Cha asubuhi sitaki, labda akaoge kwanza

Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mm? Sitaki.

Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mm. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mm kwangu mapenzi ni usafi.
Sema mkaoge so akaoge .Tabia yakujiona bora kuliko wengine niyakijinga sana .
 
Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mm? Sitaki.

Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mm. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mm kwangu mapenzi ni usafi.
Wewe unaona kinyaa eeh! Lakini jamaa akiinama na kupiga vigelegele huko uvinza kwako unaona poa.Sasa jifanye mjuaji uone wenzako watakavyo kuruka round.
 
Mwanamke kama embe dodo. Kadri linavoiva ndivyo linavyozidi kunukia.
hujitambui kabisa .mwanamke asioge kisha anukie .nyie ndo msipooga mnanuka kabisa .kwanza asubui mwanaume hata asipooga hawezi kunuka lakini ww usipoenda kunawa lazima k utatema .umewai kuona mwanaume anaenda na tishu chooni ??
 
Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mm? Sitaki.

Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mm. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mm kwangu mapenzi ni usafi.
Halafu kweli cha asubuhi hata mie huwa sikipendi, ukiachana na majasho na harufu mbaya ya vinywa tunayopokezana huwa papuchi zinatoa harufu mbaya.
 
Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mimi? Sitaki.

Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mimi. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mimi kwangu mapenzi ni usafi.
na alivokuwa anakuramba chunvi na harufu yake si alikuvumiliaa.. na wee mvumiliee mwende sawa
 
Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mimi? Sitaki.

Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mimi. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mimi kwangu mapenzi ni usafi.
Uko chumbani tena kitandani uchi halafu mtu aanze kuomba? Unasikia chuma kimezama
Umeolewa au unakota njiani?
 
Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mimi? Sitaki.

Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mimi. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mimi kwangu mapenzi ni usafi.
msaidie tu mkuu apige goli moja af aende kipindi cha mapumziko ndipo arejea tena
 
Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mimi? Sitaki.

Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mimi. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mimi kwangu mapenzi ni usafi.
Ukiona hivyo ujue kwamba hana nyege wala hamu ya kusex nawe.
 
Huyy akiamka mdomoni anatoa perfume, macho yanatoa mafuta ya mgando yenye harufu nzuri na kimiminika chenye marashi ya Zenji kwenye mwili wake.

Akiolewa atakuwa lakini...
 
halafu akiwa na mchepuko uanze kulia liaa....ata km hutaki inabd utafte njia sahihi ya kumwambia tena ya kunyenyekea na upole juu....sio kujifanya unaeka masharti km anataka kukununua vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom