"Cha Uchokozi"

ngoja nijaribu kufafanua aina ya vijungu yaani wowowo...
1. Kijungu Bapa
Mithilisha aina hii ya kijungu kama ilivyo upande wa nyuma wa haya magari, Noah, Escudo, Vitz nk

2. Kijungu cha Kiuchokozi
Hiki ni aina ya kijungu ambacho hamira inakua haijakolea vizuri, mithilisha na booty la magari kama Corolla A100,110, Toyota Corsa kimsingi hiki kijungu huwa kigumugumu hivi sio mdebwedo.

3. Kijungu Mambo iko huku
Hiki ndio funga kazi, yaani kama ni kando basi hamira imekolea....ushawahi kuona Toyota Ballon wewee
 
Intelligecia wangu any way miili yakina michelle obama ile ila ya kiafrika zaidi hahahaaaa kawaida sio lakupigiwa miruzii mtaa wa kongoo

Good beibe nasty. Ila nashawishika kuamini kuwa kuna wenye ya kawaida ila sio ya kichokozi. Na mengine ndo ivo wastani ila uchokozi wake balaa. Likewise kwa "makubwa" mengine ni kawaida na mengine ni "kiuchokozi" zaidi.

Shemeji cacico njoo nisaidie basi apa sijui niko sawa?
 
Last edited by a moderator:
mama kadogoo ningoje, maana huo ubapa nilipigwa nao ka pc, hapa hapanihusu, lol!


Hahahahhahaah lol.....mama wa ubatizo una vituko wewe tehe tehe tehe...........mie haijalishi ili mradi nikivaa jeans haishuki lol.............twenzetu mwaya!
 

Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom