JuniusKibunango,
Wakati vyama vingine vinafanya kampeni kwa gharama kubwa za kutisha pamoja na kutumia rasilimali za wananchi, vipo vyama vingine kwao wao kampeni kama hizo ni anasa kubwa.
Pichani hapo chini ni mgombea urais wa zanzibar kwa tiketi ya chama cha muungano wa wakulima (AFP) bw. Said Soud akiwa na meneja kampeni wake bw. Rashidi Rai, katika harakati za kuomba ridhaa ya wananchi kuingia ikulu.
wakati wagombea wa vyama vingine wakipasua anga kwa helikopta na magari makubwa, bwana Soud (pichani) anatumia vespa yake akipanga mashambuliza yake ya kuingia ikulu kuanzia ardhini.
Picha zote kwa hisani ya Mpoki Bukuku blog.
hee kachakachua picha hahahaha!Hivi hilo tangazo lipo sehemu gani Unguja au Pemba .
View attachment 14297 View attachment 14298View attachment 14299 Pole mleta mada yaani uwongo mpa humu ,mtawadanganya wa vijijini tu lakini kwa humu netini tutaumbuana.
junius. nikwekee picha ya dk slaa huko zenj
Kama hapa Dodoma kwenye wachagga wenzake hakuna picha yake zanzibar itakuwepo?junius. nikwekee picha ya dk slaa huko zenj
Chadema Zenj ...? mwisho Chumbe
Kwahani, iliwahi kuwa na ofisi na wapenzi wa chadema miaka ile...Btw.. Wachaga wapo Zenj tena wengine wamewahi kushika nafasi nzito ktk SMZ..Hata hivyo uwepo wao hauna nafasi ya moja kwa moja na ujulikani wa chadema visiwani hapo.Kwani zenji hakuna wachagga? na sidhani kama mwisho chumbe nadhani mwisho ni customs ya bongo pale kuna makuli wapo chadema na kwa bahati mbaya hawajajiandikisha.....
Kwahani, iliwahi kuwa na ofisi na wapenzi wa chadema miaka ile...Btw.. Wachaga wapo Zenj tena wengine wamewahi kushika nafasi nzito ktk SMZ..Hata hivyo uwepo wao hauna nafasi ya moja kwa moja na ujulikani wa chadema visiwani hapo.
junius. nikwekee picha ya dk slaa huko zenj