maeneo ambayo chadema haikusimamisha wagombea. Jiulize kata ambazo ccm wamepoteza ni kata za chama gani?
lakini pia naomba nikuongezee na haya machache hapa chini uyafanyie kazi.
1. Kitendo cha chadema kurudisha kata zake 3 na kuongeza nyingine 2
zilizokuwa za ccm ni ishara tosha kuwa ccm imepoteza lakini haitaki
itasfirike imepoteza kwa kuwa tu imeendelea kubaki na kata (22). Kwa
wachambuzi makini na wapima maendeleo wasio kuwa na vichwa vya
propaganda hili ni anguko na ishara ni kupoteza bila kujalisha upoteza
ngapi hasa pale mpizani wako anapolkuwa amepata kupitia mgongo wako.
2. Chadema kimesimamisha madiwani katika baadhi ya kata ambazo
haikusimamisha madiwani uchaguzi wa mwaka 2010. madiwani hao wameleta
ushindani kwenye kampeni hizo na wameungwa mkono na hivyo kupunguza
idadi ya kura za kupita bila kupingwa, ushiriki wao kwenye uchaguzi
umejenga mizizi mipya na kukipa chama uhai zaidi kwa siku za mbeleni.
hii ni faraja kwa chama.
3. kutokuwa na marekebisho kweye daftari la kudumu la wapiga kura
hakuwezi kutafsiri ushindi kwa ccm kwani tunajua kuwa kuna vijana
wengi wanao iunga mkono chadema ambao wameshiriki kwenye harakati za
chama lakini hawakuweza kupiga kura, hii ndio imekuwa hofu ya ccm siku
zote zinapotokea chaguzi.
4. kuendelea kuripotiwa kuwa kumetokea kura za maruhani maana yake ni
kwamba ccm wanaogopa kushindwa, unapokuwa unaogopa huku hasimu wako
akijiamini kupambana na wewe, wewe unaye ogopa ki-saikoloji na ki
mikakati inatafsrika kuwa umepoteza.