Certified Information Systems Auditor (CISA) Review Class

tumeshaanza kusajili wamaohitaji kufanya review class ya january 2017. kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia 0713 451713 or 0764 978313
 
Tunatarajia kuanza review class ya cisa mwezi january,, nafasi ni chache, kwa mawasiliano tutafute kupitia 0713 451713 or 0764 978313
 
tunaendelea kupokea wanafunzi ambao wako interested kuanza review class ya cisa january 2017. kwa mawasiliano tafadhali tupigie kupitia 0713 451713 or 0764 978313
 
Tunaendelea kusajili wanafunzi wanaohitaji kuanza kufanya review class za cisa..kuanzia january 2017. kwa maelezo zaidi tupigie
0713 451713 or 0764 978313
 
Kinachotakiwa ni uwe na elimu kuanzia advanced diploma na kuendelea. kwani tunakufundisha skills za jminsi ya kukagua mifumo ya komputa..na inatakiwa mtu ambaye ni mwepesi kuchambua na kuchanganua mambo...karibu sana.
 
Asante sana Faru John..
Review class gharama yake ni shiling 700,000/= hii unapata manuals, unapata database ya maswali na majibu, unapata refreshments, unapata videos mbalimbali, unapata some other supplimentary materials.ya kukusaidia kufaulu mtihani..
hapo haujumlishi fee ya mtihani...ukitaka kufanya mtihani inabidi uende kwenye website ya www.isaca.org hapo ukafanye registration na watakupa invoice na kujua how much u r supposed to pay per exam..ukiingia kwenye hiyo website imejaa taarifa zinajitosheleza..sisi tuna conduct review tu..ila tunaweza kukusaidia kufanya registration ya exams in case umekwama.
kama utahitaji maelezo zaidi nijulishe sitachoka kukujibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom