Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Ni kweli ile ya ngumi imezoeleka mpaka wananchi wameanza kuitafsiri vibayaHahahaa ameanza mazoezi ya peoples power inabidi aanze na alama hii ya V ile ya ngumi ameshaizoea.
Ni kweli ile ya ngumi imezoeleka mpaka wananchi wameanza kuitafsiri vibayaHahahaa ameanza mazoezi ya peoples power inabidi aanze na alama hii ya V ile ya ngumi ameshaizoea.
Hili ni jukwaa la siasa sio lugha, ukitaka maswala ya lugha nenda kwenye jukwaa la lugha, hapa chukua ujumbe kama unafanyia kazi poa au kama unapotezea kivyako....!maana ya kulishwa yamini na maelezo ulotoa no correlation ndugu.
Wabunge wa CCM waliomaliza kikao cha bunge hapo jana wamezuiliwa kuondoka na leo kutwa nzima wamekuwa kwenye kikao cha Wabunge wote wa CCM kuangalia jinsi gani wanavyoweza kudhibitiana kutokana na hoja iliyofikishwa kwa Spika juu ya kumwondoa madarakani Waziri Mkuu kwa kura ya kutokuwa na imani nae hasa ingizingatiwa kwamba kura yenyewe itakuwa ni ya Siri.
Tusubiri tuone kitakachojiri Ngoma bado nzito na Inogile.
maana ya kulishwa yamini na maelezo ulotoa no correlation ndugu.