Yaani Zanzibar kama Gaza na Tanganyika ka Israeli

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Kiongozi wa Israeli ajulikanae kama Bibi au Netanyahu ameapa kuwa wapalestina chini ya Hamasi hawatakuwa na nchi na watabaki chini ya utawala wa kiyaudi milele.
Na Zanzibar nayo ndio hivyo hawataweza kupata uongozi chini ya chama kingize zaidi ya CCM ,liwalo na liwe hakutatokea Chama kikaiondoa CCM,CCM wapo tayari kuuwa na yameshatokea alimuradi Tanganyika waitawale Zanzibar chini ya kivuli cha CCM aka Muungano.
 
Ajabu ya Tanganyika, kiongozi wake ni kutoka zanzibar, hivi mahamud abasi anaweza kuwa kiongozi wa Israel?, (unapoandika thread uwe unatumia akili kidogo japo huna akili zenyewe force ziwe zinakuja)
 
Zanzibar hakuna jina la Suluhu ,angaza utaona jina hilo ni la wapi Zanzibar au Tanganyika ? Nakusaidia kwa hizi akili zangu ,yaani nimekuchangia akili sasa changanya na zako.
 
Mkisha wabagua watanganyika, laana itaanza kukutafuneni ninyi wenyewe!,...
Mwl, alizisoma vyema nafsi zenu tangu awali...........
 
Wacha iwe ivyo,jini likujualo halikuli likakwisha,walai waTangamyika mnatunyetanyahu,Wazanzibari hawana ubaguzi ,labda hujaelewa lengo na mnatumia misamiati kuupoteza uma kama alivyotumia baba yenu wa Taifa. Fuatilia historia ya Kambona ndio utamfahamu Mwalimu ,

Nini kilimkuta Salim Ahmed Salim alipotaka kugombea Uraisi wa Tanzania(Kumb.Suluhu ,kula matapishi yako eti mwalimu alizisoma....huyu mwlimu aliesema kama angekuwa na uwezo angeitupa Zanzibar mbali sana..!

Wazenji hawana ubaguzi kabisa,aisee mbona sisi wamasai tupo huku tena raha kama zote kuliko huko tutokako ,atujawai kubaguliwa na tupo na marafiki wengi tu .
Tunapozungumza mnatunyetanyahu hapa ni uongozi uliopo serikali kuu ya Tanganyika aka Tanzaniya na hakuna mahusiano na ubaguzi baina ya raia kama ni kiongozi mnatuwekea vubaraka mnaowateuwa Dododma.
 
Back
Top Bottom