CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Atletico timu piga yanga gori 4 - 0,ni mimi omari wa bugurun kwa mnyamani.
 
Kona kuelekea lango la Atletico....

Anapiga Luhende......Kona tena

Anapiga tena Luhende......Kona nyingine
 
Acha utoto bana...........

Haujanijibu ishu ya Uwanja wa wataalamu toka Uturuki na Simba TV mtani....

hahahaha naona umeanza kupanic, mambo ya simba tv na uwanja tutayaongea tukimuuza okwi..habari za kazi lakini..
 
Kipa wa Atletico anaumia baada ya kugongana na Nadir Haroub.....
 
Tanzania bado sana kwenye kuonesha soka.....Iwe live ama recorded.....Ni urojo mtupu
Hata kama hatuwezi japo wangetuonesha hivyo hivyo. Sisi tulishazoea hata kama picha hazina ubora na re-play hakuna.
 
hahahaha naona umeanza kupanic, mambo ya simba tv na uwanja tutayaongea tukimuuza okwi..habari za kazi lakini..
Yaani mnasubiri kumuuza OKWI ndo mjenge uwanja......Hii kali....

Kwa hiyo yale majigambo ya Mwenyekiti Ismail Aden Tapeli Rage yalikuwa ni porojo tu?
 
Hata kama hatuwezi japo wangetuonesha hivyo hivyo. Sisi tulishazoea hata kama picha hazina ubora na re-play hakuna.
Mambo yote Super Sport mtani........Nadhani TV za Tanzania hazina haki ya kuonesha michuano hii......Inaweza kuwa sababu
 
Ndo kandambili hawa, ukihesabu "what a miss" leo ni sawa na zile lal la lallallal dah goal kick wakati mpira upo katikati wa uwanja. Ongezea zile headings za Kocha wa Yanga aja na fomesheni za kutisha, au next year ubingwa wa Africa...ohhh sasa kama Brasil....ndo utagundua bora wangecheza Urafiki cup akawajua vizuri players...! Hata wakati wa Kondric ilikuwa hivi hivi...! Kocha mzuri anataka mechi moja tu tena na Ruvu Stars...? loooooooooooooooooool
 
Back
Top Bottom