Elections 2010 CCM Zanzibar...

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,416
2,264
dr.shein4.jpg
 
Kibunango,
Wakati vyama vingine vinafanya kampeni kwa gharama kubwa za kutisha pamoja na kutumia rasilimali za wananchi, vipo vyama vingine kwao wao kampeni kama hizo ni anasa kubwa.

Pichani hapo chini ni mgombea urais wa zanzibar kwa tiketi ya chama cha muungano wa wakulima (AFP) bw. Said Soud akiwa na meneja kampeni wake bw. Rashidi Rai, katika harakati za kuomba ridhaa ya wananchi kuingia ikulu.

wakati wagombea wa vyama vingine wakipasua anga kwa helikopta na magari makubwa, bwana Soud (pichani) anatumia vespa yake akipanga mashambuliza yake ya kuingia ikulu kuanzia ardhini.

Picha zote kwa hisani ya Mpoki Bukuku blog.
 
Attachments

  • akiwa katika kampeni.JPG
    akiwa katika kampeni.JPG
    39.5 KB · Views: 213
  • akinadiwa.jpg
    akinadiwa.jpg
    33.6 KB · Views: 59
  • mgombea urais zanzibar wa AFP.jpg
    mgombea urais zanzibar wa AFP.jpg
    42.5 KB · Views: 62
Kibunango,
Wakati vyama vingine vinafanya kampeni kwa gharama kubwa za kutisha pamoja na kutumia rasilimali za wananchi, vipo vyama vingine kwao wao kampeni kama hizo ni anasa kubwa.

Pichani hapo chini ni mgombea urais wa zanzibar kwa tiketi ya chama cha muungano wa wakulima (AFP) bw. Said Soud akiwa na meneja kampeni wake bw. Rashidi Rai, katika harakati za kuomba ridhaa ya wananchi kuingia ikulu.

wakati wagombea wa vyama vingine wakipasua anga kwa helikopta na magari makubwa, bwana Soud (pichani) anatumia vespa yake akipanga mashambuliza yake ya kuingia ikulu kuanzia ardhini.

Picha zote kwa hisani ya Mpoki Bukuku blog.
Junius
Vizuri sana kwa chama hicho, hata hivyo shukrani za pekee ziende Zanzibar kwa kampeni murua mwaka huu...

attachment.php

Kibunango,
Kweli mkuu maridhiano yamesaidia kuleta shwari ya mambo, hatusikii habari za 'janjaweed' wala kampeni za kutukanana...ila kuna mtu (Hafidh Ali Tahir) nilisikia alishaanza upuuzi wake akapewa karipio mara moja, kalezwa aeleze chama chake kitafanya nini na si wenzao kuwa hawataweza kufanya wananchoahidi...so far, kampeni zinakwenda vizuri tu, hivyo ni kweli wanastahili pongezi.
 
Hivi hilo tangazo lipo sehemu gani Unguja au Pemba .

Cufrolling.jpg ha ha.jpg hy.jpg Pole mleta mada yaani uwongo mpa humu ,mtawadanganya wa vijijini tu lakini kwa humu netini tutaumbuana.
 
Kwani zenji hakuna wachagga? na sidhani kama mwisho chumbe nadhani mwisho ni customs ya bongo pale kuna makuli wapo chadema na kwa bahati mbaya hawajajiandikisha.....
Kwahani, iliwahi kuwa na ofisi na wapenzi wa chadema miaka ile...Btw.. Wachaga wapo Zenj tena wengine wamewahi kushika nafasi nzito ktk SMZ..Hata hivyo uwepo wao hauna nafasi ya moja kwa moja na ujulikani wa chadema visiwani hapo.
 
inasikitisha mtu anajiita great thinker anazungumzia ukabila, hivi ni kweli au ndiyo msemo ule ule wa mamba na kenge swala na mbuzi?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom