"Cha Uchokozi"

Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,320
17,823
Morning wana CC!

Nimekutana na hii hapa

Heheehehehheeee ukomeee kutaka miwowo kwa bahat mbaya jg kawahi ila mi ninacho cha uchokoziii hehheee poleee

Haya hebu nidadavulieni wajameni haya mawowo 'ya uchokozi' ndo yakoje? Manake naona mi mgeni kwen hii tasnia....mara usikie 'hips za uchokozi' au 'kiuno cha uchokozi' au 'maziwa ya uchokozi" "sauti ya uchokozi" ndo yanakuwagaje?

Popote mlipo, mabinti watukuka wa chit chat hebu toeni ufafanuzi hapa huwa mnamaanisha nn?

Tuanze na beibe nasty mwenyewe, kisha charminglady. Wakeze Asprin kuna mwenye kitu cha uchokozi? BADILI TABIA, Yummy, cacico shemeji yangu unanichokoza na nini hadi hamu hainiishi? Kongosho, Madame B na madameX, Kaunga, Preta, sweetlady, gfsonwin, snowhite, hebu mu come zis way!

Halafu sijui kama pia wenzangu wana lionaje hili...kuna under age Erickb52 sijui kama alishachokozwa au ndo anakuzwa na Dena Amsi, Judgement, platozoom na Mphamvu itifaki ikiwa imezingatiwa.

Wakubwa zangu Roulette my sweet shemeji, King'asti (huko ndoani sijui anachokozaga na nini) Dark City, Kimey, fidel, Teamo, MwanajamiiOne, RR, Bigirita and co...

Hebu kina dada fungukeni, kitu gani hasa mnacho kinachomchokoza mpenzi wako au wakware wengine...of course baada ya kutupa uelewa wa neno uchokozi kwen tasnia ya viungo au sauti

Naomba kuwasilisha
 
Last edited by a moderator:
haaaa mkuu Dark City....ndo 'nimechokozwa' na hao kina beibe nasty and co...hiyo jg anamrefer Judgement ndo usingizi wake hapa...

Ndo maana nilitaka kukueleza kuwa umeamua kufanya uchokozi wewe mwenyewe...Mkuu Kaizer!!

Hilo neno jg lenyewe...kuna watu linawahamishia kwenye viwanja vya burudani...Na hilo jingine ndo usiseme. Maana enzi zetu, "cha uchokozi" ilikuwa na maana nyingine kabisa...Kwamba mtu bila kujiandaa anastukia keshapigwa vodafasta na kuendelea na majukumu mengine....Kasheshe yake huwa hakuna anayeshiba hapo!!

Ngoja niachie hapo kwanza kwani uchokozi wako si mchezo!

Babu DC!!
 
Babu badala ya kumalizia story analeta uchokozi
 
ruttashobolwa hebu tuambie apa Madame B ana kijungu eti? Halafu mwalimu wangu mbona vipindi huingii jamani unataka nifeli?

Mwanafunzi wangu ningeendelea kukufundisha ila tatizo lako ni kwamba kila kiwanja ninachotimba nakukuta na kila upenyo au uchochoro ninaopita tunakutana sasa naona ni heri nisikufundishe tena kwani nahs utakuwa Umeshafaulu Masomo Yangu
 
Last edited by a moderator:
Na mbaya zaidi, huyu mkuu Kaizer analianzisha mapema namna hii wakati bado zaidi ya masaa 30 tuanze week end!

Ngoja nimtafute mzee mwenzagu Asprin tukamfungulie mashitaka ya uchokozi!

Babu DC!!

Mkuu Dark City leo ni jumangapi maana huku kigoma tumeshaanza weekend?
 
Last edited by a moderator:
Mwanafunzi wangu ningeendelea kukufundisha ila tatizo lako ni kwamba kila kiwanja ninachotimba nakukuta na kila upenyo au uchochoro ninaopita tunakutana sasa naona ni heri nisikufundishe tena kwani nahs utakuwa Umeshafaulu Masomo Yangu

Haaaa Mi naona bado kabisa.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom