kama hao watu wa kwenye picha ni wengi basi wachadema walikuwa kumi tuu!
Watu ni wengi kweli, kipita wale wa CDM.
Zanzibar ccm na cuf wameunda serikali hivo hakuna mpinzani wa mwenzake wao wanapambana na CDMMbona inavyoonekana mchuano mkali ni kati ya ccm na cdm?!!cuf si ndiyo chama kikuu cha upinzani Zanzibar,imekuwa vipi tena?
CUF ilikwishafunga ndoa na CCM!Mbona inavyoonekana mchuano mkali ni kati ya ccm na cdm?!!cuf si ndiyo chama kikuu cha upinzani Zanzibar,imekuwa vipi tena?