CCM yapasuka? Kinana ang'atuka...

hazito kuwa habari mbaya maana wasomali wengi wanamsifia kwa kuwa muokoaji wao waingiapo tz. I hope kuna ukweli kwenye hili.
 
hiyo hoja ya utata wa uraia wa kinana ndiyo inamlazimisha afie ccm. Hata akiondoka ccm hawezi kuandika barua yenye mipasho hivyo.
 
Wa Ubungo, Kwa mfano nikisema hapa Jo'burg imetokea ajali mbaya ya kihistoria huwezi niamini hadi niweke picha au nitoe source ya Sowetan Newspaper?...I am the source na huenda ajali yenyewe imetokea on the sport, sina kamera ya kupiga picha ila kuna internet jirani na eneo la ajali nikawahi kuituma hutaniamini? Tupevuke kimawazo kuhusu hili. habari za humu JF zitabaki kuwa kweli hadi itakapothibitika kuwa si za kweli.
 
Kinana huyuhuyu aliekua meneja kampeni wa jk 2010 leo atangaze kujiuzuru tena na kashfa kwa familia ya jk.. Huu ni uongo uliochacha.!!
 
Though ntafurah na nina penda sana iwe hivyo, ila nina mashaka kidogo na hii habari.
Moods, Invisible , Paw na wooooote, ikifika J5 na hii habar ikawa ya ukweli, basi mleta uzi apewe Tuzo ya Mleta Nyuzi Tafiti wa Mwaka hapa JF, Otherwise, inabidi mleta uzi, ndugu yetu AL sadat, alimwe a LIFE TIME BANN
 
Last edited by a moderator:
jamani! the time for change has come!tumechoka na tawala hili ccm, hizi habari ziwe za kweli au zije kuwa kweli eeh!Mungu baba tusaidie wang'oke.
 
Kweli hii ni ngumu kumeza lakini sometimes inabidi tujiridhishe kwa muda hadi itakapodhihirika kuwa ni kweli au la.
 
Back
Top Bottom