Certified Information Systems Auditor (CISA) Review Class

arusha hii Kozi itafanyika kuanzia mwezi wa 9 mwaka huu pale njiro chuo cha uhasibu. taratibu zote zilishakamilika na tunategemea kuanzia mwezi wa saba kuanza kurusha matangazo..so stay tuned mkuu
 
Arusha kuna darasa litaanza mwezi wa 8 mwanzoni..tunakamilisha mipangilio, na soon mtajulishwa.
karibu sana
 
Leo ndio siku ya mwisho ya kufanya registration ya darasa litakaloanza jumatatu trh 25/07/2016. tunazidi kuwakariisha wote . kwa mawasiliano tafadhali tupigie 0713 451713..

sam
 
CISA review class imeanza jana tarehe 25/07/2016...tunaendelea kupokea wote wanaohitaji kusoma..kwa mawasiliano tupigie 0713 451713
 
Leo tunamalizia chapter I ya review class ya CISA.
Tunaanza module two jumatatu ijayo,.
karibuni sana..tupigie 0713 451713
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom