CCM yafanya umafia kumzima Dr Slaa Mbeya

Uongozi wa chadema mbeya umesambaratika,kutokana na mambo mbalimbali ya kijamii na kiuchumi yanayojitokeza kila kukicha.viongozi hao wameiona chadema kuwa ni chama kisicho na mwelekeo zaidi ya kuhamasisha vurugu na maandamano yasiyo na tija.[Unajiita hoja tete!!!??ni kwli wewe ni tete cause hata hujitambui,wewe ni mmoja wao tunajua hilo]
 
Huyu hoja tete ni tetere au!!!??? inaonekana hata shule yake ni tete ndio maana alichagua ujinga wa kurithi.
 
Uongozi wa chadema mbeya umesambaratika,kutokana na mambo mbalimbali ya kijamii na kiuchumi yanayojitokeza kila kukicha.viongozi hao wameiona chadema kuwa ni chama kisicho na mwelekeo zaidi ya kuhamasisha vurugu na maandamano yasiyo na tija.
Kweli hoja zako tete. ngoja tusubiri tuone vijana wa chadema watasemaje kuhusu hii hoja yako tete
 
Ni mteule wa MUNGU, Tanzania-Africa, kusini mwa jangwa sahara. tupme kura za ndio

​here we go again kikwete 2005 chaguo la mungu sasa slaa mteule wa mungu acheni kutumia dini kutapeli watanzania mna maslahi yenu binafsii mkikosa chaguo anakuwa fisadi
 
Uongozi wa chadema mbeya umesambaratika,kutokana na mambo mbalimbali ya kijamii na kiuchumi yanayojitokeza kila kukicha.viongozi hao wameiona chadema kuwa ni chama kisicho na mwelekeo zaidi ya kuhamasisha vurugu na maandamano yasiyo na tija.
Hilo ndilo tatizo kubwa sana la watu wanaofanya kazi usalama wa CCM, daima hueleza mambo waliyoyapika wao wenyewe wakidhani watanzania ni wapumbavu na watauamini upumbavu unaoletwa nao. Poleni sana majuha nyie mnaodhani mtaishi milele kwa kuupamba upumbavu wenu.
 
Ccm kaburi lao liko tayari,tunasubiri kwenda kuwazika.Ndio maana wanachachawa hawajiamini.Hao wanao shabikia ccm hawajui maisha nini,wanafikiri ukishakula ugali na mlenda au wali na maharage wanaona ndio maisha.Watanzania wengi wanahitaji kufundishwa maisha nini.
 
tatizo si CCM tatizo ni wanahabari... ilibidi wachaguwe wapi kwenye umuhimu... na pia sidhani kwamba kampuni / gazeti linamwanahabari mmoja .. habari yako ina walakan ndani yake...!
 
kubishana na mtu wa ccm ni sawa na kufukuzana na upepo usio onekana,mwisho uta onekana wewe ndio kichaa!! Hauna sababu ya kumjibu kwa wewe unaeona mbali,mwache abweke peke yake.
 
Dr.Slaa amekwenda kuhutubia wananchi sio waandishi wa habari. Chukueni hata walioko nje ya Mbeya lkn suala la mikutano ya Daktari wa ukweli Slaa itajaa kama kawaida. Huwezi kuzuia mvua
 
Mwizi wa wanawake huyo hawezi kuongoza hii nchi ya amani.

Mwanamke sio TV mpk aibiwe. Ukiona mkeo kaenda kwa mwanaume mwingine, tatizo lipo ndani ya nguo zako na sio kwa aliyejichukulia utamu. Kaleni mikuyati kama mna shaka na uwezo wenu kwenye tendegu na sio kulalama. Hata mimi wife wako akinikalia kwema nabandua, ndio mpate akili ya kujua majukumu yenu ya ndoa.
 
wana CCM-Magamba mtayavua lini?au yameshavuka?Hojatete na wenzio jibuni kwanza hili swali kisha muendelee kuchangia utumbo wenu
 
Uongozi wa chadema mbeya umesambaratika,kutokana na mambo mbalimbali ya kijamii na kiuchumi yanayojitokeza kila kukicha.viongozi hao wameiona chadema kuwa ni chama kisicho na mwelekeo zaidi ya kuhamasisha vurugu na maandamano yasiyo na tija.

......haha hahaha............unanikumbusha kiongozi mmoja wa Saddam Hussein....aliyekuwa na dhamana ya propaganda........alikuwa akiutangazia umma na ulimwengu kuwa majeshi ya wavamizi yanateketezwa.........hahahah....hahaha
 
CCM ni chama cha majambazi kipo kwa ajiri ya kuiba mali za watanzania,na watu wachache kujinufaisha ambao ni mafisadi,sasa nakushangaa kijana mwenzangu unayekula ugali mrenda kuwashabikia majambazi CCM,ntakuona unamatatizo ya akili,wakati mdogo hana ada,mama yako na baba yako hawawezi kuiendesha familia yenu hata kidogo kutokana na ugumu wa maisha uliosababishwa na CCM Chama cha majambazi,harafu wewe unabaki kuwa mshabiki wakati Taifa linaangamia.
 
Nimesoma kuwa katibu mpya wa wilaya ya mbeya CCM ni Raymond Mwangwale. Nimecheka sana, huyu bwana amesoma sm Azimio na tumesoma pamoja MBEYA DAY 1995-1998. hana kitu na kama CCM wamedhani kuwa kumleta huyu Mbeya ndio dawa, wasubiri matokeo
 
Back
Top Bottom