ntazana ntazana
JF-Expert Member
- Sep 18, 2021
- 1,708
- 3,020
Hana akili walioshika dini hawana muda na dini nyingine.Huyo ni shekh nina uhakika namjua
Hana akili walioshika dini hawana muda na dini nyingine.Huyo ni shekh nina uhakika namjua
Kaka Kiranga usipo amini. Ukifa roho yako itaenda mbingu ipi???Mimi siamini Mungu na sina dini.
Lakini napenda uhuru wa watu kuamini wanavyotaka.
Huyo mtu hata angekuwa CDF wa sasa, ana uhuru wa kutimiza imani yake anavyotaka, hii ni haki ya kikatiba na ni sehemu ya "Universal Declaration of Human Rights" tangu December 10 1948.
Kwani kavunja sheria gani?
Mnaolalama mnajua kuwa hii ni haki ya kikatiba na hapo Vatican wanaenda hata marais waliopo madarakani? Kama wanavyokwenda kuhiji Maka na sehemu nyingine za kiimani kama Bagamoyo Mlingotini?
Una faidika na nini kwa statements kama hizi.Misabato na milokole huwa inaiwaza kanisa katoliki muda wote
Wewe akili zako zimekufikisha wapi chief.Usije ukawa unapambana na wenye uwezo wa kukulisha mpaka siku unakufa halaf uko unakomaa haoa kuwaita hawana akiliHana akili walioshika dini hawana muda na dini nyingine.
Tulia wewe,hunijui sikujui.Wewe akili zako zimekufikisha wapi chief.Usije ukawa unapambana na wenye uwezo wa kukulisha mpaka siku unakufa halaf uko unakomaa haoa kuwaita hawana akili
Muache kusemasema yasiyowahusu.Una faidika na nini kwa statements kama hizi.
Nimekuuliza swali hujajibuMuache kusemasema yasiyowahusu.
Unaweza kuthibitisha hiyo roho ipo kweli?Kaka Kiranga usipo amini. Ukifa roho yako itaenda mbingu ipi???
Utajibu nini mbele ya Mola??
NAMBA MOJA AJAYE NCHINIKaenda kupewa jina la mridhi wa namba moja ajaye.
Nani kasema amefanya makosa kwenda, wewe kafir ? Umeamkia ubavu wa kushoto tena, ama?Mimi siamini Mungu na sina dini.
Lakini napenda uhuru wa watu kuamini wanavyotaka.
Huyo mtu hata angekuwa CDF wa sasa, ana uhuru wa kutimiza imani yake anavyotaka, hii ni haki ya kikatiba na ni sehemu ya "Universal Declaration of Human Rights" tangu December 10 1948.
Kwani kavunja sheria gani?
Mnaolalama mnajua kuwa hii ni haki ya kikatiba na hapo Vatican wanaenda hata marais waliopo madarakani? Kama wanavyokwenda kuhiji Maka na sehemu nyingine za kiimani kama Bagamoyo Mlingotini?
Ina fikirisha sana!!
Kikwete alienda kubusu Pete ya Papa picha zipo huku JfKikwete alienda madina sijui maka wala amkuja kujisemesha hapa.
Unaweza ukawa chizi kabisa ni zaidi ya tunavyolionaKanisa katoliki liacheni kikae lilivyo!!! Ukilifuatilia utaumwa na kichwa.
Tanzania hatujawahi kuwa na balozi mkristu kati nchi za kihafidhina za kislamu kama Saudia ila Samia kamteua mwislamu kuwa balozi wetu Vatican, hili limekaajeSijui Magufuli watu kama hawa aliwapataje. Ambapo kwa sasa kama vile hawapo.
===
Maaskofu wa Kanisa Katoliki Nchini wapo Vatican kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo kama sehemu ya ratiba za kawaida za Maaskofu kukutana na Papa kila baada ya miaka michache.
Baadhi ya picha kutoka Vatican zinamuonesha Jen. Mabeyo akiwa na Maaskofu na nyingine ikimuonesha akisoma somo Katika mojawapo ya misa iliyofanyika huko. Hii inatoa tasiwra kuwa huenda akakutana na papa Francis siku za hivi karibuni.
Desemba 4, 2021 Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis alituma barua ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jen. Mabeyo kumshukuru kwa mchango wake mkubwa kwenye kanisa hilo.
Just imagine kundi moja halitakiwi kuoa,kundi jinginehalitakiwi kuolewa ila wanataka jumapili Kanisa liwe limejaa watu.Unaweza ukawa chizi kabisa ni zaidi ya tunavyoliona