....... Dk. Chegeni alisema, Sisi tuna mtaji mkubwa, hao wasiolalamika hawana mtaji
hatuwezi kuacha ikawa taarifa ya (anataja gazeti) na Synovate. Hapa inagusa vyama na sisi tuna maslahi. Sisi hatumwogopi mtu. CCM inakubalika.
Waandishi wa habari walipohoji ni jinsi gani chama hicho tawala kinajiridhisha kwamba Synovate haijawahi na wala haina takwimu hizo kama zilivyochapishwa, Dk. Chegeni alisema wao wanaamini kutokana na kukanusha hadharani
Alisema taarifa hizo zinataka kuwafanya wananchi waamini kwamba mgombea wa Chadema ni bora ili baada ya uchaguzi CCM ikishinda, wananchi walalamike kwamba hapakuwapo uchaguzi huru na wa haki.
source: HabariLeo | CCM yatishia kulishitaki gazeti
Sasa CCM kama ina Mtaji mkubwa nini kinawafanya waanze kuhaha! CCM wanatumia vyombo vyote vya Habari kupiga propaganda, kasoro magazeti Manne tu Mwananchi, Tanzania Daima, Raia Mwema na MsemaKweli! Je ni nani alitakiwa kulalamika?
KWELI CCM WAMEANZA KUNUSA DHAHAMA!